india

  1. Vita vya India na Pakistan ghafla vimesimamishwa

    Vita kati ya wababe wawili wa nyuklia vimeisha haraka.Hiyo ni kwa mujibu wa tangazo la raisi Trump wa Marekani. Kwa upande mwenine juhudi kubwa zinaendelea mjini Kyiv ili kusimamisha vita kati ya Ukraine na Urusi. Vita ambavyo vimekuwa vigumu kusimamishwa ni vile kati ya Israel na wapalestina...
  2. J

    Ulipata Kujua kuwa Vita ya India na Pakistan imeongelewa Kwenye Quran/Sunna za Mtume (SAW)?

    Hadithi Sunan an-Nasai 3175 inasema kuna Makundi mawili ya Umma wa Mohammad ambayo Allah atawaokoa kutoka moto wa Jehanam. Kundi moja ni Waislamu watakaoivamia India. Aidha, Kiongozi wa Juu wa Pakistan amekiri wazi wazi kuwa Jeshi lao la Akiba wanalolitegemea ni Vijana wao wanaopata mafunzo ya...
  3. Afisa mstaafu wa Jeshi la India aionya Uturuki isijiingize kichwa kichwa

    Meja Jenerali Gagandeep Bakshi, afisa mkuu mstaafu katika Jeshi la India, juu ya Uturuki: "India ni nguvu ya nyuklia, India ni nguvu ya anga. Tunaweza kulipua kuzimu kutoka Uturuki ikiwa inahitajika. Uturuki imekuwa na tabia mbaya kwa muda mrefu."
  4. Safari za kwenda India zitasitishwa na complex medical procedure zitakuwa zinafanyikia hapa Tanzania kwa bei nafuu sana

    Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani Bone marrow transplant Liver resection Pancreas resection lung resection Coronary Revascularization Surgical Ventricular Restoration Septal Myectomy Thoracic...
  5. India yasema iko tayari kwa mazungumzo lakini upole wake usije tafsiriwa vibaya

    Huku ukweli wa kudondoshwa ndege kadhaa za kivita za India ukithibiti mnamo siku ya mwanzo ya vita, na droni zake 25 kuangushwa kabla kufikia maeneo lengwa nchi kadhaa zimejitokeza kutaka kuzisuluhisha vita hivi. Waziri wa mambo ya nje wa Iran yuko India kwa kazi hiyo na Uiengereza nayo pia...
  6. S

    Mbona India ni kama chui wa kuchora?

    India wameshindwa tena kutekeleza operation yao ya kijeshi bila majeraha makubwa kwenye jeshi lao. Ikiwa tayari ni miaka sita imepita toka walipofanya military failed mission dhidi ya Pakistan, India usiku wa kuamkia Leo imefanya tena operation ikilenga vituo vya kikundi cha kigaidi...
  7. Uiengereza yasema itaingilia kati kuikoa India baada ya kupata hasara kubwa siku ya mwanzo tu ya vita

    Huku mabaki zaidi ya ndege kadhaa za kivita za India yakiendelea kuokotwa ndani ya mipaka ya India kabla kuvuka mpaka wake na Pakistan,nchi ya Uiengereza imesema inataka nchi hizo ziache kupigana Uiengereza ina wajibu wa kufanya hivyo ikijua kwa sasa haina uwezo kuisaidia India wakati yenyewe...
  8. Special Thread: Yanayojiri kwenye mgogoro kati ya India na Pakistan, nini chanzo na hatma ya mgogoro

    Nchi ya Pakistan imedai kuwa imedungua ndege 12 zisizo na rubani za India usiku kucha na kusema mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yamesababisha vifo vya raia mmoja na wanajeshi wanne kujeruhiwa. Msemaji wa jeshi la Pakistan Jenerali Ahmed Sharif Chaudhry Akizungunza na vyombo vya Habari...
  9. Chanzo cha vita ya India na Pakistan inayoendelea hivi leo katika eneo la Kashmir

    Mwezi wa huu wa Mei mwaka 2025, ulimwengu umetikiswa na mgogoro mpya kati ya mataifa mawili yenye historia ndefu ya mvutano – India na Pakistan. Tarehe 6 Mei, India ilitangaza operesheni kali iliyobeba jina "Operation Sindoor," ikilenga maeneo tisa ndani ya Pakistan na kipande cha eneo la...
  10. India yapoteza ndege 5 za kivita katika siku ya mwanzo ya vita

    Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo. Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan...
  11. Baada ya ndege za India kupigwa ban kuruka anga ya Pakistani, hatimaye kutoka India hadi Marekani ni masaa 19 badala ya 14

    Hivi karibuni kama mlikuwa mnafuatilia habari za kidunia, kulikuwa na mgogoro baina ya India na pakistan. Mgogoro huu umepelekea serikali ya Pakistan kupiga marufuku ndege za abiria za india kuruka kupitia anga yake zinazoelekea marekani. Awali ndege za shirika la ndege la air India...
  12. Kumbe Pakistan ana nafasi kubwa kuichakaza India vita vikizuka. Modi hana nyenzo kuizuilia maji

    Kwa ujumla wake tukio la kuuliwa watalii wa ndani huko Pahalgam jimbo la Kashmir ni kitendo kilichopangwa kitokee muda mrefu tangu Narenfa Modi na chama chake cha BJP alipoingia madarakani.Lengo limekuwa ni kubadili ulinganifu wa watu wa maeneo hayo kuwapa nafasi zaidi wahindu dhidi ya waislamu...
  13. India yaikatia maji Pakistani. Pakistan yang’aka

    Mzozo kati ya mataifa hayo mawili yenye nguvu za nyuklia, India na Pakistan, unafikia kiwango kibaya sana baada ya India kuikatia maji ambayo ni mhimu sana katika nchi hiyo Naibu Waziri Mkuu wa Pakistan anatangaza: tunapinga kabisa uamuzi wa India wa kusitisha mkataba wa maji na sisi...
  14. India Na Pakistan Zinaelekea Kwenye Vita ya Kikanda

    Taarifa iliyotolewa na maafisa Wa jeshi kutoka Pakistan na India wamerushiana risasi usiku kucha katika mstari wa udhibiti katika Kashmir inayozozana Umoja wa mataifa umewataka wapinzani hao wenye silaha za nyuklia kuonyesha "kujizuia kwa hali ya juu" baada ya mauaji ya Jumanne ya watalii wa...
  15. Fukuto la vita kati ya India na Pakistan

    🪖 Nani Angeshinda: Pakistan dhidi ya India Katika vita vya kawaida, India ina faida kutokana na uchumi wake mkubwa, idadi ya watu, na zana za kijeshi-viwanda. Walakini, nchi zote mbili ni zenye nguvu za nyuklia, na vita ikitokea itakuwa na kiwango kikubwa huhatarisha kuongezeka kwa janga. Huu...
  16. India yaamuru Wapakistani (waislamu) wote waondoke!

    nchi ya India inaenda kuwafukuza raia wote wa ktk islamic republic of pakistani. uislamu hauwezi ku- coexist na indian way of life …
  17. Magaidi waua watu takribani 30 Kashmir, India katika shambulio la bunduki Modi akiwa Saudia Arabia

    Huko India katika eneo mojawapo la kitalii Pahalgam, Jammu katika jimbo la Kashmir limepigwa shambuli baya la magaidi na kuua watu zaidi ya 24. Narendra Modi aliyekuwa na ziara yake Saudi Arabia ameikatiza na kurudi India kushughulikia maafa.
  18. Asili ya nyoka wakubwa imegundulika huko India

    Fosili mpya iliyogunduliwa ya Vasuki indicus huko India imeleta mwanga mpya kuhusu ukubwa halisi wa nyoka huyu wa kihistoria. Inakadiriwa kuwa na urefu wa hadi futi 49 (sawa na mita 15), sampuli hii inapendekeza kwamba Vasuki huenda alikuwa mkubwa zaidi kuliko ilivyodhaniwa awali—akiizidi...
  19. E

    Marekani na canada waungana na saudia na india

    Marekani na Kanada waungana na India, Saudi Arabia, Cuba, Misri, Kenya, Pakistan, na Oman huku Brazil ikisitisha safari za bila visa – Hatua mpya za kukuza utalii na usalama: Mambo mapya unayopaswa kujua Brazil imetangaza kusitisha rasmi safari za bila visa kwa raia wa mataifa mbalimbali ikiwa...
  20. Mwanamke Kutoka Kenya Akamatwa Na Kilo 1.7 Za Kokeine Nchini India

    Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300 milioni. Kwa mujibu wa The Indian Express, mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Emily Rodha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…