Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi...