IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema
"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa...