hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
  2. K

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

    "Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne ========= IGP...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Tukiendeleza kutumia nguvu kuwanyamazisha watu wanaohoji juu ya mambo ya kitaifa, tunatengeneza Taifa la hovyo na nchi kutekwa na adui

    Kipindi cha ukoloni, mkoloni hakupenda kabisa kuona watu wenye akili wakihoji. Kama Afrika isingekuwa na watu wenye kuhoji mpaka leo tusingekuwa tumejipatia uhuru.sehemu nyengine hawakupata uhuru kwa mtutu wa bunduki bali kwa hoja tu. TAIFA lenye watu wa kuhoji mana yake liko hai na linaonyesha...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuchapa watoto hovyo ni tabia za watu maskini wenye msongo wa mawazo

    Habari!. Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha. Wazazi wao ni marafiki zao. Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa. Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

    Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira. Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye Katiba mpya kiwekwe kipengele cha kupima IQ ya Mgombea Urais na Makamu wake

    Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia. Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa muhimu za kitaifa, kimataifa, uchumi, afya, siasa na utamaduni. Uelewa wa katiba ya nchi na kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Watangazaji na Wachambuzi wa Habari za Michezo wa 'hovyo hovyo' huenda wakawa wanapatikana Tanzania tu pekee

    Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure tu kwa Wanaharakati na Wapenda Siasa na Demokrasia za 'hovyo hovyo' Barani Afrika

    Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako. Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
  9. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya bunge letu lijalo kutupia macho kipengele ndani ya katiba kinachoruhusu mikutano ya vyama kufanyika hovyo hovyo.

    Wakuu asalama alykum......Nadhani ipo haja kwa sasa bunge letu tukufu kuangalia ni jinsi gani litaweza kuondoa baadhi ya vifungu ndani ya katiba vinavyoruhusu watu kufanya shughuli za kisiasa kila wakati ili kuongeza utendaji kazi wa watanzania badala ya shughuli za kisiasa kufanyika kila wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wazamiaji' wengi wa Harusini ( Shughulini ) ndiyo huongoza kwa Kufakamia Vyakula na Kunywa Bia hadi Kulewa hovyo?

    Nasubiri kwa hamu sana tu Majibu yenu.
  12. JamiiForums Tanzania Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

    Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu. Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka...
  13. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ya Tanzania ni ya hovyo sana

    Salamu kutoka kusini! Kusini Kuchele Naanza na malalamiko yangu kwa hii mitandao ya simu ya Tanzania! Moja. Hivi kuna ulazima gani, pindi mtu anaacha kutumia line ya mtandao flani au anafariki dunia,halafu hiyo line ya simu anapewa mtu mwingine baada ya miezi kadhaa? Hivi inakuaje aliyekua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…