inauzwa

  1. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Toyota Townace inauzwa

    Toyota Townace Engine 7k Manual Gearbox Milion 24.5 Location Dar Es Salaam Piga simu 0754693556
  2. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kubomoa inauzwa Kawe, karibu na Maghorofa ya Samia — ipo Main Road, inatazama Old Bagamoyo

    NYUMBA ya KUBOMOA 🔥INAUZWA🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI ENEO. (SQM 732) Price Mill 700 maongezi 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa

    Habarini za asubuhi wana Jamii Forum Naomba kutangaza Nyumba inauzwa Maeneo ya Fadhili Bucha Kiwanja namba 512 Kitalu C Nyumba ni Mbili kwa Moja (2 in 1) Kila upande zinafanana Sifa ya Nyumba Master bedroom Male Room Female Room Choo Jiko Pande zote nyumba zinafanana Aidha kuna Nyumba ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Miti ya mbao inauzwa (pines)

    Kuna miti pines eneo la Wino madaba ekari 38.. bei 3.2m kwa ekari Miti ipo eneo zuri gari linafika hadi shambani,, nicheki wasap 0657765168
  5. M

    JamiiForums Tanzania ACHANA NA KULIMA KWA JEMBE! RT155 POWER TILLER 15HP INALIMA ZAIDI YA EKARI 8 KWA SIKU – INAUZWA TSH 9,500,000/=

    𝗧𝗨𝗡𝗔𝗨𝗭𝗔 𝗥𝗧𝟭𝟱𝟱 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 🔥 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨, 𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗙𝗔𝗡𝗜𝗦𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢! RT155 Power Tiller ya mikono mirefu inapatikana muda wowote kwa wakulima wanaotaka kuongeza kasi na ufanisi wa kulima mashamba yao. 𝗩𝗜𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢𝗞𝗨𝗝𝗔 𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢: ✓ Diesel Engine ✓ Chassis imara ✓...
  6. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale NYUMBA INAUZWA MBEZI MAKABE TZS. 23m

    Mbezi mwisho - Makabe - Kwa Lipelanya . Ni nyumba inayohitaji finishing ndogo ili kuingia . Ukubwa wa kiwanja ni mita 17 kwa mita 18 Vyumba vitatu, sebule, dining, store Shimo la choo, setting ya vyoo, setting ya maji na setting ya umeme tayari Imeshapauliwa tayari madirisha na milango ya grill...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Car4Sale HOWO TIPPER 371 HP INAUZWA

    Karibu tunauza howo tipper 371HP Not registered Bei: million 145 Mawasiliano: 0748 270 719
  8. Kitomai

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA – MABIBO MWISHO | INAINGIZA KILA MWEZI 🔥

    🏠 💼 FURSA ADIMU KWA WAWEKEZAJI! Unatafuta property ambayo inaleta kipato kila mwezi? Hii ni fursa ya kipekee Mabibo Mwisho, eneo lenye wanafunzi wengi na biashara kubwa. 📐 Kiwanja: 300 SQM 🏠 Vyumba 4 vikubwa vyenye deka (slab), vimegawanywa kwa ajili ya wanafunzi 38 na tayari vinafanya kazi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Simu Inauzwa

    Habari ndugu zangu nauza simu Aina ya Infinix smart 7 HD ipo katika Hali nzuri Haina kipengele imetumika miaka 2 tu bei ni sh 190000 TSH karibuni maelewano yapo Nimepatwa na shida ikiwa haraka itapendeza zaidi tukifanya biashara, simu ni yangu mwenyewe ata kwa Mwenyekiti tunaweza kwenda...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

    Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon Nimesoma mikataba ya barabara Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nimesoma mkataba wa ngorongoro Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
  11. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Apartment inauzwa Kariakoo, Dar Es Salaam kwa bei ya Milioni 115

    Watu wa Kariakoo na wawekezaji mpo? Apartment safi inauzwa KARIAKOO MJINI! Location: Kariakoo - katikati ya biashara, karibu na soko, usafiri masaa 24 Details: ✓ Bedrooms 3 - kubwa na zenye nafasi ✓ Ipo Floor ya 5 - hewa safi na muonekano mzuri ✓ Inafaa kwa kuishi na kwa kupangisha - wateja...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Nyamhongoro Mwanza (502 sqm)

    Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza, ni sehemu nzuri sana, 502 sqmts, block 5, kuelekea kwa mapadri...Bei 26 mil..maongezi yapo..Hati ipo.. Karibu sana mteja mpendwa.. mercybriella@gmail.com
  13. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa karibu na Leaders Club, Kinondoni – Bei tsh bilioni 5

    🔥Tunakuletea🔥 NYUMBA INAUZWA IPO KARIBU na LEADERS CLUB KINONDONI LAMI MPAKA MLANGONI IPO MAENEO TULIVU SAANA USHUANI Umiliki (HATI SAFI) (MIRATHI HALALI) Kiwanja (SQM 1,935) 👉Price (Billion 5) Maongezi kidogo Call/WhatsApp +255758844717
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Makwaliti, matelephone ma sijui nini elewa hapo inauzwa bidhaa feki

    STUKA! Maneno haya yanaweza kukuelekeza kwenye biashara ya bidhaa feki Ukisikia muuzaji akitumia maneno kama: “Makwaliti” “Matelephone” “Original kabisa” “Dubai” “Grade A” “Masaiti” “Boss Kweza” “Kama Kariakoo” …au anazungusha maneno mengi sana huku akiweka vispika vile vya kurekodi na...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Toyota Coaster inauzwa

    🚐 Inauzwa COASTER BOX – NDEFU Inauzwa Coaster Box ndefu, yenye engine 14B. Gari ipo barabarani na inaendelea kufanya kazi. Mteja atapewa namba ya dereva ili aweze kukagua gari likiwa kazini. 📞 Piga simu: 0712 801 265 ⚠️ HAITAJI DALALI.
  17. H

    JamiiForums Tanzania COSTA inauzwa

    Inauzwa:- COASTER BOX - NDEFU. ENGINE 14B Ipo Barabarani inafanyakazi, Nakupa namba ya Dereva unakagua Gari ikiwa Kazini. Piga:- 0712801265 Note: Sihitaji Dalali,
  18. H

    JamiiForums Tanzania COSTA inauzwa

    Inauzwa:- COASTER BOX - NDEFU. ENGINE 14B Ipo Barabarani inafanyakazi, Nakupa namba ya Dereva unakagua Gari ikiwa Kazini. Piga:- 0712801265 Note: Sihitaji Dalali,
  19. M

    JamiiForums Tanzania Urgently; Infinix hot 60 pro inauzwa 220k

    Wakuu habari Mkuu habari!! Nina changamoto ya kifedha kodi yangu ya nyumba imeisha mwenye nyumba wangu anatishia kunifungia nyumba Usiku huu, nina simu yangu naiuza nilinunua mwezi wa pili mwaka huu infinix hot 60 pro. Bei kama 220k. Location Banana mawasiliano 0750607844
  20. TUMBOO

    JamiiForums Tanzania Nyumba (pagale) inauzwa marambamawili karibu na shule ya msingi king’azi

    Habari wakuu nyumba ( pagale). Linauzwa …. ipo mbezi marambamawili karibu na shule ya msingi kingazi jirani na tank la dawasco … Ukubwa wa eneo ni sqm400…… Mauziano serikari za mitaa… Bei sh 21m(bei inapungua).. (Lina vyumba 6 (sio vikubwa) 0692669235 N:B.. amna udalali (karibuni)
Back
Top Bottom