Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani.
Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani.
Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
Nilisikia kwenye Chombo cha Habari kuwa; Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, baba ndio anatoa hela za kila kitu kwenye Familia na hela ya Mke haihusu familia......
1. Baba ana wajibu wa kulea na kutunza familia ikiwemo kujenga nyumba, kulipa ada na kila kitu cha familia yake. Nikaona hii ni ile...
Hamjambo wote!
1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea.
2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI.
3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika.
Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema amekuajiri yeye anaweza kukufukuza kazi.
Mfumo wa kuthibitisha watu kazini ni mbovu unaweza jikuta...
Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni kama tunajilazimisha kuishi tu siku ziende.Mpaka topic za kuanzisha thread mtu unakosa.
Nikiingia...
Wana JF, poleni na majukumu…
Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa kuliko tunavyodhani, na tukiliacha litaendelea kutengeneza kizazi kinachohangaika bila sababu.
Kwa muda...
Justice needs to be Seen to be Done.....
Ni mengi yametendeka hivi karibuni wala hayahitaji maelezo, kuna wengi waliopoteza ndugu zao na jamaa zao (hata tukisema hao jamaa walikuwa waharifu basi ni vema tungewashika na kuwashitaki)...
Sasa sababu tumeshafika hapa na tunahitaji kuponyana na...
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!”
Tanzania iko katika kipindi hicho sasa:
Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika
Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili
Hatuzijui sikukuu...
Hamjambo!
Moja ya mambo niliyojifunza kwa muda mfupi kuhusu utetezi wa Haki ni pamoja na uhusiano wa Haki na Saikolojia. Na hapo ndipo nikakuta mifano halisi katika jamii yetu.
Nitakupa mifano kadhaa;
1. Huwezi tetea haki za Waumini wa Manabii wa upako ambao unahisi au unajua wanatapeliwa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Victor Tendega, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Kalenga kumchagua mtu sahihi wa kuwatumikia, mtu anayejua namna ya kuchukua kero za wananchi, kuzipeleka sehemu husika na kurudi na majibu yenye tija.
Akizungumza...
Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa
Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni:
Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters)
2. Huduma...
Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
👉Kwa Nia njema Nina Machache kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama changu Cha Mapinduzi (CCM), niseme tu kwamba CCM inahitaji kufanya 'Reform' yaani Mageuzi au Mabadiliko ili kutengeneza ari na mwamko mpya wa Chama na kuleta mvuto kwa wanachama wake pamoja na watu wengine wasio wanachama wa...
Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.