icu

ICU Medical, Inc. is a San Clemente, California-based company with global operations that develops, manufactures, and sells medical technologies used in vascular therapy, oncology, and critical care applications.
ICU Medical’s products are designed to prevent bloodstream infections and protect healthcare workers from exposure to infectious diseases or hazardous drugs. ICU Medical's product line includes intravenous therapy (IV) products, pumps, needle-free vascular access devices, custom infusion sets, closed system hazardous drug handling devices and systems, sensor catheters, needle-free closed blood sampling systems, and hemodynamic monitoring systems.ICU Medical’s products are designed to prevent bloodstream infections and protecting healthcare workers from exposure to infectious diseases or hazardous drugs. In addition, the company's IV medication compounding and delivery products are designed to improve medication and dosing accuracy and improve clinical workflows. ICU Medical has been named one of the 100 Most Trustworthy Companies in America by Forbes Magazine.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia aidhinisha fedha za ujenzi wa jengo la ICU Handeni Mkoani Tanga

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni ili kuokoa maisha ya wananchi wa Handeni, kitendo...
  2. Ujenzi wa wodi mpya ya ICU ya watoto MOI yafikia asilimia 98

    Ujenzi wa wodi mpya ya Wagonjwa Mahututi (ICU) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) umefikia asilimia 98, hatua inayotarajiwa kuboresha huduma za kibingwa na kibobezi kwa watoto wenye uhitaji wa uangalizi maalum. Akizungumza leo januari 15...
  3. Ahmed Ally: Usajili utakaofanywa na Simba utakuwa na umakini wa ICU

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care). "Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...
  4. Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa. Gigy Money...
  5. Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

    Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
  6. TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

    Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo. Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
  7. Niliyetaka kumuoa kanidanganya kuwa mama yake amelazwa ICU nitume hela ya mchango

    Kupata mke kazi ndugu zanguni. Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja. Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila...
  8. W

    Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

    Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU == Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi. Bw...
  9. Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  10. Tuliokuwa ICU kuhusu siasa za Chadema kwa hiki kipindi cha miaka kadhaa hatimaye tumeponywa, Mbowe tutamheshimu kama tulivyoahidi

    Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU. Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa. Ama kweli sasa nipo tayari kuwajibika kwenye kipindi kipya na kukitumikia chama kwa kila hali. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  11. K

    Tusichoke kuwaombea wale wote wanaotamani kuwa wanasiasa

    Mgonjwa Akiwa ICU Huhitaji maombi. Tusichoke kuwaombea wale wote wanaotamani kuwa wanasiasa. Mwanasiasa wa ukweli ana bidii ya kusoma ili kujua misingi ya nchi, kisha kwa imani yake kumuomba Mwenyezi Mungu kuiishi misingi hiyo huku akiwa mnyenyekevu na mtiifu. Mwanasiasa huyu anaitekeleza kwa...
  12. "Yanga ICU: Tafakari Jinsi Burudani Inavyotufumba Macho kwa Changamoto Halisi za Maisha"

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  13. Rafiki zangu wengi wenye umri wa miaka 35 mpaka 37 ndoa zao zimevunjika nyingine zipo ICU

    Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
  14. Yupo ICU

    Sometime mpunguze mazoea na watu ambao hawajawazoea na ambaye huna utani naye,,,,, tu***k them all.. Leo nipo zangu narefresh mind kutokana na kuyashangaza macho maajabu ya Mungu mtaani ghafla nasikia mtu ananiita tena yuko serious Na weusi wangu huu nakatisha sehemu limtu linakzana liko bize...
  15. Dada wa kazi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu hapa mjini else nyingi zingepumua icu

    House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini. Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
  16. Betty Mkwasa: Fani ya Uandishi wa Habari ipo ICU kwa sasa na Nasikitika Wahusika tumenyamaza tu, huku ikienda Kufa kabisa

    "Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
  17. J

    Kimeumana DC Shaka ageuka mbogo ujenzi wa ICU hospitali ya wilaya Kilosa

    KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Wilaya hiyo...
  18. Prof. Jay: Nimekaa ICU kwa siku 127, nimeugua kwa siku 462

    Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi, amesema hayo na kuongeza kuwa safari yake ya kuugua tatizo la Figo ilifanya afikie hatua ya kutobolewa Koo ili kuondoa uchafu uliokuwa ukisababisha ashindwa kuongea, pia, alikuwa akichoma Sindano inayogharimu Tsh. Milioni 5 ambapo alitakiwa kuchoma...
  19. Van der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU. Inaelezwa anaendelea vizuri

    Golikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Mahututi nchini Croatia Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Ajax ambapo Van der Sar alikuwa anahudumu kama Mtendaji Mkuu baada ya kustaafu soka, imesema nguli...
  20. Madonna alazwa 'ICU' baada ya kupata Maambukizi makali ya Virusi

    Madonna ameahirisha ziara yake baada ya kuwa mgonjwa na kukaa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku kadhaa. Taarifa iliyotumwa kwenye Instagram na meneja wa mwanamuziki huyo wa Marekani, Guy Oseary, ilisema: "Siku ya Jumamosi Juni 24, Madonna alipata maambukizi makubwa ya bakteria ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…