Mpaka Leo ccm haijasema vijana waliuwa vijana wenzetu wangapi
Wasije na maneno matupu TU ya kukanusha maneno ya Warioba.
Waje na takwimu halisi za vijana waliowaua tarehe 29 na zile za vijana waliuwawa na Idd amini
Salaam!
Waovu na wauwaji wote duniani ni waoga, narudia Tena ni waoga wasiojiamini.
Iweje changanoto ambayo inatatulika kwa kutumia akili, WEWE tutumie bunduki kwa asiye na bunduki?
Pamoja na vitisho vyote na kujipa vyeo vikubwa, kwanini huwa hawaji wao front, hutuma na kutanguliza wengine...
Historia Huwa inajirudia
Baada ya Dikteta Museven na mwanae kuishiwa hoja za kisiasa anataka atengeneze tatizo la nje Ili wanachi waondoe focus kwenye changamoto za utawala wake wa ovyo.
LEngo ni kutaka kuwaonyesha wananchi wake kwamba yeye ndo mzalendo Kwa kudai madai ya mfalme ujuha au...
Sina mashaka na akili ya Idd Amini lakini nahitaji kujua kama ni kweli aliwahi kumuandikia barua Qn Elizabeth barua ya kumtaka amuoe na mwisho awe mfalme wa uingireza.
Yapo mambo mengi sana ya mashujaa wetu wa afrika historia zetu hazikuyaweka bayana.
Je hili jambo linaukweli?
Kuna mambo mengine ukisikia mitaani unaweza kusema wanawatetea watu ambao hata wajawahi kuwepo kwenye hizo nchi.
Yani mfano mimi ni muone putin au marcon kuwa watu wenye haki wakati sipo nchini mwao wala sio raia wao ningekuwa raia wa huko ndio ningejua.
Sasa kwenye vijiwe na watu wengine...
Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini.
Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga.
Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
Hawa wajomba wawili, wana sifa moja common ya kutokuwa na simile na mabwanyenye wa magharibi..
Laiti enzi za uongozi wao zingekutana kwa pamoja, naamini East Africa haingekuwa kama ilivyo sasa.
Shida kubwa waliyokumbana nayo wote wakati wanaongoza ni walikuwa hawakubaliki na nchi jirani wakati...
Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili.
Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake.
Idd Amini...
Siku kama ya leo mwaka 1971, jitu la Miraba minne Idd Amin alijitangaza kuwa Rais wa nchi ya Uganda na hii ni baada ya kugutuka kwamba Milton Obote alikuwa akipanga kumkamata kwa matumizi mabaya ya fedha za jeshi, Awali, Amin alichukua mamlaka kwa kufanya mapinduzi ya kijeshi tarehe 25 Januari...
Jenerali mstaafu David Bugozi Waryoba Musuguri alizaliwa Januari 4, 1920 katika Kijiji cha Kumuruti, Masabha. Sasa sehemu hiyo inajulikana kama Nyasirori, akiwa mtoto wa tatu katika familia ya mzee Musuguri wa Nzangho.
Alipozaliwa aliitwa jina la Waryoba, ikiwa ni ishara kwamba alizaliwa...
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?
Kwamba kipindi cha idd Amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata kichwa na kukiweka ndani ya Friji na kila akipata muda hufungua Friji na kukikebehi kichwa hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.