ikulu

The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.

View More On Wikipedia.org
  1. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Naona kidogodogo Ikulu ya JMT inahamia Zenji. (Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar)

    Tunaelekea mwezi wa 3 sasa. Mambo ya nchi mengi yanafanyikia huko Zenji Ikulu ndogo🤔
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Sasa! Siku hazigandi Samia anakaribia kubakiza miaka minne IKULU

    Leo tarehe 28/12/2025 Dr Samia atakuwa kabakiza miaka 4 na miezi TU kuendelea kuwa IKULU MLIO nae msituringie 🤣😂mkiongozwa na Bashite
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu

    Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu
  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    SAMIA NA ANGUKO LA KATIBA: KAMA HAMKUTAKA NIWAUE WATOTO WENU KWANINI MLIWARUHUSU WAINGIE BARABARANI KUFANYA MAANDAMANO YA KUNIPINDUA? I. USULI “Ukiona serikali ambayo haitaki kukosolewa, tambua kuwa hiyo si serikali nzuri. Serikali inayokataa kusikia sauti za watu wake inaelekea kwenye udikteta...
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla ya Oktoba 29 watu walishasema uchaguzi huu usifanyike kwanza, lakini ombi lao lilikataliwa

    Luka 13:32 Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.’ Kabla ya uchaguzi, Wati walishasema uchaguzi huu usifanyike kwanza, Tupishe njia za haki zisimame vyema, Ombi hilo likakataliwa...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii account mtandao X ya raisi inawezekana inaongozwa na mtoto wala sio yeye wala ikulu.

    Hivi mjawahi kujiuliza account ya raisi anatumia yeye au mtu maalumu kama sio mwanae,basi mtu wake wa karibu. Tumeona account ya Dolnad trump na viongozi wengi. Hata wajibiwe vipi uwezi kuona wana kublock labda kuwepo na shida kubwa sana. ila ya huyu yani ukimpa challenge na spana unaingizwa...
  7. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ikulu ndogo ya Chato mpaka Ikulu ndogo ya Tunguu

    Siku hizi Rais Samia anaenda Ikulu ya Chamwino iliyopi Dodoma mara moja kama kupokea wageni na kurudi zake siku hiyohiyo Ikulu ndogo Tunguu iliyopo Zanzibar. Zamani sio sana tulikuwa na Ikulu ndogo ya Chato, bwana yule angeweza kukaa kule hata zaidi ya mwezi na hata nyakati fulani alimuapisha...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wanaotumihiwa kuiba Bil mbil Tamesa wanafutwa kazi na kupelekwa Mahakamani. Angela Kiziga yupo Ikulu akimsadia rais Samia Kazi

    Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza. Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau na kebehi kwa walipa kodi. Lakini leo hii ni miongoni mwa WanaCCM ambao ambao wapo karibu na...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Lissu agoma kuwa kama Mbowe, agoma kuachiliwa Ikulu anataka aachiliwe mahakamani

    Lissu wewe ni mwamba. Yaani wanataka kukuachilia Kwa kupeana mkono pale jumba jeupe ila unagoma. Lissu unatunyima usingizi sisi machawa. Umegoma kwenda Ikulu kama Freeman umegoma. Kazi yetu inakuwa ngumu sisi machawa mbele ya kimataifa. Lissu legeza kamba umetushika pabaya Upo gerezani...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanahabari IKULU mtendeeni haki Rais Samia, hata kama hampendi, si anawalipa vizuri?

    Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU, Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa na mawaziri lakini hamsemi, hii ni inshara hamuwapendi mawaziri wenu ndio maana hamasemi...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Siasa; Mzee mseveni anataka Kufia IKULU?

    Jibuni swali langu
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania nchi huru, nyie mnaosubiri Trump na vi organizations uchwara viwasaidie kukaa Ikulu imekula kwenu

    Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI? Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga. Hata wasipotoa pesa tutaishi vivyo hivyo ingawa wewe mwananchi ndiyo tutakuminya zaidi kwenye...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ikulu ilikuwa Madrassa zamani hizo, Ndiyo kuna shida gani? It is not making sense, Waziri huyo na baba yake huwa siwaelewagi. Wapo kwa shari shari tu.

    Huyo aliyesema kuwa ikulu ilikuwa madrassa zamani mara baada ya kujengwa na wajerumani. Kama waingereza walitumia kuwapo watu kufundishia watoto "Ilim Duniya na Ilim Akhera" kuna shida gani? Hiyo ni historia ya nchi yetu....Siyo jambo la ajabu! Waingereza waliitoa nyumba ya Governor kufundishia...
  15. Life2

    JamiiForums Tanzania Tumeambiwa Ikulu ilikua ni Madrasa ya watu kuswalia vipi na zile shule za kanisa

    Yes hii ipo Tanzania, waziri anagawa watu kwa imani zao, hii ndo shida ya madaraka ya kupewa. Siku za karibuni tumemsikia waziri mmoja akijinadi Ikulu ilikua madrasa wote tunaelewa kazi ya madrasa na inatumika na madhehebu gani? Basi kama Waziri anasema ikulu ilikua nyumba yao nashauri...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Ikulu ya Tanzania ilikuwa madrassa zamani

    Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!. NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hawa wazee walioitwa ni akina nani?

    Hii sinema mbona imeshindikana jamani. Yani hapa wazee wa Magomeni, Mbagala, Buguruni, Kimara, Tegeta, Kigamboni, Ilala, Kinondoni na n.k mkoa wote kila tukiwapigia simu wanajiuliza wazee wana mkoa ambao Raisi kaita kwa ghafla na hawa ndio wazee wajaze ukumbi .
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania D9 tutafukua makaburi ya kondo kujilidhisha taarifa ya CNN kama ni kweli tutamplekea Samia Ikulu

    #D9 tutafukua makaburi ya kondo kujilidhisha taarifa ya CNN kama ni kweli tutampelekea samia ikulu. #D9 ni wakati sahihi na tukiwa wengi sana kufukua pale kondo
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Acha kupotosha, hizi ni protocal za kufunga milango ikulu

    Ambao hawajawahi kufika ikulu ndio wageni wa hizi protocal. Miongozo ndio inataka hivyo
Back
Top Bottom