house girl

Girls in the House is the debut studio album by German girl group Preluders. It was released on 24 November 2003 by Cheyenne, Polydor and Zeitgeist. Entirely co-produced by Uwe Fahrenkrog-Petersen, and Gena Wernik, zhe album peaked at number 2 in Germany, number 4 in Switzerland, and number 5 in Austria, eventually receiving a gold certification for more than 100,000 albums sold. The album spawned three singles, including the promotional cover single "Losing My Religion", German number-one single "Everyday Girl", and bilingual "Bal Privé".

View More On Wikipedia.org
  1. Grau

    Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

    Habari wakuu? Mimi nimeoa, baada ya mda nikafungua kiofisi ambacho ilituradhimu tutafute house girl, baada ya mda tulimpata mwenye umri around 16 yrs dah! Huyu house girl anaamka saa 12 asubuhi anapiga kazi kufikia saa sita mchana kaivisha na chakula cha mchana. Kiukweli mimi house girl...
  2. tonicimmobility

    Kuna house girl analalamika Boss wake anamfulisha vyupi, hii iko sawa?

    Wataalamu hii imekaaje? huyo house girl anaonewa au ni sawa kufua nguo za ndani za Boss wake?
  3. MkuuXyz

    House Girl, Sheria na Utaratibu

    Wana Jamii, nahitaji msaada/muongozo/kuelimishwa kuhusu utaratibu,sheria (kama ipo) kuhusu kutafuta na kumuajili msichana wa kazi/house Girl as a Single Man. Mimi ni Mwanaume wa miaka takribani 40, nahitaji kutafuta, na kumuajili msichana wa kazi, ili aweze kusaidia na mambo madogo kama kufua...
  4. Bepari la Kinyambo

    House girl ananitaka

    Wakuu, nimechukua ushauri wenu wengi mlitaka nipite nae, basi napenda kuwaambia leo hii nimepita nae kwakwel ni mtamu sana na amenipa buku ten ya zawad Angalizo, tuwape ruhusa hg wakatembee mana alikua na nyege sana ameweza kukaa kifuan kwangu lisaa lizima
  5. Hyrax

    Ukiona Baba mwenye nyumba anamuonea wivu house girl ujue tayari

    Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake...
  6. Z

    Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
  7. R

    Ndugu aliekuja kunisalimia na mtoto wake kachukia baada ya kumkataza anavyompa kazi za ziada house girl, nimekosea ?

    Kuna ndugu yangu (sio wa damu) kafikia kwangu siku ya jumatano, alifika na mtoto wake ana miaka miwili Nilikuja kuambiwa na wife nikahakikisha kwa watoto, ndugu huyu anampa kazi house girl kama kufua nguo za mtoto, kumuogesha mtoto, kupasha maji, kuandaa uji, kumtuma tuma, n.k. Nikamuita na...
  8. KikulachoChako

    Uchunguzi usiokuwa rasmi;Ndoa za waliowahi kuwa madada wa kazi( ma house girl) zinadumu kuliko za hawa wengine.......

    Habari za asubuhi waungwana...... Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali....... Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta nimewakumbuka baadhi ndugu, jamaa na marafiki ambao imetokea wameangukia kwenye pendo la hawa wadada wa...
  9. Angyelile99

    Njia za kudhibiti ukatili baina ya dada wa kazi za nyumbani (house girl) na mwajiri wake

    Utangulizi lengo la nakala hii ni kutoa ushauri haswa kwa serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya namna gani tunaweza kupambana na vitendo vya ukatiri ulio shamiri kwa sasa katika maeneo tofauti tofauti dhidi ya dada wa kazi za nyumbani kwa familia wanazo zifanyia kazi. Mpaka ivi...
  10. Mr George Francis

    Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [Updated Thread, 2024] [Prepared and posted on Facebook by Mr George Francis In 2021 & Posted On JamiiForums in 2022, now it's reposted here in 2024.] KAZI ZA NDANDANI ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua...
  11. Annie X6

    Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

    Kama mada ilivyo... Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli. Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba...
  12. LIKUD

    Aliyekuwa house girl wa Julius Malema apost picha za mtoto wake

    House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
  13. F

    Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

    Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani. Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
  14. Nyafwili

    Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la mapambano ya hisia kali zenye mvutano wa hapa na pale...... House girl ambaye tulizama naye kwenye...
  15. Patandi

    House girl wangu anatumia vidonge vya HIV

    Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
  16. S

    Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya. Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa. Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo...
  17. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Zuhura Ramadhani ambaye ni dada wa kazi za ndani amemshitaki mwajiri wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali za Mtaa wa Mpiji Magoe Jijini Dar es Salaam akidai kutolipwa mshahara wake kwa muda wa miaka mitano. Akisimulia kilichotokea Zuhura ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30 anasema...
  18. BARD AI

    House girl ataka kutorosha mtoto ili kulipa kisasi kwa mwajiri wake

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa tukio la mtoto ambaye jina lake limehifadhiwa (10) anayedaiwa kukamatwa na wasamaria wema katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza katika harakati za kutoroka na mtoto wa mwajiri wake kwenda mkoani Mbeya. Taarifa ya mtoto huyo...
  19. mcshonde

    House Girl / House maids wanavyouzwa mtandaoni nchi za mashariki ya kati

    Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu. Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
Back
Top Bottom