inauzwa

  1. JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP Laptop 14 7 Genaration inauzwa

    Sina maelezo mengi ila dili na Specifications Hp Laptop 14 Processor Intel(R) Core i3-7020U CPU @2.30GHz (4CPUs) 7th Generation Memory 4GB Storage 256 GB SSD Battery 🔋 5Hrs Second Hand Tsh 400,000/= kwa member wa JF tu. #0622 901670
  2. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Makabe, imejengwa mpaka kufikia kwenye Lenta

    Ukubwa wa kiwanja - 20 kwa 20 Ramani yake - Vyumba vitatu ( 1master) Sebule Dinning Jiko Stoo Bei - 15MILION🔥🔥🔥 Mahali - MBEZI-MAKABE Mawasiliano - 0688986066/0747840807
  3. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Manzese Tiptop

    Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential kibiashara gari linafika mpaka sehemu husika ni kuna barabara ya mtaaa hata nyumba ya makazi .Bei ya hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Gauni ya Harusi inauzwa 140,000/=

    Price: 140,000/= Location: Mbezi kimara Cont: 0758 597106 condition: Used only once.
  5. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa mil.50

    Hiyo nyumba inauzwa ipo kimara suka ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master na jiko store public toilet na sitting room na dinning Room eneo lina ukubwa wa 25x27 Bei milioni 50
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Drone Camera inauzwa

    Drone Camera mpya kabisa inauzwa kwa bei nafuu sana tupo Dar na tunatuma mikoa yote. wasiliana nasi kwa simu 0717040837 au 0767267664
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale Honda Crossroad inauzwa

    Gari ipo katika hali nzuri na imetunzwa kama 0Km, njoo na fundi wako uchukue mali. Contacts: 0746 931 556 Location: Mwanza Bei: 17M (Milioni kumi na saba ) tshs.
  8. A

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

    Ipo Kibaha kwa Mfipa, ni kama 5 toka barabara kubwa inauzwa ml 90. Huduma ya maji na umeme vipo karibu, ina kisima cha maji pia, nyumba kubwa ya vyumba 3 na master. Pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba vinne na yapo mabanda ya kufuga makubwa matatu, unaweza kufuga kuku, ng'ombe, mbuzi n.k, vyote...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy S10 inauzwa

    Wanabodi, Samsung Galaxy S10 inauzwa Storage: 128 gb Ram: 8 gb T-mobile Bei: 800000 (Maongezi yapo) Telephone: 0766543258 Dar es Salaam
  10. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop ya hp inauzwa

    Habari wanajukwaa. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nauza PC ya Aina ya hp. Ni ya kwangu niliinunua dukani sema receipt nime replace. Ukiihitaji tutaandikiana kwa mwenyeketi wa mtaa ama polisi uwe na amani. Ina materials Kama yote na programs na softwares za Civil Engineering. Haina movie...
  11. JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubishi Canter inauzwa

    Condition: Used Eng Type : 4D33D YOM : 1993 Eng CC : 3660 Location : Mbezi Jogoo , Dsm Price: TZS 25M Contact : 0788 907760
  12. JamiiForums Tanzania Laptop Dell Inspiron N5040 inauzwa

    Ni kweli na wala sio utani! Ni Laptop aina ya Dell Inspiron N5040. UWEZO. 1. Processor~ Core i3 @2.5 GHz. 2. Ram 4Gb. 3. Hard drive 500 Gb. 4. Betri 4 Hour's Bei Tsh 400,000/= Mawaliano:- 0622 901670 Location:- Kariakoo~ Dar es Salaam. Ushindwe wewe tu mwaisa. NB: Hizo picha hazina filter...
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA 8TB Desktop hard disk inauzwa

    Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE, Size: 8TB Price: 250,000 Contacts: kwa muhitaji tuchekiane PM Location: DAR - M/CITY HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa yako,Popote ndani ya Dar biashara inafanyika (kwa gharama zako mnunuzi) ukihitaji uletewe hata...
  14. JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Passo inauzwa

    Habari nauza toyota Passo Maelezo : Toyota passo Cc 990 Piston 3 Rangi Pearl New tyres Full ac Iko kwenye hali nzuri kabisa ,Haina changamoto yeyote , Price : 6M MAWASILIANO: 0754200363 Wahi chap
  16. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pump ya kumwagilia inauzwa

    Pump ya kumwagilia inauzwa inch 3 800000 bargain Ipo nicheki 0710881879 Nipo mwenge Dar
  17. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Dust sucker mashine inauzwa

    Wadau nauza mashine ya kutolea vumbi Niko Dar Mwenge 0710881879 Bei 80000
  18. JamiiForums Tanzania MITI YA MIAKA 6 INAUZWA MAFINGA

    Bei laki 6 kwa EKARI Umbali kutoka Mafinga mjini ni km 60 Kijiji kinaitwa Chakilosa Jumla zipo ekari 4
  19. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach (Stand alone)

    Ni standalone 4bedrooms living room dinning kitchen area size 800sqm Asking price 280mil note...viewing charges is applied
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza nzuri ya kusomea inauzwa

    Nauza meza ya kusomea/kuandikia bei chee - Temeke, Dar es salaam. Bei: 60,000/-
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…