inauzwa

  1. Mizani ya mawe inauzwa

    Mizani ya Mawe inauzwa Ipo Dar mbezi mwisho Bei 75k na mawe yake
  2. I

    Pikipiki ya honda maji inauzwa Tsh600,000. Chombo haina shida

    Salam wadau. Nauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 almaarufu kama honda manji. 1).Pikipiki ni nzima ina engine yake original. 2.)Kadi ipo 3).Bei inazungumzika 4).Mahali-ipo Ifakara Mjini. Niweka picha,kwa maulizo zaidi nicheki DM tufanye biashara.
  3. S

    Laptop Inauzwa- HP Envyx360 Min

    Nauza Laptop - Refurbished Specification: ▪️Core i7 ▪️11th generation ▪️Ram 8gb ▪️512gb SSD ▪️13.3inch FHD BEI: 750,000 Karibu kwa Mazungumzo Piga /WhatsApp: 0744614540
  4. S

    Laptop Inauzwa- Hp Envy x360

    Nauza Laptop - Refurbished Specification: ▪️Core i7 ▪️11th generation ▪️Ram 8gb ▪️512gb SSD ▪️13.3inch FHD BEI: 750,000 Karibu kwa Mazungumzo Piga /WhatsApp: 0744614540
  5. Watanzania mnalala mna raha gani? Je, nchi hii ni yetu kweli?

    Kwanza nitafafanua maana ya Taifa kuuzwa Ni Taifa ilo kupuuza matakwa ya wananchi wake na kufanya kazi wa faida ya kikundi kidogo Cha watu au nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi na sio (Umma) watu wake. Kama haijauzwa kwanini watawala hawasikilizi malalamiko ya wengi(Umma) Kwanini kila kitu...
  6. M

    Sim inauzwa

    Samsung Galaxy A90 Camera GB 128 Ram 6 Network 5G Bei 380 Fingerprint kwenye kioo Sim Mpya Ina wiki 1 aina mkwaruzo Wala mchubuko Akikisha uko serias ndo unapiga sim piga sim Chapu 0612323330
  7. Kwanini Toyota premio inauzwa bei juu?

    Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema huko mlipo. Nilikuwa napita pita kwenye mtandao wa beforward kuangalia bei za magari. Nimeshangazwa na bei za Toyota premio. Yaani unakuta gari ya 2004 CIF inasoma $5000 huko, ambayo ni milioni 12 na kitu. Ukiweka kodi za TRA na bandari inafika 24 M. Miaka...
  8. M

    Sim inauzwa

    Aquas sense 3 Camera 🔥 Gb 64 Ram 4 Bei 160 Fingerprint Ipo Mbele Sim Ina wik 3 Piga sim chapu 0612323330
  9. Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert.

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. Ukubwa wa Eneo: SQM 880. Nyaraka: Mkataba...
  10. URGENTLY Laptop inauzwa Ram 4,HDD 500,HP,Ram 4,processor 2.6hz Used kwa 350K

    Laptop used inauzwa HDD 500,Ram 4,processor 2.6 kwa 350K Contact: 0752650558/0712793505/0619808825
  11. PHARMACY INAUZWA DSM

    Pharmacy inauzwa Inauzwa na Kila kitu chake Shelves,ac,mini fridge na dawa zote Imeshalipiwa kodi ya miezi 6 tayari Ipo banana njia ya Moshi Bar Dar es salaam Bei Milioni 14 0775 179905
  12. J

    Samsung Galaxy Tab 8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy Tab 8 Kwa Tsh 250,000,Iko kwenye hali nzuri na Ina mwaka mmoja. Kwa maelezo zaidi unaweza njoo inbox.
  13. Saa ya Kikwete (PHILIP STEIN) inauzwa bei gani?

  14. Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Jana Agosti 29, 2025, Humphrey Polepole kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii alidai kwamba mtungi wa gesi ya kilo 15 nchini Cuba unauzwa kwa shilingi 2,000 za Kitanzania. Kauli hii imeibua mjadala, lakini inapochunguzwa kwa makini kwa kutumia takwimu na taarifa rasmi, inabainika kwamba...
  15. Xiaomi Redmi note 12 inauzwa

    Simu haina creck kioo safi kabisa Ram 8GB ROM 128GB CPU Snapdragon 685 Android version 14 BETTERY health Good Tsh 185k 0692402211 Airport (lumo)
  16. Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba road

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  17. Nokia kitochi 106 4G inauzwa

    Naziuza kwa bei ya rejareja ya Tshs 28,000 kwa pc 1 Napatikana Goba Center, kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
  18. Nyumba Inauzwa Goba Kwa Mwakifulefule

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  19. M

    Simu aina ya Samsung S9 inauzwa

    Samsung S9 Camera Gb 64 Ram 4 Bei 180 Sim Imenyooka Sana Sim Mpya Kabisa Piga Sim 0612323330
  20. D

    VOLKSWAGEN TIGUAN CC 1390 YEAR 2015 INAUZWA

    Gari ni yangu mwenyewe na haihitaji service yoyote kwa sasa pia ina Parking Assist, Day time running light Millage 62,300km CC 1390 New tyres Bei 32m Ipo Dodoma 0715140001
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…