Hii sasa ndio mikakati madhubuti ya kuinua kiwango cha ufaulu katika halmashauri.Hili jambo lina mana gani kwa walimu na wanafunzi?
Tofauti na ilivyozoeleka miaka ya nyuma ambapo mtihani wa ukamilifu (mock) ulikuwa unafanyika kati ya mwezi may au agosti ambapo miezi ya awali wanafunzi...
Moja ya jambo ambalo vijana wengi wanafanya wakiwa katika kuchagua course za kusomea chuoni ni kufata mkumbo na kuiga kile ambacho wenzao wamechagua.
Wito wangu kwa form six wote waliomaliza sasa hivi, ni kuangalia kwa upana zaidi nini unataka katika maisha yako, usiende kusomea course ambayo...
Habarini za muda huu ndugu zangu,
Malalamiko yangu ni kwa Idara ya Elimu Sekondari katika wilaya ya Ulanga. Hawa jamaa sijui ni uzembe au kujisahau katika majukumu yao.
Kumekuwa na utofauti wa ulipwaji stahiki mbalimbali kati ya idara ya msingi na sekondari. Mfano, suala la ulipaji nauli za...
Habari wakuu, ni matumaini yangu mko vizuri.
Leo nimewaletea fursa kwa wale wamiliki wa stationary, wamiliki wa shule au taasisi za kiellimu, wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi kidato cha sita na hata wazazi pia wanaweza nufaika.
Upatikanaji wa material ya kujisomea kwa wanafunzi umekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.