huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu hapa Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, aliyemtambulisha Rais Ruto kwenye ulimwengu wa siasa hadi ajali kukatisha uhai wake

    Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa asipuuzwe huenda ni Nabii

    Achana na kina mwamposa janjajanja ya mjini hakuna lofoten ila huyu LEMA huenda akawa Nabii asilimia 75% ya mambo ambayo alikwisha sema au atakayosema kuhusu mtu fulani basi bila shaka hutokea. Akifungua kanisa atajaza watu kama kumbikumbi .
  5. JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

    Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
  6. JamiiForums Tanzania Kwamba tangu tumepata uhuru huyu ndie Rais ambae wananchi wanamchukia na hawamkubali?

    Nimefuatilia mijadala ya watu sehemu mbali mbali na kugundua kuwa huu wa utawala wa Mama watu wanasema hawaukubali. Mbaya zaidi wanasema tangu tumepata uhuru huyu ndie mkuu wa nchi anayechukiwa na raia wake ! What is going on?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnaikumbuka ile 20 bilioni ya kazi maalumu. Huyu mama hapana

    Dah! Watanganyika kazi tunayo. Halafu mtu bado anasema mitano tena. Nyie mnayemshabikia huyu mama hivi kweli mna akili? Yaani mtu anaifisadi nchi na mkisema anawapoteza. Juzi kaua watanzania kibao halafu kweli kabisa kuna binadamu wanamshabikia? Mmh! Haya bhana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Askari huyu aliyeomba rushwa waziwazi bado yupo kazini?

    Wakuu, Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa ameshachukuliwa hatua na hata umma kufahamishwa hatua zilizochukuliwa. Tunao TAKUKURU, wanatumika kama...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Carry mastory na Diva waongezwe kwenye list ya watu wa kuwa unfollow. Haswa huyu carry

    Wasanii wanapishana kufanya malipo kwa Carry mastory na Diva kuhakikisha wanapewa promo ya kuwalaghai wananchi wawapokee kwa mara nyingine. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize kwa nini wanayafanya hayo leo? Kama walikuwa wanania ya dhati ilibidi wakatae udhalimu angalau baada ya yale...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ona mwingine, eti naye huyu ana busara

    Mtavunjiwa heshima bure kwa ajili ya uroho wa kula na kunya! 1. Utekaji 2. Uuaji 3. Ufisadi 4. Kuiba uchaguzi 5. etc hivi havimvunjii mwalimu heshima. Bure kabisa mabichwa mazee makubwa hamna kitu
  11. JamiiForums Tanzania Nimefurahi kumwona huyu chali akiwa hai maana maneno yalikuwa mengi sana

    GT Mwamba huyu hapa engine ya maandamano M029 kutoka kimara
  12. JamiiForums Tanzania Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

    Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?. nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi. simba inahitaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia makazini,Mitaani,Majumbani,wamemkataa huyu Mama

    Yaani ukiwa makazini bila kuangalia ni sekta binafsi au ya serikali,ukija mitaani awe mtu mzima kijana au mtoto,Majumbani mwetu kuanzia wake zetu watoto kina baba mpaka wafanyakazi wa ndano hawampendi huyu mama. Yaani sijawi kuona Rais aliyekataliwa kama huyu,
  14. JamiiForums Tanzania Kuna kitu huyu Samia kanikumbusha enzi hizo ndo nimeanza kuingia barabarani na chombo cha moto na nikapata ajali

    Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Huyu Gentamycine ni wale jamaa tulikua tunawakimbiza class halafu hawataki kukubali

    Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo, nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye shehe wa kweli

    https://www.youtube.com/watch?v=YUlE6kPKWyg
  17. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Maza anatuchukuliaje Watanganyika aisee?

    Nimejaribu kuisikiliza hotuba ya Rais zaidi ya mara 10, binafsi nasema ni hotuba inayoamsha hisia ngumu kiasi cha kuionea wivu aina yoyote ya siraha . Yule Maza anapaswa kukutana na mkono usiyovaa gata gloves Eti wazazi mlishindwaje kuwakataza watoto wenu Yaani anaamini vipi na wale...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa Katoliki lipo tangu Karne ya 4, huyu Mama ana jipya gani kulitisha?

    Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee. Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee. Kipi hasa utishe watu. Waambiwa ukweli wajiliza sio. Ubabe waonyeshee hao. Huku umekikwaa kisiki cha mpingo walahi. Watu...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa (Sheikh) ameichambua vizuri sana hotuba ya Samia kwa Wazee wa Dar.

  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Nchimbi and Rose Migiro. CCM inakufa, huyu atarudi kwao na kuwaachia mfu. Mshaurini mema na si kujikomba

    Hili li muungano linaweza kufa wakati wowote na yeye atarudi kwao. Mtabaki na mfu CCM wenu peke yenu. Mshaurini ukweli na utawaweka huru! Nyote watatu semeni Amen.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…