inafikirisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    "kids"hivi Kuna wimbo inafikirisha kama huu

    Sasha Alex hapa alitulia sana
  2. ndege JOHN

    Inafikirisha majanga ya Sudani na Afghanistan yalivyofuatana

    Aisee dunia NI kama mashine ya KUKATA inakula watu vibaya mno imagine Jana Tu watu 800 wamekufa kwa tetemeko nchi ya Afghanistan Leo asubuh kuna maporomoko huko Sudan watu zaidi ya 1000 wamekufa.Ndo maana tunasema ndugu zetu hawa waache maimani makali na ugaidi kuua watu kupigana kila siku ona...
  3. The Burning Spear

    GE2025 CHADEMA wapo mbele ya muda aisee hii Tone Tone ya CCM inafikirisha sana

    GT Nishawahi kusema these Chadema people have big brain mara zote wanaona ambako CCM Hawaoni. 1. NRNE: CCM wakaja na mpango wa Oktoba Tunatiki 2. Tone Tone: CCM wakaja na harambee 3. Magwanda: CCM wakaanza kushona Magwanda ya kijani. 4. Kunyanyua Ngumi Juu: CCM wakajaribu kuiga ishara ya ngumi.
  4. Sonko Bibo

    Mkuje huku mchukue maua yenu tafadhali maana inafikirisha sana...

    Wasalaam tena, 1. Ninyi ambao mlijitoa kuwatunza watoto wa wanaume wengine — bila kinyongo, bila malalamiko — lakini mwisho wa safari mkalipwa dharau, kejeli na masimango... Pongezi nyingi kwenu. Msingeweza, lakini mlijaribu. Dunia inaweza kusahau, lakini dhamira zenu zinastahili heshima. 2...
  5. Rico redi

    Mechi ya Simba vs TMA inafikirisha

    Tumeshinda ni jambo jema lakini timu ilivokua inacheza inafikirisha kwakweli binafsi niliyoyaona 1 Beki zetu za kati bado naona kuna ka hali Fulani kanatia wasiwasi hiyo tar 8 sijui labda kwa vile derby haiamuliwi na kiwango cha timu husika inatokana na mambo mengi ningekua kwenye bodi ya...
  6. Nelson Kileo

    Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ? Tizama...
  7. Minjingu Jingu

    Kitenge aigeuka DP World? Hii Nukuu yake inafikirisha

    Hii ni Nukuu kutoka kwa aliyewahi kuwa Waziri Zambia. Bw. Kapwepwe. Ingawa yeye Kitenge kwa kuwa ni bwege hajaweka kama nukuu. Yaani kajifanya kama ndo yeye kaandika. Sisi wajuvi tunaelewa. Ilisemwa na nani.
  8. LIKUD

    Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  9. kiwatengu

    FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBC Premier League ⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC 📆 30.11.2024 🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi 🕖 6:30PM(EAT) KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Tukutane hapa kwa Updates... Updates... 18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa . Umiliki ni...
  10. B

    Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

    Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale. Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko. Msingi wa kutoa mahari miaka ya zamani ulikua ni up? Na je, miaka ya Sasa msingi ni upi? NB: Angalieni na...
  11. Elsa Marie

    LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

    HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa. Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha...
  12. Heart Wood.

    INAFIKIRISHA: Ukiwa Muadilifu, Mchapakazi na Muungwana kazini unakuwa fukara; Ukiwa Mjanja mjanja, Mvivu na Mpiga madili unakuwa na ahueni Kiuchumi

    Wakuu, Hebu achaneni kwanza na wasemao huwezi kujikwamua kwenye ajira, maana hayo ni maneno ya Motivation speakers tu. Hii ni kwasababu kazini kukiwa na maslahi mazuri, obvious utakuwa na ahueni kiuchumi. Sasa turudi kwenye mada: Kama kichwa cha thread kinavyosema, hiyo ndo hali halisi huko...
  13. R

    Inafikirisha, Polisi alimtumaje KAZI Mjeshi?

    Salaam, shalom!! Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI. Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani ,limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu...
  14. M

    Pay as you earn inafikirisha na kuumiza kichwa sana!

    Nimelinganisha salary slip za watu wawili tofauti, mmoja ana basic salari sh 2100000 analipa Kodi sh 412000, na mwingine basic salary sh 1100000 analipa Kodi sh 101000. Je, Kodi hizi zina uwiano Gani na kipato chetu watumishi wa serikali?
  15. meghan markle

    Hii mialiko ya futari inafikirisha. Sasa imeshakuwa trend!

    Hi tabia ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa. Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha...
  16. dalalitz

    Eric Prince asema ni wakati Afrika itawaliwe tena. Haya ni matusi, lakini inafikirisha

    Hili lijamaa ni libobevu kwenye Mapigano Majini ( US-NAVY SEAL) 'listahafu' na pia lenye Mapesa yake mengi tu. Sijajua iwapo limetumwa au ni vipi lakini, limenukuliwa likitamka Uozo huo unaoweza kumchefua Muafrika yeyote. Kauli hii inasikitisha. Kuona kuwa inafaa mwingine kutawaliwa, tena Zama...
  17. Kiungopunda

    Video inafikirisha sana

    Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
  18. B

    Hoja ya huyu jamaa kuhusu dini za weupe kwa waafrika inafikirisha sana

    Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY" How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli.. Mifano hai...
  19. benzemah

    Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  20. Li ngunda ngali

    Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

    Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu. Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
Back
Top Bottom