inauzwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV Inch 43 inauzwa

    Tv ni Solar max, imetumika mwezi na nusu hivi yaan ni kama vile mpya tu Ni smart tv inaconnect internet Ina rangi nzuri na pjcha iko very clear Ina bluetooth (huna haja ya kutumia waya kuconnect na kifaa kingine kama woofer na vingine Ni inch 43.. Ina speeker nzuri..unaweza tumia bila hata...
  2. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Bilioni 1.3 inauzwa Magomeni Dar Es Salaam. Tuwasiliane

    Nyumba ya ghorofa tano (5) inauzwa Magomeni Morocco, Dar es Salaam. Ipo barabara ya lami, hivyo upatikanaji wake ni rahisi na wa uhakika. Jengo hili lina apartment nane (8), kila moja ikiwa na vyumba viwili, sebule, jiko na choo. Zaidi ya hapo, kuna apartment moja kubwa yenye vyumba vinne...
  3. van_vict

    JamiiForums Tanzania FREM KUBWA YENYE MOVIE LIBRARY NA KLA KITU INAUZWA MBEYA[NZOVWE],TANZANIA

    Sold
  4. mtanashati halisi

    JamiiForums Tanzania Car4Sale INAUZWA Noah new Shape

    Namba dxk🔥 Year2010 Cc Full Air condition Engine safii Gear box safii Price 13.7m✅ Iko vizur sana 🔥 ☎️0718578433 📍 ipo Dar es Salaam
  5. van_vict

    JamiiForums Tanzania Movie library frem & vyombo vyake inauzwa Mbeya(Nzovwe stand)

    Sold
  6. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Instagram account inauzwa

    Account ndogo ya Instagram inauzwa, Followers 5800, nicheki 0743546090 Call/text ama WhatsApp
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya juice (Juice dispenser ) inauzwa

    Hii mashine ni nzuri saana ni mitungi mitatu ima nguvu saana yaan ndani ya dakika moja ishaweka mabarafu kama ukiwa hujawwka juice bado kila mtungi unabeba lita 18...kwa hiyo jumla inabeba lita 54 INAFAA KWA biashara,, unaiweka sehemu tu unakuweka kijana anakuwa anakuuzia juice..maeneo ya...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaj inauzwa bei sawa na Bure

    Habari... Bajaj inauzwa bei sawa na Bure Bei 4.5m Location kigamboni dar es salaam... Mawasiliano DM Full documents
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Tabata Liwiti Misewe B

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  10. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Ununio

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya kuchaji inauzwa 700000

    Sold
  14. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Nina mda mrefu sana na bitcoin, leo hii inauzwa mil 300 kwa btc 1

    nkiangalia nyuma naona kama nlichelewa sana ila nakumbuka nlivochapwa sana 🤣
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tanga, Magomeni

    Wakuu habari za majukumu ya kifamilia,kijamii na kitaifa! Natumai hamjambo. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kuna nyumba huku tanga mjini mtaa wa magomeni A inauzwa,iko na 3 bedrooms,1 master room,sitting room kubwa na store. Pamoja na vumba vitatu vya nje. Bei, million 40.
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  18. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

    hii sofa ni balaa inanesa nesa tu ina spring yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold ni full white lether afu ngumu ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000 mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu utaipata kwa 500,000 mahari Dar es...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Set nzima ya vifaa vya chips inauzwa

    MAHALI Dar es salaam kinondoni PIGA SIMU 0683473391 JUICE DISPENSER mpya inauzwa 1.4 hadi 1.5M hii nakupatia kwa 850,000 inapiga kazi haswaa...inagandisha kabisaa...hapo unaizungushia sticker nyingine rangi yako tu inaonekana fresh zaidi Kabati mbili zote 180000 moja unaeza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndio sehemu pekee ambayo mwanaume anauziwa product used kwa bei ghali. Used corolla inauzwa bei ya benz mpya na mteja halalamiki

    Pia biblia imeandika Mungu aliwasamehe makahaba. Ila lilipokuja swala la kuchagua Mama wa mwanae alimchagua mwanamke bikira anaitwa Maria. Hakuchagua used
Back
Top Bottom