huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Dkt. Mollel amjibu Lema kibabe kuhusu suala la ubora wa huduma za afya nchini

    Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua. Chanzo...
  2. E

    INAUZWA Huduma ya kusafisha kisima cha maji

    Habari JF members. Ikiwa unamiliki kisima cha borehole na kina dalili zifuatavyo basi tambua kuwa wakati wa kukisafisha umefika; 1. Kisima kilichopunguza uwezo wa kutoka maji. 2. Maji yamebadilika rangi,. 3. Maji yanatoka na matope au michanga Kwa wingi. 4. Maji yamebadilika Radha. 5 . Maji...
  3. Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    Uzi tayari
  4. Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha

    Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha "Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita Aliandika Barua Kwenda Wizara Ya Afya Kuomba Wazee "Wanatakiwa Wasije Hapa Dodoma Ama Kwenda Ofisi Za Mikoa Kwenda Kuhudumiwa Kule Na, Tumeiona Barua Yako na Mimi Nikwambie Sasa Wale...
  5. Waziri Silaa asisitiza umuhimu wa Anwani za Makazi katika kurahisha utambuzi na utoaji wa huduma

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini umelenga kurahisisha utoaji na upokeaji wa huduma mbalimbali ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 06 Februari...
  6. Mwanamke mmoja aliyefungua mashata kampuni ya usafiri Lyft USA amejibiwa huduma yake

    Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake. Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema ina ubaguzi na wengine wakisema ni unyanyasaji. Baada ya kuzuka mijadala mingi kampuni lyft imeamua kuongeza...
  7. Huduma ya ufundi popote ulipo

    Habari wanajamii forum kwa wale Wenye changamoto ya kiufundi kama TV,JBL SPEAKER, NA HOMETHETA unaweza nitafuta kwa namba 0655226738. Nafanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana
  8. R

    KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  9. Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
  10. Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi na za watoto chini ya miaka mitano kushindwa kutekelezwa ipasavyo. Mimi nataka kuchangia kama...
  11. Tuambie kiwango chako cha kukopeshwa na huduma ya songesha ni shilingi ngapi?

    Leo tuone kiwango chako cha kukopeshwa na songesha ni sh ngapi?
  12. KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

    Hawa Nyash sorry YAS Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida... Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu! Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia.. Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
  13. Yani unakuta mzigo dukani wa milioni 5, kupamba duka milioni 8, Huduma 0 milioni, Utofauti 0 milioni. Hii ndio hali ya biashara nyingi za kisasa.

    Yani inafika wakati hauna varieties tofauti dukani ila duka lilivyopambwa sasa, mteja akija ana shangaa shangaa tu mataa ila bidhaa hauna. Sasa ndio nini. Inapelekea hadi wale watu wa kawaida kuogopa kuingia kwa kuhofia bei ni mkasi kwa maana goli lenyewe limekaa kama 5-star hoteli. Kumbe ni...
  14. WATENDAJI ARDHI WATAKIWA KUTOCHELEWESHA HUDUMA KWA MAKUSUDI

    Serikali imewataka watendaji wa sekta ya Ardhi nchini kutochelewesha huduma za sekta ya Ardhi kwa makusudi wakati wanapowahudumia wananchi wanaokwenda kupata huduma katika ofisi zao. Hayo yameelezwa Januari 31, 2025 mkoani Iringa na Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi Nyumba na...
  15. Natoa huduma ya Typing/Data Entry

    Nategemea kukurahisishia kazi zako ewe mteja wangu. Najua kuna muda huenda ukawa una documents zako unahitaji ukazitengeneze Stationary lakini muda wako unakuwa mdogo kwenda kukaa masaa kadhaa ukiisubiri na kuihakiki hadi kuitoa n.k, Sasa mimi Jobless nipo hapa kwaajili yako. *...
  16. PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
  17. Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  18. Walipa Kodi Mkoa wa Kikodi kupata huduma katika Majengo ya Diamond Plaza na Mariam Tower

  19. T

    Huduma: Strategy Consulting

    Hii ya kwenu wenye taasisi, kampuni changa na ndogo, NGOs, Churches, private schools and colleges, .. Natoa huduma katika eneo la "Strategy consulting" ili kubaini maeneo muhimu ya kufanyia kazi na kuleta tija tarajiwa ambayo pengine imechelewa kufikiwa, au imefikiwa kwa kiwango cha chini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…