inauzwa

  1. Fadhil Ramadhan

    Nauza simu

    I phone 5s inauzwa...bei ni 170 ipo in a good condition GB 32 haina shida yoyote ilee LOCATION ni GOBA CENTER cont 0786774828
  2. ndogondogo

    website inauzwa

    #
  3. ndogondogo

    INAUZWA Website inauzwa

    #
  4. D

    INAUZWA Nauza AC, ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia

    Habari za majukumu. Nauza AC ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia unafungua unabeba Nauza sababu nahama napoishi na baadhi ya vitu sitakuwa na uhitaji navyo tena, Pia nauza na Mziki Kwa ajili ya matumizi ya sherehe mbali mbali na matamasha Napatikana...
  5. L

    Canter inauzwa kwa bei nafuu

    Habari wadau,,,,ninauza canter ya tani nne kwa bei nafuu, imetembea km 48500 tu, na bodi lake Lina urefu wa mita 4,,,,,,kwa maelezo zaidi piga namba 0783696253,,,ninapatikana dar es salaam
  6. Rockefeller

    House4Sale Numba inauzwa Buguruni

    Habari za mida, Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba pia kuna eneo la kuweza kutoa vyumba vitatu single. Nyumba ipo Buguruni mtaa wa Azimio karibu...
  7. Ngwango

    INAUZWA Machine ya kukoroga sabuni za maji inauzwa

    Machine ya kukoroga sabuni za Maji inauzwa. Ina uwezo wa kukoroha Lita 200 kila dk,15 bei ni sh million 5 tu. Sema nami namba hizo: 0784692584: 0715888376 welcome.
  8. Aizi Azma

    Infinix Hot 8 Lite - Inauzwa (Dar)

    SOLD!
  9. MrsPablo1

    House4Sale Nyumba inauzwa Milioni 26. Ipo Mbezi Mwisho, eneo la Msakuzi

    Nyumba ipo Mbezi Mwisho mtaa wa Msakuzi ipo karibu na barabara/Kituo cha Daladala. Nyumba hiyo ina vyumba vitatu. Price: TZS 26,000,000 (mwenye nyumba ana shida ya haraka kwahiyo kashusha bei) .Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji • kiwanja kina ukubwa wa eneo 35...
  10. MrsPablo1

    House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msakuzi 30mil

    Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala Price: TZS 26,000,000 ( mwenye nyumba ana shida ya haraka kwa iyo kashusha bei) .Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji • kiwanja kina ukubwa wa eneo 35 kwa 20 • maji na umeme vipo ...
  11. Muislaam

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbagala

    Ipo Mbagala Zakhem, nyuma ya gholofa la Amana Bank. Hati milki ipo. Bei ni milioni 55, maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga: 0714167626 au 0688882973
  12. BASIASI

    Nyumba inauzwa iko Mbweni Masite haijamalizika 40*23

    BEI 43" 000" 000 43MIL HAIN DALALI UKUBWA 40*23 DK TANO TOKA MASITE MBWENI BARABARAN UKIWA BARABARANI UNAIONA AIJAMALIZIKA KUBADILISHA DOCS INAKUHUSU.MNUNUAJI HATI.IPOOOO CONT +255713458722 HAINA MAONGEZI WALA PUNGUZO
  13. kagombe

    Huawei-E560-MIFI-Router inauzwa

    Huawei-E560-MIFI-Router 3g inatumia line zote ila imetumiaka bei T sh 40000
  14. Mikopo Chefuchefu

    Huwa mnamalizaje pesa kwenye pombe wakati Mbogo inauzwa Tsh 500 na Faru Tsh 600?

    Mbona pombe ni bei nafuu sana? Mnaosema inamaliza hela, huwa inamalizaje?
  15. BeEducated

    INAUZWA Kompyuta desktop complete inauzwa

    Nauza Komyuta (Desktop complete) Yenye Sifa zifuatazo. Core i5 @ 3.10 proccessor, 4GB RAM, 500GB HDD, 19" Monitor, keyboard and Mouse. Bei ni Tsh. 330,000/. Napatikana Dodoma mjini . Kwa maawasiliano : Phone: 0620823250 / 0744774462, Whatsapp:0744774462 Karibun sana!!.
  16. nyamchele

    House4Sale Kiwanja na nyumba vinauzwa Magomeni

    Sehemu: Magomeni Kagera (kinatazamana na Morogoro Rd) Ukubwa: 347 sqm Bei: Milioni mia moja na kumi tu (110,000,000) tu Kina Leseni ya Makazi Contact: 0655888268
  17. EJOSMAT

    Camera inauzwa

    Camera Nikon 3200 + battery + Charger + lense ya 18-55mm Inauzwa bei cheap Tsh 600,000 Tu. Haina Tatizo lolote imetumiwa miezi 8 Inashoot Full HD video na picha Tupo Mbezi beach , Dar Mawasiliano 0767267664
  18. Jakamoyo msoga

    Offer ya haraka, photocopy machine ya 1,000,000 inauzwa 700,000 ni mpya

    ofisini machinga Complex Wasiliana na 0747 668 944
  19. M

    Laptop nzuri kabisa HP inauzwa 800,000/tu!

    2:International storage : 1tb( 1,000) 3: Model : Hp 4:Color : Gray 5: Mideum width. 6: With webcam 7: Inakaa na charge zaidi ya 2hrs. 8:Angalia picha iliyoambatanishwa. Inapatikana Arusha -Tengeru (kama upo nje ya Arusha, tutafanya utaratibu wa kukutumia) Mawasiliano....0784355775
  20. BASIASI

    Plot inauzwa Moshi Soweto SQ 10" 000 eneo zuri

    KIWANJA KINAUZWA KINANYUMBA NDOGO PEMBENI VYUMBA VIWILI MAHALI SOWETO MOSHI UKUBWA SQM10" 000 KINA DOCS ZOTE HALALI ZA WIZARA BEI MILIONI 65 CONT 0713458722/ 0688552275
Back
Top Bottom