Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine.
Aidha ametoa...
Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations.
Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya.
Mwamba amesimama muda wote...
Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa sababu atayechukua nafasi yake baada ya yaye atakuja na wa kwake.
Je, kwa kauli hii tutegemee Nini sisi...
Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria.
Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa.
Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais. Sasa anasema ameanzisha Wizara ya Vijana kuliponya Taifa. Kuliponya na nini? Na hiyo Wizara inaponyaje?
Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? Bila shaka ndiye alisema na JF isifunguliwe. Na inashangaza JF...
Nimemsikia Rais Samia Suluhu akiwahutubia mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Hotuba yake imepiga hatua moja mbele. Rais Samia “ameishavua nguo lakini anaogopa kuoga maji”. Ama maji yana moto sana au ni baridi sana. NAMPONGEZA mwandishi wa hotuba. NAMPONGEZA Rais kwa kuwa mwaminifu wa...
https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9
Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote.
Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza nchi,umeua,umeteka,ufira,umebaka,umeleta mambo ya ajabu.
alafu neno lako unasema "tusitengane kwa tofauti zetu" .kwa hiyo tofauti yako...
Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi? Televisheni gani?
Je zifuatazo ndio Dondoo za hotuba?
1. Taifa Stars Kufuzu AFCON 16 Bora (pongezi...
Wakati wote wa Vita vya Kagera Mwalimu Nyerere alikuwa anatoa hotuba kila baada ya muda fulani ili kuwajulisha wananchi maendeleo ya vita. Hotuba zote zimewekwa kwenye kakitabu haka. Kitabu unaweza kukisoma ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore.
Hotuba No 1
2, Novemba, 1978.
Ndugu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita.
Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
GT
Labda mimi siyo mfuatiliaji.
1. Hivi hawa hawana mambo mengine yakuongea
2. Unaita press kusema kwamba unaunga mkono hotuba?
3. Huu ni uchawa na ukilaza uliopitiliza sijawahi kuona
4. Press huitishwa tu endapo una maoni tofauti na hotuba vinginevyo ni kupotezeana mda
Miongoni mwa mambo yanayoshangaza ni namna wala tende walivyogeuza jambo la mauaji ya wananchi siku ya maandamano kuwa ni vita dhidi ya wagalatia.
Ukisikiliza hotuba za Wagalatia utagundua kuwa wao hawashambulii dini ya mtu, wanashambulia mambo yanayotendwa na serikali nzima, ambayo Mama...
In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%.
Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya.
Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
Habari wadau.
Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli kabisa. Uwezi kushinda umaskini kwa maneno. Lazima kujituma na kuwa na mipango. Watu wananguvu sana ila...
Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.
Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake.
Nimeumia…
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika
Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
anafanya
dar
dar es salaam
genocide
hii
hotubahotuba ya rais samia
kazi
kitima
kitu
kusikiliza
majangili
mass killings
nzito
rc chalamila
taarabu
taifa
taifa letu
wakati
wanawake
wanawake wa dar
wazee
wazee wa dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.