hospitali

Stenoma hospitalis is a moth of the family Depressariidae. It is found in Rio de Janeiro, Brazil.The wingspan is about 29 mm. The forewings are whitish ochreous with the costal edge dark fuscous towards the base. The plical and first discal stigmata are small and ferruginous brown, the plical obliquely posterior. There are two small dark fuscous dots transversely placed on the end of the cell and there is a triangular ferruginous-brown spot on the costa somewhat beyond the middle, and a more elongate one towards the apex. A series of small ferruginous-brown dots is found from the first costal spot strongly curved around beyond the cell, then to two-thirds of the dorsum, and a curved series from the second costal spot to the dorsum before the tornus. There are also some minute marginal dots around the apex and termen. The hindwings are ochreous whitish.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Suala la hospitali kutokuzuia mwili wa marehemu linasubiri muda wa Kampeni? CCM!!!!

    Jana Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM ametoa ahadi nyingi za mambo ambayo Serikali yake itatekeleza katika kipindi cha siku 100 za mwanzo. Moja kati ya mambo hayo ni kuhakikisha kuwa itaondoa utaratibu uliopo sasa wa kuzuia miili ya Marehemu ambayo haijalipiwa, kuchukuliwa na ndugu zao...
  2. Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana. Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
  3. A

    KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  4. Tabia ya kutengeneza drama za siasa kwenye maeneo ya hospitali ikemewe!!

    Ipo Tabia chafu ya baadhi ya wanasiasa kugeuza huduma za tiba na maeneo ya hospitali kuwa sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa hususani nyakati hizi za uchaguzi. Inaeleweka wazi kuwa ukibrand hoja yako na maswala yanayohusu afya,uhai,kifo au huduma za dharura basi jamii lazima itataharuki na...
  5. RC Kilimanjaro acharuka, akalishwa masaa matatu Hospitali akisubiria huduma - Mawenzi

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amechemka hadharani kutokana na kile alichokiita huduma za aibu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa Mawenzi na kumwagiza Katibu Tawala wa Mkoa, kufanya uchunguzi wa kina utendaji wa hospitali hiyo. Soma pia: Mbunge Mavunde akabidhi Jengo la kupumzika...
  6. X

    Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Nimepima hospitali moja wakasema nina malaria 4,wamenipa dawa, kabla sijameza dawa nikaenda hospitali nyingine kuhakikisha wakasema sina malaria, Nipo njia panda, nimeze dawa au nisimeze? Ushauri wenu tafadhali
  7. M

    RC Mboni: Tunamshukuru Rais Samia kutujengea hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa TZS10bn wagonjwa wengi wa rufaa kwenda Mwanza Bugando walifia njiani

    == Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya...
  8. HOSPITALI ZIACHE UTAPELI

    Wakuu mi huwa sielewi kitu hizi hospital zetu. Mgonjwa anapokufa wanadai ulipe bili ndio wakupe mwili. Kwa nini niwalipe wakati wamefeli kutoa huduma na mteja amekufa. Mfano ukienda gereji na gari lako, fundi akalitengeneza lakini likashindikana kuwaka unachukua gari lako free. Njia sahihi...
  9. A

    KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  10. RECORD HOSPITALI: Jumla ya hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 pamoja na hospitali mpya za huduma za dhararula(EMD) 118

    Rais Samia akiweka jiwe la Msingi ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Kusini ==Rais Samia amejenga hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 na hospital ya Emergency Medicine Depertment 118 kama msingi wa Dira2050. Rais Samia amekamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi na...
  11. R

    Mtuhumiwa wa Mauaji Hospitali ya Kenyatta akamatwa na Polisi

    Maafisa wa upelelezi wa mauaji wamemkamata Kennedy Kalombotole, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kutisha ya wagonjwa wawili katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa Kalombotole alilazwa hospitalini hapo tangu Desemba 1, 2024. Mauaji ya hivi karibuni yanayomuhusisha...
  12. DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  13. KERO Responded Huduma ya Ambulance iboreshwe Hospitali ya Amana, kuna changamoto kubwa

    Nina malalamiko yangu kuhusu Hospitali ya Amana iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam huduma za pale zina huzunisha sana, tulimpeleka ndugu yetu alipata ajali ya Pikipiki, Jumatatu Juni 23, 2025 walikaa nae pale takribani siku nzima akapimwa kipimo cha CT Scan baada ya hapo mida ya Saa 10 Jioni...
  14. Iran yamuua Mkuu wa Mossad "David Barnea" katika shambulizi la Bomu chini ya handaki la hospitali huko Tel Aviv

    Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran. Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai. Vyombo...
  15. Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
  16. N

    Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
  17. H

    DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  18. Ukweli Wafichuka, Albert Ojwang’ Alifikishwa Hospitali Akiwa Tayari Amefariki

    Video ya ulinzi (CCTV) iliyopatikana hivi punde imethibitisha kuwa Albert Ojwang’ alikuwa tayari amefariki wakati alipofikishwa katika Hospitali ya Mbagathi na maafisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu cha Polisi, kinyume na kauli za awali zilizotolewa na polisi kwamba mwalimu huyo alikimbizwa...
  19. R

    ELIMU YA MTAANI: Tusubiri mpaka Polisi wafike eneo la tukio au tumuwaishe hospitalini??

    Eti wakuu, Jenga picha upo kijiweni saa 12 jioni baada ya kutoka kazini, mnapiga story mbili tatu, mara ghafla linatokea tukio la uhalifu, mtu mmoja anapigwa risasi barabarani/mtaani. Ila baada ya kumtazama vizuri mnagundua kuwa huyo mtu anatiririka damu nyingi sana lakini hajafa. Sasa hapa...
  20. Mwanafunzi Tabora girls ajifungua chooni, mpaka anapelekwa hospitali hakujulikana kuwa na ujauzito, alidaiwa kuumwa kichwa na mguu

    Mkuu wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameagiza kukamatwa kwa Bodaboda aliyempa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tabora Wasichana (Tabora girls) kuhamishwa kwa walimu wenye miaka zaidi ya 10 katika shule hiyo na kuchunguzwa kwa Daktari aliyemfanyia vipimo mwanafunzi huyo aliyejifungulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…