The INEC card reader is a portable electronic voting authentication device configured to read only the Permanent Voter Cards (PVCs) issued by the Independent National Electoral Commission (INEC) in Nigeria.
The card reader was designed for the accreditation process (authentication of eligible voters before voting). The machine was configured to read only the PVCs of a particular polling unit and can only work on election day.
Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya leo Jumatano Agosti 13, 2025 ameongoza msafara wake kuelekea Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi.
Soma pia: Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya, akiambatana na Mgombea wake mwenza Sadoun Abrahman Khatib, leo Agosti 13, 2025, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa jijini Dodoma...
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 12, 2025
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA)...
Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi ya Urais na kubainisha kuwa wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanashinda...
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama cha National League
, Doyo Hassan Doyo akiwa na msafara wake amefika katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa Jijini hapa akiwa ndani ya bajaji.
Doyo ametinga katika viunga hivyo leo Jumapili, Agosti 10, 2025 saa 5:29 asubuhi...
Wakuu,
Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana.
Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 ambapo amewahakikishia washiriki hao kuwa, ofisi...
https://www.youtube.com/watch?v=64HPMN4PvDU&pp=ygULdWNoYWd1emkgdHY%3D
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaendelea na mchakato wa maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
Tume imekuwa ikifanya vikao vya Wadau mbalimbali, leo Agosti 3, 2025 kikao kinafanyika...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jacobs Mwambegele, amepinga madai kuwa wananchi na vyama vya siasa hawana imani na tume hiyo, akisisitiza kuwa wadau wote muhimu wanashirikishwa kikamilifu katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Akijibu swali la mwandishi...
Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa...
Watu Milioni 2.6 Zaidi? Hebu Tuchambue Kwa Kina..
Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ilitangaza kwamba jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha kwa uchaguzi mkuu ujao. Kwa mujibu wa Sensa ya 2022, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ilihesabu kuwa Watanzania 35,341,132 waliokuwa na umri wa zaidi ya...
Inasikitisha kuona tume inayojiita huru, wamekuwa wepesi sana kutoa matamko na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA mfano siku si nyingi walipinga mchakato uliompitisha Tundu Lissu kama Mwenyekiti, Ila Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote licha ya CCM kuvunja katiba katika kumpata mgombea wao, Na si...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Fulgence Massawe ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kujitokeza hadharani na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
Massawe ametoa wito huo leo Julai 24, katika mahojiano katika...
Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika.
Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi, sambamba na kuvishirikisha kikamilifu vyama vyote vya siasa vyenye usajili halali katika hatua zote za...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeitaka Tume huru ya Taifa nchini (INEC) kuwachukulia hatua kali za kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa sheria ya tume hiyo, wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa madiwani ,wabunge na urais watakaojihusisha na vitendo haramu vya kuwaengua wagombea wa upinzani...
Na Mwandishi Wetu, Mwanza.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Julai 03, 2025 amemtembelea na kukagua mwenendo wa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Gereza Kuu la Butimba lililopo mkoani Mwanza na kushuhudia namna...
Mwandishi Wetu
Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo kwa Tanzania Zanzibar wametakiwa kuzingatia mafunzo waliyopatiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ili waweze kutekeleza zoezi hilo kwa ufanisi.
Wito huo...