imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Kila mtanzania mpenda HAKI kwa IMANI yake apige magoti kwa Mungu, atajibu HAKIKA

    Naelewa na najua watanzania wengi wanaumia na Wana maswali mengi ya haya yanayoendelea..je ni sababu ya ulafi wa Madaraka ama Kuna kingine? Ila kwa tafakuri niliyofanya nimekuja na majibu haya Usicheze na maslahi ya kifisadi ya kikundi Cha watu kadhaa , ...utekaji/mauaji yanatokeaje? Pale...
  2. CCM kurudisha Imani vizazi vya namna hii ni kazi kubwa

    Ilikiwa video na mabaya zaid nipiga kura mahiri wakinamama Hawa wanawake wameamua kutoa kama tangano sasa hapa ni ngumu kuwapa Imani na chama tena. https://www.instagram.com/reel/DILfS7shYyA/?igsh=MXV1dnQyc2FtbWR6cA==...
  3. PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

    Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda. Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda. Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa Watanzania wenzangu huu ni wakati...
  4. D

    Kufungia Makanisa na Kushambulia Viongozi wa Kikristo ni Mashambulizi Dhidi ya Imani ya Kikristo, Hatutakubali

    Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza. Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60...
  5. Makanisani na Misikitini Wamejaa Wapagani Wengi Sana Ambao Wanaenda kwa Sababu Mbalimbali

    Na: Rorschach Katika jamii zetu, tunaamini kuwa yeyote anayekwenda kanisani au msikitini ni mtu wa dini, muumini thabiti wa mafundisho ya imani husika. Lakini swali la msingi ni hili: Je, watu wote wanaohudhuria ibada kweli ni waumini? Je, kuna uwezekano kuwa makanisa na misikiti yetu siku hizi...
  6. Imani ndio kila kitu...

    Lakini pia kuna wakati wa kupata💪🏿👌🏿
  7. Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

    Sabato Njema! Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana. Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote. Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
  8. PreGE2025 CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Mhe. Amani Golugwa, usiku wa kuamkia Jumanne, Mei 13, 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Pia Soma: Jeshi la...
  9. PreGE2025 Katibu wa Wilaya CCM Kondoa: Muislam wa kweli huwezi kwenda kuswali bila kumtaja Rais Samia

    Wakuu, Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu. Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa. Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana. Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu...
  10. Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  11. Ndg zetu katika Imani hii kucheza namna hii nayo imeandikwa kwenye kitabu kitukufu Quran?

    Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
  12. R

    Kisa cha msanii Q Chilla kumzaba kofi Ruge Mutahaba wa CMG Mwanza mpaka kuanguka kwake kimuziki kwa imani za kishirikina.

    Suala la Q Chila na madhara ya kupiga ramli Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo) Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani. SABABU HALISI ILIYO FANYA Q CHILA AFE KISANII. 1. Alikuwa...
  13. Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  14. PreGE2025 Wafanyabiashara wa Makambako, tuna imani na serikali iendelee kushughulikia changamoto hususani sheria kandamizi

    Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara zao. Aidha Msigala, ameiomba serikali iendelee kushughulikia changamoto mbambali ambazo bado...
  15. A

    PreGE2025 Wadau wataka tamasha la kuombea uchaguzi mkuu liwe la imani zote

    Wakati siku za kufanyika kwa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 zikikaribia, baadhi ya wadau wameshauri kuwa, tamasha hilo lihusishe waumini wa imani zote. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao wapenda amani walisema kuwa, endapo tamasha hilo litahudhuriwa na watu wa imani moja...
  16. Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  17. Upuuzi, ushamba, kuamini watu wasio na elimu, utoto na imani za kishirikina zimeigharimu Yanga

    Yanga ni washamba kundi kubwa halina elimu (makomandoo, wanachama na mashabiki wao. Ushirikina Mzee mpili, Magoma na wazee wote Yanga) Ushhamba (Ali Kamwe, Manara, Hersi na Privaldinho), utoto na upuuzi mwingi Arafat, Hersi na wengine wengine wanaosapoti ujinga) Leo kwa aibu wanang'ang'ania...
  18. M

    Waislam msiwaite wenzenu makafiri,sio jina zuri

    Ndio, maana kimaana ya kugha ya kiswahili 'kafiri' ni mtu asiyeamini. Na hii ipo hasa kwenye hizi dini kubwa mbili duniani. Eti we muislam,mtu ambaye hakuzuii kujifuza dini yako,hakuzuii kufanya ibada,pengine mtu huyo ni mfanyakazi wako/boss wako/mama/baba yako n.k. je ukafiri wake ni upi ikiwa...
  19. Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

    Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
  20. kueleka mfungo wa imani ya kiislam nimesikia kuna watu wanasema tusile hadharani kwanini wafuasi wa dini ndiyo wasifunge hadharani

    Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani. Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi. Mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…