huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu hapaswi kusamehewa kabisa

    Kila nikizingalia hizi picha za mauaji na majeruhi roho inakufa ganzi. Huyu mtu ni katiri sana, hafai kabisa. Picha zinaumiza mno. Halafu anakuambia hajali chochote, nguvu iliyotumika ni sahihi, seriously? Huyu ni mtu au shetani? Watanzania tusimsamehe huyu mtu pamoja na wote wanaomtetea...
  2. JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hata wapinzani wanafunga comments? John Mrema vipi?

    Jon mrema amefunga comments ktk Twitter ktk account yake. Kaandika mambo mengi lkn ukitaka kukoment amezuia. Hata wapinzani wa ccm wanafunga comments?
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama

    Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama anatuchukuliaje sisi?
  5. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa huyu amesilimu. Sisi huwa tunapenda sana kujidanganya

    FaizaFoxy sheikh gani alikuambia Ronaldo amesilimu? Maana masheikh wengi shule hamna. Na msingi wa imani yetu umejengwa kwenye ulaghai, udanganyifu kwa umma.
  6. JamiiForums Tanzania Usimcheke mtu tulikuwa tunamcheka ayatollah kuishi kwenye mashimo leo hii na huyu wa kwetu yuko mafichoni kama panya

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tulikuwa tunamcheka ayatollah kuwa anaishi kwenye mashimo kama panya Lakin angalau yule mzee wa kipesian ana maadui kutoka nje Huyu wa kwetu anaishi mashimoni kama panya na maadui zake ni WA ndani Kwa taarifa zilizopo sasa wamemkalibia...
  7. JamiiForums Tanzania Je nisipo hudhuria harusi ya rafiki huyu kuna lawama?

    Ni rafiki wa kushibana kwetu kama kwao na kwao kama kwetu, urafiki wetu ni zaidi ya undugu maana tunasaidiana kuliko hata hao ndugu zetu wanavyo tusaidia Urafiki wetu ulianza na kukua kwa kasi tukiwa school na kwa bahati nzuri kila tukivuka level moja kwenda nyingine tunajikuta tumepangiwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

    Simuoni hapa JF Yulo wapi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu dada alichukuliwa na Polisi akiwa nyumbani hajarudi mpaka leo

    Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Waziri Mkuu roporopo kama huyu!

    Julius Nyerere Rashid Kawawa Edward Sokoinne (mara mbili) Cleopa Msuya (mara mbili) Salim Ahmed Salim Joseph Warioba John Malechela Frederick Sumaye Edward Lowassa Mizengo Pinda Kassim Majaliwa Halafu kuna: Mwigulu Nchemba Hatujawahi kuwa na waziri mkuu anayeropoka hovyo hovyo kama huyu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Waarabu na waisrael wanapogania utaifa sie udini nani katuroga huyu?

    Ukitafakari na kuelewa kinachoendelea Mashariki ya Kati ukilinganisha na Tanzania, unahuzunika hata kuugua. Wenzetu wanapigania utaifa. Sie twauana kwa kupigania udini. Halafu tunashangaa kwanini hatuendelei huku Wenzetu wakitutumia na kutucheka mbali na kutubagua na kutudharau. Utaifa kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa uwezo wake ni mdogo sana

    Yeye mwenyewe kwenye press conference anajiona anatema point. Yani yuko shallow vibaya hana uwezo wa kujenga hoja yani bonge la kilaza. Muone na msikilize hapo chini.
  13. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ni Mtu wa Ajabu Sana, Sijui Rohoni Mwake Amebeba nini!

    Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu jamaa anatafuta umaarufu au yeye haishi Tanzania?

    Wakuu hamjakutana na huyu jamaa anajiita mkaka wa Taifa sijui, huyu jamaa anatafuta umaarufu au haishi Tanzania? So anajali ajira za wachache kuliko vifo vya maelfu ya Watanzania ambao kila siku vinazidi kushika namba. Huyo Mange mnaemshutumu hatekwi huyo, huyo haishi maisha magumu, hata akisema...
  16. JamiiForums Tanzania Wiki moja iliyopita huyu MC ungemwambia angeuawa angejibu yeye ni CCM yupo salama

    Dhambi ya uuaji huwa ni kama kama mchawi tu akianza kula nyama za watu kuna wakati ataua hata watoto wake. Tunapowaambia watu hawa wanaojipendekeza kwa Serikali kuwa watanzania hawapo salama wanadhani wao hawataguswa. Kama ungemwambia huyo MC Kipilipili kuwa yaliyomkuta Ungo ni Kibeku...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu mama alindwe sana. Ukweli wake utatukomboa

    Siongezi neno. Angalia na sikiliza mwenyewe wanachoficha CCM na Polisi, BAKWATA na Chawa
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sipendi tufike huko huyu mama inchi imempwaya haheshimiwi wala kuogopwa

    Niongee ukweli kama Taifa tunataka kuinusuru Tanzania huyu mama anaitaji otoke,maana amekosa mvuto wa kuogopwa anadharauliwa kalibu na kita mtu
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpoto yule akikutana na huyu watatoana damu nakwambia! Baada ya kwenda mjini kukutana na Mjomba akatusaliti!

    Wakuu, Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali Mpoto huyu alikemea rushwa na wale wote wanaotafuna kodi za wananchi kwa nguvu zote. Alionyesha wazi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chakwera anaamini Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi, huyu anawezaje kutusuluhisha?

    Tumesikia kuwa Jumuia ya Madola imemtuma Chakwera, rais wa zamani wa malawi kuja kusaidia kuleta maridhiano nchini, Hata hivyo Chawera amekuwa akitoa msimamo kuwa ziwa nyasa lote ni mali ya malawi, mtu wa aina hii asiyeamini hata territorial integrity ya nchi yetu anawezaje kuja kutusuluhisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…