Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko ya makamanda wa Polisi wa mikoa kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Aprili 6, 2022 na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa aliyekuwa Kamanda wa...