hospital

  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda BBS Journalist Joseph Sseruwooza Dies at Mulago Hospital

    The Ugandan media fraternity is mourning the death of veteran journalist Joseph Sseruwooza, a parliamentary reporter and current affairs host at BBS Terefayina, who passed away on Friday morning at Mulago. Sseruwooza was widely known for his coverage of Parliament and for hosting Zuukuka...
  2. JamiiForums Tanzania Mama ajifungua Watoto Mapacha Watano Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Wakuu, Nimeisikia hii taarifa kwamba kuna mama kajifungua watoto mapacha watano hospitali ya Taifa Muhimbili.
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda PM Nabbanja Commissions Masindi Hospital and AFCON training Facility

    The Prime Minister, Rt. Hon. Robinah Nabbanja commissioned the construction of Masindi Hospital and the groundbreaking for the Masindi Municipal Council Africa Cup of Nations (AFCON) training facility in preparation of the 2027 tournament that will be held in East Africa and co-hosted by...
  4. JamiiForums Tanzania Hospital Yenye kipimo cha aleji

    Habari wakuu naomba mwenye kuweza kunisaidia hospital Bingwa nitakayoweza kufanyiwa vipimo na kutambua aleji ya vitu vinavyonitesa Ninakuwa na mafua na pua kuziba na kusababisha koo kuwa na makohozi kwasababu ya mafua , au dawa itakayoweza kunisaidia kunitibu au kupata hali ya unafuu...
  5. JamiiForums Tanzania Naamini hospital ya Muhimbili ilichangia baba yangu kufariki mapema

    Kwakawaida pale MUHIMBILI na hospitali zote zenye vyuo Huwa wanapita madaktari na wanafunzi wao mawodini kama sehemu ya kuwafumdisha Kwa vitendo Yani yule mgonjwa anakuwa case study. Sasa wanafunzi wanakuwa wengi mpaka kumi wanamzunguka mgonjwa huku wakimatadi ule ugonjwa. Sasa wanafunzi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina katika hospitali ya St. Francis, Ifakara kuhusu uongozi wake

    Tunaomba mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko mbalimbali yanayodaiwa kuwepo katika Hospitali ya St. Francis, Ifakara, hususan kuhusu mwenendo wa uongozi na athari zake kwa ustawi wa watumishi na utoaji wa huduma kwa wananchi. Kwa mujibu wa malalamiko yanayotolewa na baadhi...
  7. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Vijibweni pokeeni maua yenu

    Salamu ndugu zangu, Nakumbuka kuna siku nilileta bandiko linalohusu kuomba ambulance kwa ajili ya kumpakia mke wangu endapo angepata changamoto usiku, japo sikupewa ila nashukuru Mungu uchungu ulimpata mchana kwa hiyo ilikuwa rahisi kupata usafiri kwa kumfikisha hospitali, Vijibweni kwa upande...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za upandikizaji wa mtoto hospitali ya Kairuki

    Kwanza naomba nitoe pole kwenu nyote. Binafsi kwa sasa ninaishi mkoani Mtwara, ni muda mrefu sana nimehangaika kutafuta mtoto na mke wangu kwani mtoto wangu wa kwanza ana miaka 6, baada ya hapo nimehangaika sana kutafuta bila mafanikio. Nilianza matibabu hosp huku mtwara na leo ndio nimepokea...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Anita Among Probe Expands to Radio, School & Hospital

    The corruption probe into properties linked to outgoing speaker of parliament Anita Among has been extended to include her radio station, school and teaching hospital in Bukedea. A joint security team comprising personnel from the army, police and the Internal Security Organisation (ISO)...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwananyamala Hospital iongezewe Madaktari, foleni ni kubwa kumuona daktari

    Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri. Nimefika hapa tangu saa mbili asubuhi, lakini hadi kufikia saa 8:20 mchana hatukuwa na uhakika wa...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar Mbioni Kuanzia "Muhimbili National Hospital Yake"

    My Take Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae. Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za kuhudumia Watalii na Wananchi. Aisha wanaweza anzisha Utalii tiba na kuongeza bidhaa ya Utalii wa beach...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sumbawanga Mjini, Kuliko kujenga Muhimbili mpya kwa Tsh. 1.2 Trilioni bora tujenge hospitali mikoani kuipunguzia mzigo hospital hiyo

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, amelitaka Bunge kukataa bajeti ya zaidi ya shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali mpya ya Muhimbili akishauri...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bara bara ya Kibaha, Njia ya kutoka na kuelekea Hospital ya Tumbi ni mbovu na imejaa mashimo makubwa

    Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KMA Condemns Arrest of Doctor Amid Nairobi Hospital Ownership Dispute

    The Kenya Medical Association (KMA) raised concern over the arrest of Dr. Job Obwoka, linking the incident to the ongoing dispute over the ownership and management of Nairobi Hospital. In a strongly worded statement, KMA criticized the circumstances surrounding the arrest, warning against the...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa Zafika Hospitalini? Chair wa The Nairobi Hospital Asummoniwa Harambee House Kuunda 3 Board Vacancies!

    Kuna mvutano mkubwa ndani ya board ya The Nairobi Hospital baada ya madai kuwa baadhi ya maafisa wa serikali wanajaribu kuingilia uongozi wa hospitali hiyo ya kifahari. Ripoti zinaonyesha kuwa mwenyekiti wa board, Dr. Barcley Onyambu, aliitwa katika ofisi za serikali na kupewa majina ya watu wa...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwenu uongozi wa Temeke hospital

    Juzi nimempoteza ndugu yangu tena kizembe kabisa ni kwa vile sikuwepo,Competent doctors wote mmeondoka hospital imeshikiliwa na intern doctors! Hospital ya rufaa inashikiliwa na interns mko serious kweli??? Kuna mtu niliwahi kumsikia kuwa temeke hospital ni kijiwe cha interns kweli nimeamini...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omondi Rushed to Hospital Hours After Starting Walk Nairobi to Mombasa

    Comedian and activist Eric Omondi has been rushed to hospital after suffering injuries just hours into his ambitious charity walk from Nairobi to Mombasa, a journey covering more than 480 kilometres. The walk, which is part of a fundraising campaign aimed at supporting vulnerable communities...
  19. JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa mtu kazi, mtu wa matokeo hujawahi kushindwa jambo tuondolee hili hospital za kitaifa

    Ushauri kwa waziri wa afya ,wakati waziri wa ujenzi anapambana kuondoa foleni kwenye majiji na miji basi waziri wa afya atuondolee foleni hospital za kitaifa MUHIMBILI na Benjamin Mkapa hospital. Serikali imekua na mipango mbalimbali kuhakikisha inainua uchumi kwa kuondoa foleni kwenye miji...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Kitete Hospital(TABORA) bado hatujalipwa stahiki zetu

    Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi. Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na call allowance za mwezi wa 03/2025. Hivyo hadi sasa tunadai extra na call allowance za miezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…