huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Karibu tukuhudumie kwa huduma zifuatazo

    Hellw JF, natoa huduma zifuatazo. Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu Huduma katika masuala ya ajira 1. Kujisajili ajiraportal 2. Kujisajili taesa 3. Kujisajili katika bank portals 4. Kuandaa application letter 5. Ku edit document mbalimbali 6. AVN 7. Transcript Huduma katika...
  2. Vitongoji 1,997 sawa na 88.4% vimepatiwa huduma ya umeme Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), iliyopita na inayoendelea...
  3. Mnataka huduma ya Fiber, changamkieni fursa hii

    Umuofia kwenu. Wale mnaosubiri huduma ya internet ya fibre huu uzi ni maalumu kwenu. Kuna kampuni ipo kasi sana inaitwa SAVANNAH FIBRE, ni kampuni inayojihusisha na kutoa huduma ya internet ya spidi ya Fiber. GHARAMA ZAKE 👉Kufungiwa ni BURE 👉Router unapewa BURE Wewe cha kufanya wapigie simu tu...
  4. S

    Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  5. KERO Huduma mbovu katika halmashauri ya Kibaha

    Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko. Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate...
  6. Huduma za Graphics Designing. Tuwasiliane kama unahitaji huduma hizi kwa ajili ya biashara na matangazo.

    1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio. 2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako. 3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo. 4. Uandaaji na usimamizi...
  7. Dkt. Mpoki apongeza ushirikiano wa utoaji huduma kati ya MOI, JKCI na AICC.

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, amepongeza ushirikiano mzuri wa utoaji huduma za afya kati ya MOI, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya AICC, katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa...
  8. Usafiri wa DARTS Hali ni mbaya hivi haiwezekani kuwa na kampuni 2 zinazotoa hiyo huduma

    Ngoja niende kwenye mada Moja Kwa Moja Mimi nadhani inawezekana kuwa na kampuni 2 tofauti zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi 1) Kila kampuni inakuwa na rangi yake ya mabasi yake kwamfano Kampuni Moja mabasi yake ni ya kijani Kampuni ya pili mabasi yake ni Njano 2) Kampuni...
  9. Huduma ya meno bandia ipo , usibaki kibogoyo!

    Iwapo umepoteza meno yako ya asili huna haja ya kubaki na mapengo , Kuna huduma ya meno bandia ya aina tofauti 1.Meno ya Kuvaa na Kuvua ( Removable Partial Denture ) 2. Meno Ya Kudumu ( Full Denture ) Chuma/ Zirconia ( yanadumu zaidi ya miaka 25+ ) Faida zake Kuzuia kuharibika kwa meno...
  10. Watoa huduma za Internet, wanaona kile tunaperuzi ?

    Hawa so called ISP ni kuna namna wakitaka kuchunguza wanaweza kuwa wana access ya kuona nini tunaperuzi wakati tunatumia huduma ya internet wanayotoa ? Au wataona tu website husika uliyotembelea bila kufaham contents zipi ulifatilia?
  11. R

    Kanuni za kuendesha huduma za kifedha zinasemaje kuhusu ukadiriaji wa senti unaofanywa na huduma za pesa mtandao ?

    Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
  12. Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
  13. H

    Karibu Elite Home Tuition Services ambapo tunatoa huduma za ufundishaji ukiwa nyumbani

    Tunawafikia popote ulipo Tanzania! Unahitaji mwalimu wa nyumbani (home tuition) kwa mtoto wako au wewe binafsi? Tunatoa huduma bora ya kufundisha masomo yote, ngazi zote na mitaala yote (NECTA, CAMBRIDGE, n.k) Darasa la awali hadi sekondari Masomo ya sayansi, arts na biashara Mitihani ya...
  14. Unahitaji nyumba nzuri na hii ni moja ya design kali yenye 4 bedrooms, fit on 900sqm plot. Call us kupata huduma 0624004650

    HII DESIGN INA; 1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY 2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  15. Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kusini mwa Jangwa la Sahara

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara kwa kuvutia uwekezaji kwenye viwanda vya kutengeneza bidhaa za migodini na utoaji wa huduma kwenye migodi ya ndani na nje ya nchi...
  16. KERO Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Wana Jamvi, Habarini. Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni. Nilijibu kuwa tayari nina maombi 17 yangu mwenyewe, na hizi ni order numbers. Waliniambia andika jina...
  17. Taja huduma za mitandao ya simu ambazo ni zisizo na makato

    Mi ninazo zijua 1.Kununua muda wa maongezi au kumnunulia mtu kutoka mpesa/airtel money -Hapa hutakatwa hata mia kama gharama ya huduma 2.Luku Hapa napo ilikua n bure saizi naona kuna percent fulan wanakata ukinunua umeme zaman haikuepo
  18. Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  19. R

    Serikali yatenga Bilioni 277 kila mwaka kukabili VVU na Kupunguza utegemezi wa Ufadhili

    Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 277 kila mwaka kwa ajili ya kugharamia huduma mbalimbali za Virusi Vya UKIMWI (VVU) na UKIMWI nchini, ikiwa ni hatua ya kupunguza utegemezi kwa wafadhili wa kimataifa katika mapambano dhidi ya janga hilo Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Agosti 6...
  20. Natoa huduma ya kuandika CV na barua ya kikazi

    Natoa huduma ya kuandika CV na barua ya kikazi kwa gharama ya 10,000 Tsh. Mawasiliano: 0756704145 Napatikana: dar es salaam, mbezi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…