huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB, imenigomea kabisa

    Habari Wakuu... Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB Leo imenigomea kabisa nimeshindwa kumtumia mtu MB. Shida itakuwa ni nini wakuu?
  2. Huduma za ulinzi na usalama

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  3. H

    Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  4. Je ni wapi naweza pata huduma nzuri ya corporate food catering kwa hapa dar?

    Hello bosses and roses... Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata. Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
  5. Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  6. OFFA: Huduma ya Web Design na Hosting kwa 180,000 TU

    .
  7. A

    KERO Watumishi Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Kanda ya Ziwa tunapitia magumu

    Huyu kiongozi wetu, ZCC wa Kanda ya Ziwa, amekuwa kero kubwa sana kwa wafanyakazi wote wa TFS hapa! Moyo wangu unawaka kwa huzuni na hasira wakati nikiandika hili, kwa sababu juhudi zetu zote za kuitumikia taifa na kuhifadhi misitu yetu zinadhalilishwa na tabia zake za kurudisha nyuma kila jambo...
  8. Unahitaji kukuza au kuongeza mauzo kwenye bidhaa au huduma yako?

    Ninaweza kusaidia biashara yako kupata wateja kwa ajili ya bidhaa au huduma zako kupitia lead generation na B2B sales/outreach. Nitakutafutia wateja wa uhakika wanaoweza kuwa na uhitaji halisi wa kile unachouza, badala ya kupoteza muda kwa watu wasio na interest. Kwa wanaotaka kuanza, kuna...
  9. D

    Msumi wamiminika kuomba huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inaendelea na zoezi la upimaji tafiti na kuandikisha wateja wapya wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo wanaotarajia kunufaika na huduma ya majisafi baada ya kukamilika kwa utekelezaji wa mradi wa maji Msumi. Mradi wa...
  10. Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?

    Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
  11. D

    KERO Responded DAWASA yawapa rungu viongozi Makurunge kuwabaini ‘walaghai’ wa huduma

    Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani Pwani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweka mikakati ya pamoja na...
  12. O

    Huduma Kenya Announces Plans to Contact Driving Licence, ID, and Birth Certificate Applicants

    The government has issued a fresh announcement, revealing how applicants will be contacted once their driving licences, national identity cards (IDs), and birth certificates are ready. In a brief notice on Thursday, February 12, Huduma Kenya disclosed that members of the public who applied for...
  13. D

    Wakazi Matuga wapewa elimu ya huduma za Majisafi

    Zaidi ya wakazi 300 wa Kitongoji cha Matuga, Kata ya Kawawa, Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mkoa wa Pwani wameanza kunufaika na huduma ya majisafi na salama, baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Matuga uliotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa lengo la...
  14. A

    KERO Mawakala Selcom Tanzania hatupati Kamisheni ya kuuza Huduma ya Umeme

    Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika. Sisi kama mawakala: Tunaweka mtaji wetu binafsi Tunahudumia wateja na kubeba...
  15. Responded Waziri Aweso atoa maelekezo mabomba ya Kijiji cha Mayonje - Sumbawanga yatengenezwe na huduma ya maji irejee

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) Sumbawanga Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga kurekebisha mabomba yaliyoharibiwa Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, ndani ya wiki moja ili kurejesha huduma. Aweso ametoa malekezo...
  16. M

    Kwagilwa: Mtendaji Kata ya Kipunguni ‘B’ achukuliwe hatua kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ipasavyo

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
  17. A

    KERO eRITA portal ina matatizo. Yatatuliwe haraka

    Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu. Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
  18. Mifumo ya tiketi ya mtandao iliyoishinishwa kutoa huduma kwa mabasi yaendayo mkoani na nje ya nchi

    Utangulizi Kanuni za Tiketi Mtandao za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za mwaka 2024, zilizotangazwa na Serikali (Tangazo la Serikali Na. 23 la tarehe 12 Januari, 2024), zinaweka sharti kwamba mifumo yote ya Tiketi Mtandao inapaswa kujaribiwa, kuidhinishwa, na mmiliki wake kupata kibali cha...
  19. A

    KERO Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Ubungo na Mabibo hakuna, ni kama tunaomba msaada

    Hali ya maji Ubungo ni mbaya sana na DAWASA wapo kimya, hawatoi solution kwa Wananchi, kuna baadhi ya maeneo wiki ya nne sasa hatujapata maji, wenzetu wa Mabibo Makutano - Mtaa wa Kanuni nao ndio kabisa, maji kuna muda yanatoka kidogo tena kwa saa moja tu hali ambayo imedumu tangu Oktoba 2025...
  20. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi rudisheni gulio Bugandika, Wananchi wanakosa huduma za msingi

    Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa vijijini. Hiyo ni kutokana na kitendo chao cha kuondoa gulio lao la kila Jumatano na kulipeleka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…