idd amin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera

    Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera awe Chakula Cha Mamba. Miaka hiyo tunaimba hizo. Tuliamini mtu mbaya ni Nduli Idd Amin Dada tu. Kumbe Nduli Idd Amin Mama Kashata naye roho mbaya muuaji. Chakula Cha Mamba (CCM) HAWAFAI KABISA KUSIKITIKIWA. HAO SI BINADAMU NI WANYAMA WA KUPEWA...
  2. R

    Madikteta wakisha kuwa sugu, maneno huwa hayawatishi kamwe. Idd Amin usingelimtisha kwa maneno

    Dictators lugha wanayoielewa ni Vitendo, Actions! Bila kusikia risasi madikiteita wanakuwa na dharau isiyo kifani. Bila uprising, armed resistance madikiteita wanakuwa sugu!
  3. digba sowey

    Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  4. Saa 7 mchana

    PostGE2025 Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell

    Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell. Kulingana na kinachoendelea https://youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
  5. Ileje

    PostGE2025 Serikali ya Samia yavunja rekodi ya kuua raia wake tangu Idd Amin kuwaua!

    https://twitter.com/RahmaMwita/status/1990298542972559465?t=7qbHSYfr_DjgtMvB3nvTCA&s=19
  6. Zee la madawa

    Yule mtu aliyetuambia ya kwamba Idd Amin Dada ni mtu mbaya alitukosea sana

    Yule mtu alituongopea ya kwamba idd Amin Dada ni katili,mtu mbaya,jeuri na shetani alituongea sana na tunapaswa kumlaumu sana aisee Iddi Amin Dada alikuwa pan Africanist wa kweli yeye kujua au kutojua kwamba anatumiwa na wamagharibi akaja kutuaminisha Eti Idd Amin Dada ni mtu mbaya sasa yeye...
  7. R

    Adv. Mwabukusi umetimiza wajibu wako, lakini hawa wameshakuwa sikio la kufa kama Idd Amin wa Uganda.

    Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi! Hali iko hivyo hapa kwetu. Mtawala wetu sidhani...
  8. ESCORT 1

    Mjue Askofu Janani Luwum, mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Idd Amin, aliyeishia kuuawa

    Leo tujikumbushe kuhusu Askofu Luwum, aliyemnyima usingizi Dikteta Iddi Amin Dada huko Uganda. Janani Luwum alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa kidini nchini Uganda, na anaheshimiwa kama shujaa wa imani aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya haki, amani na uadilifu katika kipindi kigumu cha...
  9. chiembe

    Kushambulia kwa kurasa za mitandao ya kijamii ya nchi ni sawa na kutangaza vita dhidi ya Tanzania, sawa na alivyofanya Idd Amin

    Kitendo hicho kinapaswa kuchunguzwa kwa kina na kujua kinatokea wapi na nani anahusika. Mipaka ya nchi kwa sasa si ile beacons za ardhini tu, hata mipaka ya kiteknolojia ipo. Kanuni za uwanja wa vita ya kawaida na vita ya kimtandao ni zilezile hasa ukiwa upande wa adui Kama ni NISS na Nurdin...
  10. Fbn

    Bifu na malawi,south afrika na leo kenya ila ndio rekodi ya kwanza kwa raisi wa chama tawala.Na idd amin alifanya haya haya

    Katika mtu anayeongozwa kusemwa sana kwa utawala wake ni raisi samia hapa JF.Sio kusemwa kwa mazuri ni mabaya mengi ambayo wananchi wake wameshamchoka. Sema watanzania wanakatabia kama cha tenge tenge kuacha mambo. Sada haya mabifu ambayo kila kukicha tunatengeneza nchi za watu. Unaficha nini...
  11. Fbn

    Historia ya Uganda kipindi cha Idd Amin ni kama imejirudia Tanzania

    Wanaofatilia makala kipindi cha utawala wa Idd Amin nchi ya Uganda. Utaona kabisa matendo yanayofanyika hapa Tanzania ni kama yale ya Uganda. Utekaji wa wazi, ufisadi wa kitisha, uchawa wa kiwango cha wadudu na n.k Hipo siku sijui ni lini ila tutakuwa na rekodi nyengine ya kutisha kabisa.
  12. Yoda

    Vyombo vya habari bongo vifanye mahojiano na watoto wa Iddi Amin tuwasikie kuhusu baba yao

    Vyombo habari vitakavyoweza kufanya interview na watoto wa Iddi Amin vitavutia wasikilizaji wengi sana, hii ni kwa sababu kuna mengi yamesemwa kuhusu Iddi Amin na kwa sababu Iddi Amin ni sehemu ya Historia ya Tanzania kupitia vita vya Tanzania na Uganda mwaka 1978. Lumumba Amin Jaffar Amin
  13. R

    TRUMP AND iDD AMIN COMPARED

    WABABE WA KIVITA NA MAJIDAI , WASIKLIZE
  14. Kipenzi Changu

    Je, ni kweli Iddi Amin alikusanya walemavu na kwenda kuwamwaga Mto Nile?

    Kwa yanayoendelea Congo nimebaini kuwa vita zina propaganda nyingi sana. Kwenye historia ya Idd Amina tumeambiwa kwamba Iddi Amin akiwa Rais aliwahi kufokewa na mlemavu kwamba ameshindwa kuiongoza Uganda. Siku chache zijazo Dikteta alikusanya walemavu wote mijini wakaenda kumwagwa wote mto Nile...
  15. FYATU

    Hivi kila kilichoandikwa au kusemwa kuhusu Idd Amin kilikuwa cha kweli?

    Wahenga Wenzangu wanaweza kukumbuka vizuri taarifa mbalimbali tulizokuwa tukizisikia kumuhusu Idd Amin Dada.Kuna baadhi ambazo nani nilifanikiwa kuzisikia kama vile kusomba Walemavu ombaomba wote pale Kampala na kwenda kuwamwaga ziwa Victoria ili jiji libaki safi,kuwepo kwa vichwa vya Watu...
  16. S

    Utekaji na uuaji unaofanyika Tanzania ni sawa na kilichofanywa na vyombo vya dola Uganda dhidi ya wananchi wakati wa Idd Amin Dada

    Kwa wale wanaojua historia ya Uganda, watakuambia wazi kwamba utekaji na uuaji unaofanyika hivi sasa nchini Tanzania ni sawa kabisa na vyombo vya dola na usalama vilivyowafanyia wananchi wa Uganda wakati wa utawala wa dikteta Idd Amin Dada wa Uganda. Polisi na chombo kilichoitwa State Research...
  17. Just Pray

    Idd Amin Nduli Dada alikipenda kiswahili hivi?

    Wakuu wa JamiiCheck msaada tafadhali tupate uhalisia wa hii video kama imetengenezwa au ni ya kweli
  18. Kyambamasimbi

    Niko likizo napigiwa simu nirudi kambini Idd Amin amevamia nchi yetu 1978

    Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu. Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi...
  19. Bigmaaan

    Alternate History: Idd Amin ashinda vita ya Kagera ya 1978/79. Mambo yangekuwaje?

    Binafsi, nimekuwa nikijiuliza, Mfano uvamizi ule wa Idd Amin Tanzania ungeisha kwa Idd Amin kuvishinda vikosi vya Tanzania, hali ingekuwaje? Leo 2024, tungekuwa na nchi ya Namna gani kisiasa, kijamii na kiuchumi? Tungekuwa na kanda ya ziwa sehemu ya Uganda? Au Tanzania yote ingekuwa ni sehemu...
Back
Top Bottom