Wakuu natoka msibani kwa mjomba wangu muda huu
Mjomba alikua mfanyabiashara alikua na upepo wa biashara ogopa,
Alikua akija kununua mzigo hadi yeye amalize ndo wengine wenye mitaji midogo midogo mtafafa
Alikua kwenye biashara kwa miaka zaidi ya kumi
Mala gafla kaanza kuumwa,peleka vipimo...