The ICC Champions Trophy is a One-Day International (ODI) cricket tournament organised by the International Cricket Council. The 2013 tournament was intended to be the final edition of the Champions Trophy, but it was extended to 2017 due to its widespread popularity. In 2018, the ICC decided to replace the tournament with the World Twenty20 championship to be held every two years, and no Champions Trophy was contested in 2021. However, as part of the 2021 Future Tour Programme, the event was reinstated for the 2025 cycle onwards. In November 2021, the ICC confirmed the tournament would next take place in 2025 in Pakistan, with India hosting the tournament in 2029.
Nawashangaa sana mnavyodai eti Watanganyika wamekataa maandamano na wanawaunga mkono nyie wauaji na mashetani.
Watanganyika kwa umoja wetu tulishatuma ujumbe Oktoba 29. Ujumbe wetu ulikuwa kupinga Uchaguzi haramu ulioendeshwa kwa Mchakato haramu, Ufisadi na kudai Mfumo Mpya wa Uchaguzi, Katiba...
Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, kuachana na mipango yoyote ya kumchunguza na hata kumshtaki Rais Trump na maafisa wa utawala wake pale watakapomaliza muda wao mwaka 2029.
Utawala wa Trump umeitaka mahakama ya ICC kufanya...
Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki
Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni
Waafrika waliuzwa kama njugu
Fedha walizouzwa Waafrika...
Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.
Swali: Ni kwanini?
Je, wanaona aibu?
ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur!
Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya zaidi ya watu 10,000 aliowaua majumbani!!!
Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia.
Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
GTs,
Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29.
Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu.
Hivyo...
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi...
Mahakama ya ICC Inasema ilipokea mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kesi hiyo ilifunguliwa na taasisi za kimataifa zinazotetea haki za binadamu, ambapo mashtaka makubwa ni pamoja na:
1. Mauaji ya maelfu ya waandamanaji
1. Utekaji, mauaji na upotezaji wa wapinzani wa kisiasa, wanaharakati...
Kwa kiburi kabisa, akiwa mbele ya Camera anasema kwa kujiamini kabisa eti nguvu ndogo ndo ipi?
Kwa akili zake kabisa akaona yale ndo aongee mbele ya camera tena akiwa anarekodiwa?
Kwa hiyo aliambiwa nguvu kubwa inayofaa ndo kuuwa watu wa risasi za moto kwa makusudi? Kuwazika kwenye makaburi ya...
Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar Association to...
Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake.
Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
UN is watching YOU.
AU is watching YOU.
EU is watching YOU.
SADC is watching YOU.
ICC is watching YOU.
EAC is watching YOU.
COMMONWEALTH is watching YOU
INTERNATIONAL NGO's are watching YOU.
COUNTRY FRIENDS are watching YOU.
NEIGHBORS are watching YOU.
YOUR FRIENDS are watching YOU.
TANZANIA...
UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA
Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa Ushirikiano wa taarifa za uhalifu wa Haki za Binadamu uliotokea Kabla, Wakati na baada ya Kilichoitwa...
Habari za jioni wakuu!
Mauaji yaliyotokea October 29 2025 hapa nchini, wengi wetu matumaini ya kupata haki yako ICC, ila kwa jinsi mahakama hiyo inavyofanya kazi, ni ngumu kupata haki huko.
Kwanza ICC haina 'Jeshi wala Polisi'
Inategemea majeshi ya nchi husika kumkamata mtu, sasa kwa jeshi...
BBC.
1. Uhuru Kenyatta (Kenya)
Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
THE LAWS AND CORE LEGAL TEXT GOVERNING INTERNATIONAL CRIMINAL COURT (ICC)
Alphonce Lusako (Adv)
Following the fact that, The International Criminal Court (ICC) has been asked to investigate alleged mass killings as part of grave Human Rights Violations during a crackdown on post-General...