hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hotuba ya leo, ni kukaza ICC intervention. Amedhamiria kuwasafisha watanganyika

    This is my observation. No more No Less
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia: "Nani wa kumfunga paka kengele?"

    Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
  3. Mayu

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwigulu; Hivi ni kweli Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu anajua Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
  4. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mustakabali wa Tanzania na uchaguzi wa busara ya kihistoria

    HOTUBA KWA TAIFA KUHUSU MUSTAKABALI WA TANZANIA NA UCHAGUZI WA BUSARA YA KIHISTORIA Hotuba kwa Taifa, vyombo vya Habari na wananchi ndani na nje ya Nchi. Ndugu wananchi, Watanzania wenzangu, Na wote mnaolipenda taifa letu, Leo nasimama mbele yenu kwa heshima kuu, kwa uzito wa moyo na kwa...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kwenye hotuba zako punguza kufokafoka

    Jana nimekuona ulihutubia wananchi huko Singida badala ya kusema maneno ya maana na kuhutubia umoja, mshikamano na haki wewe ukaanza kutoa mapovu. Mara ooo mimi sina biashara, mara hoooo mama yangu Muislamu na blablaa kibao. Mwigulu Nchemba huko watanzania washatoka na huo utapeli wa kutufokea...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
  7. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Leo kuzindua Tume naipinga kipengele kwa kipengele

    HOJA YA MWANZO: Tume haina jipya… CCM kaeni na Chadema… 1: Tume hii haitakuwa na jipya kwa sababu ni tume ya kufunika ukweli, si kuutafuta. Hakuna tume inayoundwa na mtuhumiwa na ikaweza kutoa majibu ya kweli. Huwezi kuwa kiongozi wa tukio, mshukiwa wa kosa, mwigizaji wa tukio, halafu ujiteue...
  8. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo 1. Utangulizi Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma. Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
  9. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Kinachonisikitisha hotuba Imeisha lakini hajazungumzia UTEKAJI. Tujiandae kunyakuliwa kama kuku

    Wakuu, Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa. Lakini hola! Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania. Hii nchi imeoza to the core!
  10. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

    Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

    Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police, Vyombo vya...
  12. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Aliyemwandikia sala Mufti mkuu ndo huyo huyo aliyemwandikia hotuba Mama kizimkazi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Alikuwa ni mtu mmoja SAYUNI BOY
  13. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya uamsho wa Taifa: Siku ya Kupinga Ubabe na Udhalimu

    Watanzania, ndugu zangu, Leo tunasimama hapa si kwa hofu — bali kwa hasira. Hasira ya watu waliodhalilishwa kwa miaka. Hasira ya watu waliodhulumiwa hadharani, wakabaki kimya. Hasira ya watu walioumia, lakini wakatakiwa wapige makofi. Na sasa nawauliza: Mpaka lini tutakaa kimya? Mpaka lini...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tahakiki: Hotuba ya Kapteni Tesha inataja sababu, uwezo na nia ya kuiangusha serikali ya kiraia iliyopoteza uhalali wa kikatiba

    https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya. Utangulizi Jumamosi ya tarehe 4...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hotuba ya Tundu Lissu itakayoishi miaka 10,000 ijayo

  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naomba kipindi hiki cha kampeni TBC muwe mnatuwekea hotuba za Magufuli

    Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
  17. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

    ( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni 10. Mara kusikiliza kero kidigitali. Mara nishati Safi ya kupikia. Tena mitaa ya viwanda sijui...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

    Baad ya hotuba ya Humphrey Polepole usiku wa Jana, video hii ya John Pombe Magufuli imetrend Sana..
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania KWA hotuba za Jana, Naungana na JK Mama amalizie mitano yake. Polepole hakijui Chama chao.

    Kwa ufafanuzi wa JK na KWA hoja za wazungumzaji wote zilijaribu kumtenga mama na chochote kilichofanyika kabla hajashika usukani wa kitaifa. Wanasema Alikuta Uchumi Umeshuka. Alikuta Vyombo vya habari na uhuru wa habari umekandamizwa sana. Etc Nilichokielewa, CCM mtu akiwa Rais chochote kibaya...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

    Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
Back
Top Bottom