imf

The International Monetary Fund (IMF) is an international financial institution, headquartered in Washington, D.C., consisting of 190 countries working to foster global monetary cooperation, secure financial stability, facilitate international trade, promote high employment and sustainable economic growth, and reduce poverty around the world while periodically depending on the World Bank for its resources. Formed in 1944, started in 27 November 1945, at the Bretton Woods Conference primarily by the ideas of Harry Dexter White and John Maynard Keynes, it came into formal existence in 1945 with 29 member countries and the goal of reconstructing the international monetary system. It now plays a central role in the management of balance of payments difficulties and international financial crises. Countries contribute funds to a pool through a quota system from which countries experiencing balance of payments problems can borrow money. As of 2016, the fund had XDR 477 billion (about US$667 billion).Through the fund and other activities such as the gathering of statistics and analysis, surveillance of its members' economies, and the demand for particular policies, the IMF works to improve the economies of its member countries. The organization's objectives stated in the Articles of Agreement are: to promote international monetary co-operation, international trade, high employment, exchange-rate stability, sustainable economic growth, and making resources available to member countries in financial difficulty. IMF funds come from two major sources: quotas and loans. Quotas, which are pooled funds of member nations, generate most IMF funds. The size of a member's quota depends on its economic and financial importance in the world. Nations with greater economic significance have larger quotas. The quotas are increased periodically as a means of boosting the IMF's resources in the form of special drawing rights.The current Managing Director (MD) and Chairwoman of the IMF is Bulgarian economist Kristalina Georgieva, who has held the post since October 1, 2019. Gita Gopinath was appointed as Chief Economist of IMF from 1 October 2018. Prior to her appointment at the IMF, Gopinath served as the economic adviser to the Chief Minister of Kerala, India.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    MPYA Tanzania inadaiwa zaidi ya Shs 4,803,248,421,486 na IMF, kutokea Shs 0 Disemba 2020

    Mpaka mwezi January 2026, tunadaiwa zaidi ya Shs 4,803,248,421,486 na IMF (sawa na SDR 1,335,730,000). Mnamo Disemba 2020, jemedari na jembe Dr. John Pombe Magufuli alimaliza kulipa deni lote la IMF - mpaka balance ikaonyesha 0 (sifuri au zero). Link ya IMF wenyewe...
  2. R

    IMF: Mfumuko wa Bei Duniani Kushuka hadi 3.8% kwa 2026 na 3.4% ifikapo 2027

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kristalina Georgieva, amesema mfumuko wa bei duniani unatarajiwa kushuka hadi asilimia 3.8 mwaka huu na kufikia asilimia 3.4 ifikapo mwaka 2027. Amesema hali hiyo inachangiwa na kupungua kwa mahitaji ya bidhaa pamoja na kushuka kwa bei...
  3. I

    Mpaka Sasa IMF Wanatudai Trilioni 3 na Bilioni 400 (3,400,000,000,000)

    Nchi kadhaa barani Afrika zinaomba msaada wa kifedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), misaada inayoambatana na masharti magumu ya kisera yanayoathiri maamuzi ya kiuchumi na uhuru wa nchi husika. Kwa mujibu wa Businness Insider Africa katika orodha Misri inaongoza kuwa na deni kubwa...
  4. Lord Denning

    PostGE2025 Awamu ya Pili: Uelekeo sasa ni World Bank, IMF, USA, Canada, UK, Japan, Korea Kusini na Global Fund

    Baada ya mkeka wa EU kutiki na jambo la ICC kuwa linaendelea vizuri sana. Kifuatacho sasa ni kwa Wafadhili wengine wakubwa wote wa Tanzania. Kuanzia Marekani, Benki ya Dunia, IMF, Global Fund, Korea Kusini, Japan, Canada, UNDP, Sweden, Finland, Uswizi na Norway. Kwa kifupi hakuna rangi CCM...
  5. S

    IMF, Benki ya Dunia na nchi wafadhili, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa serikali hii ya Tanzania?

    Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali? Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote...
  6. Analogia Malenga

    Tafiti ya IMF yashauri Crypto-currency kutotumika kama fedha halali (Legal tender)

    Utafiti wa IMF kuhusu Malipo ya Kidigitali - Sub Saharan Afrika, imeshauri kutotumia Crypto Currency kama fedha halali ya malipo. Suala hili linakuja wakati ambapo duniani Crypto Currency zinaongezeka kila uchao na baadhi ya nchi zikiwa zinaitumia fedha hizo kwa malipo ya kawaida. Suala la...
  7. R

    IMF yaipongeza Senegal kwa kuimarisha uchumi na kuweka wazi deni halisi la Taifa hilo

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeisifu Senegal kwa kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi wake kupitia mageuzi muhimu, pamoja na kushirikiana na IMF kufafanua na kurekebisha taarifa kuhusu kiwango halisi cha deni inachodaiwa. Kwa mujibu wa msemaji wa IMF, Julie Kozack, akimnukuu Naibu...
  8. Stuxnet

    IMF Yaidhinisha mkopo wa Tsh 1.2 Trillion kwa Tanzania

    IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje? Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo...
  9. Carlos The Jackal

    Ulaya , Marekani na Mashirika ya Fedha ya Duniani Kuna sababu ya kuendelea Kutoa Misaada na Mikopo kufuatia Serikali Kusimamisha Ruzuku Kwa CHADEMA?

    Swali langu huko CCM Huwa siku zote ni Moja tu, Unatakiwa uwejinga Kwanza ndio uwe Mwanaccm ? Au MTU anakua na akili yake vizuri tu kwanza alafu akishakua Mwanaccm ndio anakua Mjinga?. RAIS Samia kupitia Msajili Kasitisha Ruzuku Kwa Chama Cha CHADEMA , hii sio vita dhidi ya CHADEMA, ni vita...
  10. Mstahiki Mea

    IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake. Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu...
  11. Mshana Jr

    Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

    Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo. Maoni ya mdau: Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee...
  12. Mapenzi ya Mungu

    Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in February 2025

    Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in February 2025 While some African countries have chipped away at their debts others have piled onto them, as they’ve reached out to financiers like the International Monetary Fund (IMF) for financial aid. Excessive debt accumulation...
  13. I

    Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

    Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba...
  14. M

    Tanzania Yaendelea Kung'ara Uimara wa kiuchumi: Ripoti ya IMF Yathibitisha Udhibiti Imara wa Deni la Taifa

    Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
  15. CM 1774858

    IMF yatoa taarifa ya nchi 10 zinazoongoza kwa Madeni makubwa barani Africa Kenya yashika nafasi ya pili Tanzania ya Samia haipo kwenye orodha

    Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in Q4 of 2024 Rank Country Total IMF Credit Outstanding as of 09/27/2024 1. Egypt 9,450,430,014 2. Kenya 3,022,009,900 3. Angola 2,989,900,003 4. Ghana 2,245,321,000 5. Cote d'Ivoire 2,192,118,672 6. Democratic Republic of...
  16. State Propaganda

    IMF Ranks Russia as the fourth Largest Global Economy

    The International Monetary Fund (IMF) has declared Russia the fourth largest economy globally by purchasing power parity (PPP). Russia's economy has outpacing the growth rates of all advanced economies, including the U.S., UK, France, and Germany. This growth is driven by robust private...
  17. Mtoa Taarifa

    Tanzania kupewa Mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 720 kutoka IMF

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeeleza kuwa limefikia makubaliano na Serikali ya Tanzania yatakayowezesha utolewaji wa mkopo nafuu wa dola za Kimarekani milioni 265.78 sawa na takribani shilingi bilioni 720 kupitia utekelezaji wa program ya mikopo nafuu ya IMF ya Extended Credit Facility...
  18. W

    Wakenya Waandamana IMF kupinga Serikali ya Kenya isipewe Mikopo

    Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka serikali ya Kenya kutokupewa mikopo na Shirika hilo kwani inatumika kizembe Wakenya wamelaumu Shirika hilo...
  19. L

    IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  20. Suley2019

    International Monetary Fund (IMF) apologises to Kenyans ‘who have lost their lives

    International Monetary Fund (IMF) apologises to Kenyans ‘who have lost their lives, lost loved ones or suffered injuries’ in anti-government protests. The International Monetary Fund (IMF) has apologised to Kenyans who were adversely affected by the anti-government protests that saw the...
Back
Top Bottom