hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania P.Diddy na hotuba yake ya kishetani

    Hapa kuna hotuba ya kishetani iliyojaa mawazo na hisia, iliyotolewa na P. Diddy na kuongezea kina katika muktadha wa kutafakari kuhusu roho na nguvu: --- Katika giza la usiku, tunakutana na mabadiliko yasiyoonekana, ambapo nguvu za giza zinatawala. Ni wakati wa kuangalia ndani ya nafsi zetu na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni Jijini Dodoma

    NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Hotuba hii ya Nyerere, hakika alikuwa mdau aliyependa mabadiliko ya Sheria Mbovu kwenye chaguzi, angekuwepo leo angeihubiri 'No reforms No election'

    Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election' === Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Hasheem Rungwe amechoka, anasoma hotuba kwa taabu sana, wana-CHAUMMA wanakuna vichwa tu, G55 wanampimia wapite na chama

    Wakuu Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania HOTUBA YA BOI NI SUPA NIMEKUBALI.

    Nimekubaliana na hotuba yako na uchambuzi wa kweli.Umewamaliza G55 na kiukweli nimekupa GOLD MEDAL. Si bure kwa G55.CONCLUSION WAMEPEWA PESA HAWA. FULL STOP.
  7. afisakipenyo

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso apata mtihani, afiwa siku ya hotuba yake ya bajeti

    Muktasari: Miongoni mwao alikuwepo wakati Aweso akiwasilisha hotuba yake ya bajeti, ni Babu Ali ambaye ni mdogo wa Waziri huyo aliyeongozana na wanafamilia wengine kumsindikiza na kujionea tukio hilo. Dodoma. Kifo ni fumbo. Hivi ndivyo unavyoweza kusema kwani kinaweza kumtokea mtu mahali na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza hotuba nzima za washiriki wa Kongamano la TLS, notable Warioba etc

    https://www.youtube.com/live/a0_B4bs_Kpo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  10. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tahakiki ya Hotuba ya Rais Samia ya Tarehe 25 Aprili 2025: Muundo, Maudhui, Mabaya, Mapengo Na Mapendekezo

    Mazingira, muundo, maudhui, mabaya, mapengo na mapendekezo kuhusu hotuba ya Rais Samia ya tarehe 25 Aprili 2025: Mazingira ya hotuba Hotuba ya Rais Samia imeandaliwa, na inapaswa kutathminiwa, katikati ya mazingira yafuatayo: Msimu wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na mwadiwani inakaribia...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

    Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025. Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama! Updates.... Rais...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

    Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta. Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
  13. Area 56

    JamiiForums Tanzania Afande akifurahia hotuba ya Tundu Lissu kuhusu No Reforms No Elecetion

    Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu. Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Hotuba za mwisho wa mwezi za Rais Mkapa

    1. Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi. 2. JK akajaribu hakufanikiwa. 3 (a) Shujaa ndo vile tena!. (b) Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala ya Kitaifa kuliko kusubiria matukio ya msimu.
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Nyerere kwenye mkutano wa wakuu wa nchi huru za Africa mwaka 1964. Nyerere alikuwa na bifu kali sana na Rais Kwame Nkrumah wa Ghana

    HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA UNGUJA MWALIMU JULIUS K. NYERERE KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA, MJINI CAIRO Tarehe 20 Julai, 1964 NINATAKA kuwaunga mkono katika kutoa shukurani zangu kwa Rais Nasser, serikali yake na kwa watu wa Jamhuri ya Nchi za...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Gari lenye Mabango ya Picha za Dkt. Samia, Abiria waliokuwemo wanatazama Hotuba za Lissu. Walionekana na furaha sana

    Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa. Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba hii ya Wamarekani itafsiriwe katika lugha zote, inatuhusu wote,

    Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo, kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa LISSU hatungi, Hotuba zake zote Hurejelea yalosemwa huko nyuma, Suala la Katiba, Tume huru ya uchaguzi lilisemwa na tume ya Jaji Nyalali !

    Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa). Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba nzuri ya kwanza ya Lissu tangu nimfahamu

    Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Kwa hotuba Lissu ameshaanza kukomaa. Bado TU kutueleza ni kwa vipi ataondoa umaskini kwa watanzania na vipi ataboresha elimu, afya, kilimo, uchimbaji, biashara, uvuvi na ufugaji kama chadema ikipewa ridhaa. Hata Ruto aliimba hayohayo wakati...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii. Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
Back
Top Bottom