Car4Sale Kirikuu (Suzuki carry) DLK inauzwa Tsh 3,900,000/=

Kiny

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
289
57
Habari wana JF

Ninauza Gari langu aina ya Suzuki Carry/ kirikuu , Gari ni nzuri sana haina shida yoyote , inaendeshwa na kufika mkoa wowote , haijawai kufunguliwa engine wala gear box.

Ina mwonekano mzuri sana (mint condition), ina AC na tyre zote ni mpya zina miezi 2 tangu ziwekwe.

Kwa mteja mwenye 3,900,000 namwachia mazungumzo kidogo yapo , pia tunaweza kukubaliana akanilipa kwa installments akanipa 3,000,000 inayobaki akanipa badae, ,,,

Pia nakarbisha mtu anayeweza kunikopesha 3,500,000 nikampa gari kama bond ili nimalize tatizo langu haraka kwa sasa.

Gari iko Mkoani Geita mjini,inaweza kusafiri popote bila shida vibali vyote vipo .
Namba 0711286971.

Unaendel
IMG-20200504-WA0022.jpg
IMG-20200504-WA0014.jpg
IMG-20200504-WA0016.jpg
IMG-20200504-WA0015.jpg
IMG-20200504-WA0017.jpg
IMG-20200504-WA0019.jpg
 
Habari wana JF

Ninauza Gari langu aina ya Suzuki Carry/ kirikuu , Gari ni nzuri sana haina shida yoyote , inaendeshwa na kufika mkoa wowote , haijawai kufunguliwa engine wala gear box.

Ina mwonekano mzuri sana (mint condition), ina AC na tyre zote ni mpya zina miezi 2 tangu ziwekwe.

Kwa mteja mwenye 3,900,000 namwachia mazungumzo kidogo yapo , pia tunaweza kukubaliana akanilipa kwa installments akanipa 3,000,000 inayobaki akanipa badae, ,,,

Pia nakarbisha mtu anayeweza kunikopesha 3,500,000 nikampa gari kama bond ili nimalize tatizo langu haraka kwa sasa.

Gari iko Mkoani Geita mjini,inaweza kusafiri popote bila shida vibali vyote vipo .
Namba 0711286971.

UnaendelView attachment 1440633View attachment 1440634View attachment 1440635View attachment 1440636View attachment 1440637View attachment 1440638
Mkuu pole kwa changamoto za kimaisha.ungeosha izo tair ingekua na soko zuri zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona spanner kwenye gari basi, nimekata tamaa
Hiyo whèel spanner ni sehemu ya gari, maana yake ukiinunua gari na wheel spanner unapewa kwa ajili ya safari pia ukizingatia hii ni gari ya mizigo, tyre ni mpya lakini unaweza kutana na msumari pia barabarani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom