hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    Kwa matokeo haya! Naipongeza sekretariati ya ajira
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hongera kambi ya Jeshi Makutopora-Dodoma

    Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwa niaba ya Watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi. Kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kambi ya Jeshi ya Makutopora-Dodoma

    Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwaniaba ya watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi, kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
  5. JamiiForums Tanzania Hongera R.C Makonda Arusha imesheherekea Mwaka mpya bila vurugu

    Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki. Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku. Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato...
  6. JamiiForums Tanzania From Wailes Primary Kayumba to Azania Sec . Hongera sana Naynay wa Tandika House Of Fashion.A zote za kijana wako zimeniheshimisha kwa mama mkwe wangu

    Salha ( 19) is one of my girlfriends. She was born in 2005. Her mother was born in 1988. I am 3 years older than my mother in law. Nampenda Salha kwa sababu ana nyota Kali sana ya hela. Kwa mnao shangaa how comes Likud ninakuwa na mademu wengi hivyo? The answer is here 👇👇👇 Nina mademu wengi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

    Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive." Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?! Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba! Kwamba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zidumu fikra za Mwenyekiti(FAM)

    1. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo mwenyewe akili kuliko wote ndani ya chama? 2. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba bila FAM chama kimekufa? 3. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo Mwamba na hakuna mwingine zaidi yake ndani ya chama? 4. Inawezekanaje CHADEMA wamwamini...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Uncle Mbowe. Wachaga tumetumwa kutafuta hela sio sifa

    Uncle ningeshangaa kama ungekata tamaa na kuiacha Saccos yetu mikononi mwa wavamizi wasiojua tulipo itoa. Babu Mtei, mzee Ndessamburo aka Ndessa Pesa walikukabidhi huo mradi uulinde kwa wivu mkubwa. Niwazi uncle Christmas itakuwa safi sana. Tukutane Hai, wamachame tuna jambo letu.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM kwa ushindi

    1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi! 2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press? 3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/ KIFO CHA CHADEMA TAYARI
  12. JamiiForums Tanzania US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

    Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii, Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=? Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa? Mama na akae mpaka achoke NB: Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
  13. JamiiForums Tanzania Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

    Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera matambalya

    John Matambalya aliajiriwa na azam kuwa fundi ujenzi kujenga ule uwanja wao,ulipoisha akaajiriwa hapohapo,kuwa msimamizi wa uwanja na akaanza kusomea ukocha na akahitimu,akaanza kuwa kocha cha kikosi cha pili,na sasa ndio kaimu kocha wa kmc,hongera sana
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Halima VunjaBei Kwa Kupata Ushindi Wa K.O

    Hongera Halima VunjaBei Kwa Kupata Ushindi Wa K.O Dhidi Ya Mpinzani Wako Nchini Ujerumani, Umeipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan🎓

    (C&P) - "Mgeni Maalumu wa Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uongozi na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
  17. JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Mama Samia, Kwa kuwezesha Kutinga Afcon

    Kiukweli ushindi wa Leo bila mashabiki ungekuwa mgumu sana, wachezaji wamejitoa baada ya watanzania wengi kuingia uwanjani. Naishukuru sana serikali ya CCM ikiongozwa na Dk. Samia Suluhu Kwa kutuwezesha watanzania masikini kuweza kuingia uwanjani na kuwapa saport wachezaji wetu. Lastly...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Mkuu kwa kuagiza mmiliki wa jengo akamatwe, tamaa imemponza

    Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu mbalimbali kisipuuzwe. Mimi nimesikia watu wakisema kuwa mmiliki wa jengo hilo alifanya tamaa, kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Hongera! Bodi ya mikopo HESLB ukizidisha malipo wanarudisha!

    Wakuu, Nimeona nitoe hii habari humu ili mtu asije kukata tamaa kwa maneno ya mtaani. Nilizidisha kama laki nne hivi kwenye kulipa deni la bodi ya mkopo. (HESLB) Sasa ilipofika nataka kufatilia wanilipe kila niliyemwambia alisema niachane nao huwa hawalipi. Sasa siku moja nikaenda pale bodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…