huduma za afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru azindua huduma za afya zahanati ya kijiji Ndulungu

    KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AZINDUA HUDUMA ZA AFYA ZAHANATI YA KIJIJI NDULUNGU Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang'onda, tarehe 24 Julai, 2026, amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Ndulungu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA

    DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Alhaj Suleiman Yusuph Mwenda, Jumatano Julai 15, 2026, amekabidhi magari manne (4) ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika Vituo vya...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Kuchelewa kwa Madaktari kutoa huduma Muhimbili, wengi wanaanza kuhudumia wagonjwa saa 5 Asubuhi

    Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO asubuhi wakati kuna watu wamefika toka saa kumi na moja asubuhi. Nashindwa kuelewa wanakuwa wapi alafu ni...
  4. JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na matatizo ya meno Kama kuoza / Kutoboka !?

    Iwapo meno yako yametoboka/ kuoza kuna huduma ya kuziba meno ( Teeth Filling / Restoration) Faida Zake -Jino Litadumu kwa mda mrefu -utazuia kuharibika zaidi kwa jino -Utatafuna Chakula Vizuri Utalinda meno mengine yasiharibike Utakuwa na Muonekano mzuri wa meno yako Nimeambatanisha...
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ipi hatma ya fedha za Basket Fund(HSBF) kwa vituo vya kutolea huduma za Afya?

    Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025. Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo hivi vya Afya kwani fedha hizi hutumika kununua dawa na vifaa tiba, kulipa bili za umeme na maji...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume 14 wapandikizwa uume Hospitali ya Benjamin Mkapa tangu kuanza kwa huduma hiyo 2023

    Wagonjwa 14 wamefanikiwa kufanyiwa upandikizaji wa uume katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Benjamini Mkapa (BMH) tangu kuanza kwa huduma hiyo mwaka 2023 hadi sasa huku changamoto ya wagonjwa kutofika kupata huduma ikiwa ni kujinyanyapaa wenyewe. Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia asisitiza Huduma za Afya zenye viwango vya Dunia

    Afurahishwa kukuta vifaa vya saratani vya hadhi hiyo KCMC Asema vitakuwa na maana huduma zake zikizingatia ubora Ni siku chache baada ya kuzindua vingine Ocean Road DSM
  8. JamiiForums Tanzania Rasmi: Watanganyika waanza kunyimwa huduma za Afya Zanzibar

    Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu.. Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha. Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar. Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kituo cha Afya Kimara Mavurunza, mtoto chini ya miaka mitano akishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa

    Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza. Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure. Hii ni sawa wakuu? Soma Pia mijadala ya kero ya malipo kwa wajawazito Wajawazito wanalipia huduma Kituo cha Afya Nyangoto na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ikichunguze Kituo cha Afya Optimisim Dispensary cha Mwanza, mazingira ni machafu na huduma zake mmmh!

    Katika Mkoa wa Mwanza, Kata ya Kirumba, kuna kituo cha afya kinachoitwa Optimisim Dispensary ambacho kinakabiliwa na malalamiko makubwa kutoka kwa wananchi na hata baadhi ya wafanyakazi wake. Inadaiwa kuwa hakijasajiliwa rasmi, na baadhi ya watumishi wanaotoa huduma hawana leseni hai za kufanya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpimbwe, Katavi: Inakuwaje DMO anayechunguzwa kwa ufisadi na matumizi mabaya ya nafasi, anahamishwa kimyakimya?

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali. TAKUKURU wilaya walikuwa tayari wameanza uchunguzi kuhusu tuhuma hizo, lakini cha kushangaza mtuhumiwa amehamishwa kabla...
  12. JamiiForums Tanzania Huduma za Afya Karibu na Nafuu Kwa Wananchi

    Serikali imejenga hospitali 10 mpya za rufaa za mikoa tangu mwaka 2021. Huduma zilizokuwa zinapatikana mbali kwa gharama kubwa, sasa zipo karibu na wananchi, pia ni nafuu zaidi.
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Wizara ya Afya imefikia 72% ya Makusanyo, Fedha za Nje zaendelea kuimarisha Huduma Za Afya

    Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Nagu: Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuboresha Huduma za Afya Msingi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta mageuzi katika utoaji wa huduma za afya msingi ndani ya kipindi cha miaka minne iliyopita ya uongozi wa...
  15. JamiiForums Tanzania UDOM yaongoza juhudi za Kitaifa kuimarisha huduma za Afya kupitia POCUS na Akili unde (AI)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini, kimeratibu kikao maalum cha kitaifa kilichowakutanisha wataalamu wa radiolojia na tiba ya mionzi kwa lengo la kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Kikao hicho kilifanyika...
  16. JamiiForums Tanzania Hospitali Ya Rufaa Ya Kanda Mbeya Na Hospitali Ya Aga Khan Tanzania Za Saini Makubaliano Ya Kushirikiana Kutoa Huduma Za Afya Kwa Kwa Wananchi

    Ikiwa ni jitihada za kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa Kushirikiana na hospitali ya Aga Khan Tanzania zimesaini makubaliano ya kushirikiana katika utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi. Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkurugenzi...
  17. JamiiForums Tanzania Kansa yaendelea kuwa tishio Tanzania. Kilimanjaro na Dar Es Salaam yaongoza kuwa na wagonjwa wengi zaidi

    Idadi ya wagonjwa wa saratani nchini Tanzania imeripotiwa kuongezeka kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha. Ripoti mpya inaonyesha kuwa jumla ya wagonjwa 16,516 walirekodiwa kati ya mwaka 2019 hadi 2023. Kwa wanaume saratani ya tezi dume ndio inayoongoza, wakati kwa wanawake saratani ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Huduma baada ya upasuaji iliyotolewa na madaktari wa China yamwezesha mgonjwa nchini Sudan Kusini kuondokana na maumivu makali

    Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa miongo kadhaa, na kugusa maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na elimu, uchumi na biashara, kilimo, na maeneo mengine mengi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa makubwa kwa pande zote mbili, na kubadili maisha ya watu katika nchi nyingi za...
  19. S

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo Cha afya Cha WAKOREA DODOMA hakuna faragha kwa mgonjwa

    Mambo vipi wakuu mbalimbali . Nimekuja Leo baada ya salamu ni juu ya kero hii. Katika kituo kidogo Cha matibabu kinachomilikiwa na wakorea pale Karibu na soko la majengo kumekuwa hakuna faragha kati ya mgonjwa na wagonjwa wengine ama kati ya wagonjwa na watu wengine mbalimbali wanaofika...
  20. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na speech ya Dr Mpango pale UN. Hivi umeme, maji na huduma za afya ni kitu cha kujisifia mbele ya wazungu?

    Wakuu Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…