hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KWA hotuba za Jana, Naungana na JK Mama amalizie mitano yake. Polepole hakijui Chama chao.

    Kwa ufafanuzi wa JK na KWA hoja za wazungumzaji wote zilijaribu kumtenga mama na chochote kilichofanyika kabla hajashika usukani wa kitaifa. Wanasema Alikuta Uchumi Umeshuka. Alikuta Vyombo vya habari na uhuru wa habari umekandamizwa sana. Etc Nilichokielewa, CCM mtu akiwa Rais chochote kibaya...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

    Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuhuma za Polepole zimenikumbusha hotuba ya Lissu ya kufunga kampeni 2020

    Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa. Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo makuu niliyobaini katika hotuba ya polepole usiku wa kuamkia leo ni kama ifuatavyo

    1. Ni kwamba ccm na serikali kwa mda mrefu imekuwa na chaguzi ambazo siyo za kweli na za kihuni mbele ya jamii na ndiyo maana viongozi wao hata kwa macho yao walikuwa na kiburi cha kuwasikiliza wananchi. 2. Imeonekana wazi kabisa kama haramu hii itaendelea tujiandae watanzania kuwa na kizazi...
  5. JamiiForums Tanzania Umoja na mshikamano vya tawala hotuba za viongozi mkutano wa SADC

    UMOJA NA MSHIKAMANO VYA TAWALA HOTUBA ZA VIONGOZI MKUTANO WA SADC Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 17, 2025, huku viongozi hao wakihimizana, umoja, mshikamano na ushirikiano kama njia ya msingi ya kujikwamua...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana. Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nilivyomwelewa Askofu Gwajima hotuba yake ya jana Agosti 15, 2025

    1. Nimezunguka majimbo karibu yote Tanganyika naangalia umati uliokuwa nyuma yangu. Watawapigia kura CCM? / watakwenda kupiga kura 2. Wafuasi wa madhehebu mbali mbali watawapigia kura CCM? watakwenda kupiga kura? 3. Wapenda haki watawapigia kura CCM?/ watakwenda kupiga kura? 4. Mwachieni Lisu 5...
  9. JamiiForums Tanzania Kila hotuba zao kwenye uzinduzi wa miraji yao utasikia itachochea ukuaji wa biashara/imekuza biashara. Njoo sasa kwa CAG

    Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%. Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika. Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia. Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kutafsiri hotuba zilizotolewa kwa kiingereza ni ushahidi wa elimu yetu hafifu

    Mitaala yetu inafundisha Kiingereza kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu. Kuanzia elimu ya sekondari hadi vyuo vikuu lugha ya kufundishia ni kiingereza tu. Tanzania ina watu wengi (90%) waliopata angalau elimu ya msingi ambao pia katika hali ya kawaida wangepaswa kujua kusoma, kuandika...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  12. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Polepole kwa lugha yetu huku mtaani

    Uchambuzi wa hotuba ya mheshimiwa Polepole kwa lugha inayoweza kueleweka huku uswahilini kirahisi. Kwa ufupi, Polepole amelalamika kuwa utaratibu wa familia wa kula pilau pamoja kwenye sinia moja kwa ustaarabu na maadili umeharibiwa; ameshutumu utaratibu wa zamu na ratiba za wapishi kupuuzwa na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania TBT: Tujikumbushe hotuba za mhe. Joseph mbilinyi (sugu) bungeni

  14. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Humphrey Polepole aungwe mkono ana jambo zuri kwa watanzania. Tunasubiri kwa hamu kusikia hotuba yake hapo 17-07-2025.

    Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu. Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya karne ya Humphrey Polepole iliyowainua watu Mlimani City 2014

    Toka maktaba: November 26, 2014 Mlimani City, Dar es Salaam Hotuba ya karne ya Humphrey Herson Polepole iliyowainua watu Mlimani city 2014 Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani - City 2014 kinachoishi jana, leo na hadi kesho Amb. Humphrey H. Polepole...
  16. JamiiForums Tanzania PK anamaanisha nini kwa hotuba hii ya ukali hivi? nani huko kamwuuzi

    Nimeikuta huko YT Inaelekea ni hotuba ya hivi karibuni jamaa anahutubia wananchi wake mahala flani Maswali ni mengi Anadai "we have capacity you don't know" Nani anafokewa hapa? https://youtu.be/kVNhySLWZqg?si=7eH09SQ-1rsztQBp
  17. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia akikemea ufisadi kwenye hotuba zake

    Tangu aingie madarakani baada ya kifo cha bwana yule, sijawahi kumsikia alikemea au akimtumbua mtu kwa sababu ya ufisadi. Katika awamu yake ufisadi umeshamiri sana. Kila mteule wake kwa sasa ni bilionea huku miradi mingi ya maendeleo ikikosa fedha. Je ukimya wake ni kukiri kuwa yeye ni Shemu ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini haya hayakutokea kwenye hotuba ya kuahirisha bunge?

    Katika hotuba hiyo kuna mambo nilitarajia yatapata maelezo lakini hayakutokea. Lakini pia kuna yaliyoniacha nikitafakari. 1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa mwanza haukutajwa lakini nimesikia vingine kadhaa vikitajwa kama msalato na songwe. 2. Mv Mwanza imeishia wapi? 3.ujenzi wa barabara za...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Hotuba ya leo uelekeo wetu ni kwa Benki ya Dunia na Wafadhili wote. Tunajua bila Mikopo na Misaada hamuwezi kufurukuta.

    Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu. Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…