hospitali

Stenoma hospitalis is a moth of the family Depressariidae. It is found in Rio de Janeiro, Brazil.The wingspan is about 29 mm. The forewings are whitish ochreous with the costal edge dark fuscous towards the base. The plical and first discal stigmata are small and ferruginous brown, the plical obliquely posterior. There are two small dark fuscous dots transversely placed on the end of the cell and there is a triangular ferruginous-brown spot on the costa somewhat beyond the middle, and a more elongate one towards the apex. A series of small ferruginous-brown dots is found from the first costal spot strongly curved around beyond the cell, then to two-thirds of the dorsum, and a curved series from the second costal spot to the dorsum before the tornus. There are also some minute marginal dots around the apex and termen. The hindwings are ochreous whitish.

View More On Wikipedia.org
  1. Anonymous

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi Hospitali ya Mkoa Songwe unaenda kwa mwendo wa konokono, Serikali ijaribu kuangalia hilo

    Nichukue nafasi kupongeza utendaji kazi wa Wahudumu waliopo Hospitali ya Mkoa Songwe iliyopo nje kidogo ya Mji wa Vwawa Mbozi kwa utoaji wa huduma. Changamoto iliyopo hapa ni ujenzi unaenda kwa mwendo wa konokono taratibu mno Serikali ijaribu kuangalia hilo. Changamoto nyingine ni upungufu wa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ben Pol aungana na Wananchi wengine kuelezea changamoto ya miili ya marehemu kuzuiwa hospitali

    Baada ya andiko la JFKUMBUKIZI kuhusu ahadi mbalimbali zilizotolewa na Viongozi tofauti kuhusu ahadi za kushughulikia changamoto ya taasisi au vituo vya Afya kugoma kutoa miili ya Watu kutokana na madeni ya huduma walizokuwa wanapatiwa, maoni yamekuwa mengi kutoka kwa Wananchi. Ahadi kwamba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Suala la hospitali kutokuzuia mwili wa marehemu linasubiri muda wa Kampeni? CCM!!!!

    Jana Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM ametoa ahadi nyingi za mambo ambayo Serikali yake itatekeleza katika kipindi cha siku 100 za mwanzo. Moja kati ya mambo hayo ni kuhakikisha kuwa itaondoa utaratibu uliopo sasa wa kuzuia miili ya Marehemu ambayo haijalipiwa, kuchukuliwa na ndugu zao...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana. Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  8. meningitis

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutengeneza drama za siasa kwenye maeneo ya hospitali ikemewe!!

    Ipo Tabia chafu ya baadhi ya wanasiasa kugeuza huduma za tiba na maeneo ya hospitali kuwa sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa hususani nyakati hizi za uchaguzi. Inaeleweka wazi kuwa ukibrand hoja yako na maswala yanayohusu afya,uhai,kifo au huduma za dharura basi jamii lazima itataharuki na...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania RC Kilimanjaro acharuka, akalishwa masaa matatu Hospitali akisubiria huduma - Mawenzi

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amechemka hadharani kutokana na kile alichokiita huduma za aibu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa Mawenzi na kumwagiza Katibu Tawala wa Mkoa, kufanya uchunguzi wa kina utendaji wa hospitali hiyo. Soma pia: Mbunge Mavunde akabidhi Jengo la kupumzika...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Nimepima hospitali moja wakasema nina malaria 4,wamenipa dawa, kabla sijameza dawa nikaenda hospitali nyingine kuhakikisha wakasema sina malaria, Nipo njia panda, nimeze dawa au nisimeze? Ushauri wenu tafadhali
  11. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni: Tunamshukuru Rais Samia kutujengea hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa TZS10bn wagonjwa wengi wa rufaa kwenda Mwanza Bugando walifia njiani

    == Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya...
  12. Candela

    JamiiForums Tanzania HOSPITALI ZIACHE UTAPELI

    Wakuu mi huwa sielewi kitu hizi hospital zetu. Mgonjwa anapokufa wanadai ulipe bili ndio wakupe mwili. Kwa nini niwalipe wakati wamefeli kutoa huduma na mteja amekufa. Mfano ukienda gereji na gari lako, fundi akalitengeneza lakini likashindikana kuwaka unachukua gari lako free. Njia sahihi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  14. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD HOSPITALI: Jumla ya hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 pamoja na hospitali mpya za huduma za dhararula(EMD) 118

    Rais Samia akiweka jiwe la Msingi ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Kusini ==Rais Samia amejenga hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 na hospital ya Emergency Medicine Depertment 118 kama msingi wa Dira2050. Rais Samia amekamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi na...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji Hospitali ya Kenyatta akamatwa na Polisi

    Maafisa wa upelelezi wa mauaji wamemkamata Kennedy Kalombotole, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kutisha ya wagonjwa wawili katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa Kalombotole alilazwa hospitalini hapo tangu Desemba 1, 2024. Mauaji ya hivi karibuni yanayomuhusisha...
  16. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Huduma ya Ambulance iboreshwe Hospitali ya Amana, kuna changamoto kubwa

    Nina malalamiko yangu kuhusu Hospitali ya Amana iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam huduma za pale zina huzunisha sana, tulimpeleka ndugu yetu alipata ajali ya Pikipiki, Jumatatu Juni 23, 2025 walikaa nae pale takribani siku nzima akapimwa kipimo cha CT Scan baada ya hapo mida ya Saa 10 Jioni...
  18. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yamuua Mkuu wa Mossad "David Barnea" katika shambulizi la Bomu chini ya handaki la hospitali huko Tel Aviv

    Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran. Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai. Vyombo...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
  20. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
Back
Top Bottom