Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).
Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa.
Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu.
Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
Nanukuu maneno yake niliyosikia nikiwa dirishani chumban kwangu, yeye alikua anapita barabaran anapita halafu alikua anaongea kwa nguvu sana!
"YANI NA KWAMBIA KWA WEEK MARA MOJA DAKIKA 5 TUU, TENA HIYO MARA MOJA YENYEWE KWA MBINDE SANAAA YANIIII"P
Ifike mahali kelele za kila siku ziishe
Too much is harmful
Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi wanafuata maelekezo yenu
Mkisema nchi itulie basi itatulia
Mkisema iwake basi itawaka
Ninyi ndio wenye uamuzi wa mwisho kabla ya matokeo
Twendeni Mataifa makubwa tuone namna yametulia na yanafanya...
Mpaka wakamuamini akaaamua asome biblia kinyume nyume.
Alieleta hii idea huko kijani nadhani atakua yupo kizuizini chini ya jenerali fweleboy mana mchongo umebuma vibaya mno.
Ni huzuni
Ila huyu dada noma kuna rivasi kanipigia hapo Corinthians 13 mpaka 10
Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC.
Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima.
Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff].
Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio...
Ila waTanzania hua tunapenda kudanganywa na kusifia ujinga ujinga.
Nikweli mchezo wa ndondi ni taaluma kama ilivyo taaluma zingine na ninaheshimu mabondia na taaluma Yao ya ndondi.
Lakini ukweli lazima usemwe. Hivi inawezekanaje kijana wa miaka 27 mwenye mazoezi kede, kupigana na mzee ?, af...
Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌
ASKOFU AWAHIMIZA WAKRISTO KUDAI HAKI...
mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
HABARI BOSS! 🌟
Leo kuna ofa maalum kwa ajili yako
~13,000/=~
LIPIA LEO 6,500/= TU!
UPATE:
GB 40 za intaneti isiyo na kikomo! 🌐
DAKIKA 3,100 za kupiga simu mitandao yote!
SMS BILA KIKOMO kwa marafiki na familia! 💬
MIEZI 2 ya huduma bora na ya uhakika!
MTANDAO WOWOTE nakunganisha...
Ni tukio la dakika tano.
Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi.
Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani.
Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu..
Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini.
Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...