hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hongera waziri Katambi wimbi la watukanaji kwenye social media limeanza kupungua

    Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia ya kuambukiza tabia chafu ya kutokujali kwa watanzania wenye ustaarabu na heshima.
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Samia Suluhu Hassan kwa mkataba wa ujenzi wa Petroleum Refinary Tanga

    Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga. Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary. Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera Azam TV

    Azam TV mnastahili hongera kwa matangazo yenu,mmemaliza kutangaza kombe la dunia,wakati mkionesha ligi ya basketball,mmeonesha ngumi jiwe,mmeonesha bongo star search,hivi sasa mnaonesha cecafa,ambapo charles onyango,romario abdul jabar na msururu wa ma kamera man na makamera woman from...
  4. JamiiForums Tanzania Hongera Makonda kwa Uzalendo.. Samia akupe Uwaziri Mkuu

    Je nani ni mzalendo wa kweli kati ya yule anayetangaza nchi yake na anayemtangaza mkuu wa nchi yake? MY TAKE Ukila na kipofu usimguse Mkono. Haya ndi mambo Samia anataka ndo anaita Uzalendo. Tanzania ina viongozi wenye laana.
  5. JamiiForums Tanzania Hongera majirani,pale mtakapofanikisha hili,nasi tutaiga hili

    Kenya 🇰🇪 plans to link CCTV cameras with the national ID database, allowing police to identify crime suspects faster using facial recognition technology that matches public camera footage with official ID records. The system is part of a wider security upgrade in cities including Nairobi and...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: Hongera Shaheen, Usipojisimamia Utasimamiwa.

    Matukio ya Oktoba 29, 2025 yalikuwa mauaji ya kinyama, ya kifashisti na shambulio kubwa dhidi ya raia wengi wasio na hatia. Huu ni ukweli ambao historia itaendelea kuubeba, na hakuna propaganda wala upotoshaji unaoweza kuufuta. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba badala ya kutafakari kwa kina...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

    Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
  8. JamiiForums Tanzania rita hongera kuifanya BSS kuwa east africa wise ila ingefaa ionekane DSTV maana inatazamwa Africa nzima, hapo azam ni watalaam wa etugru uswahilini

    Kura zingepigwa fairly na squarely kutoka kwa wana EA kila mahalai ila hii ya azam kura zitaishia kulimbikizwa kwa wabongo hata kama hawajui.
  9. JamiiForums Tanzania Hongera sana mkuu wa shule ya sekondari Dkt. Nchimbi kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari halmashauri ya Bunda-mji

    Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini. Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera BASATA kwa kuua Vipaji na Wasanii, Je, Chini ya Makonda, Sanaa itainuka tena?

    Salaam Wakuu, Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa. BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani. Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha. Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hongera waliofanya written Interview ya Agricultural Extension Officers

    Poleni sana. Mmemaliza interview Tupeane maswali yalikuwaje. Kwa anayekumbuka, weka swali unalolikumbuka.
  13. JamiiForums Tanzania Dr. Eveline Munisi hongera kwa uteuzi wa Ubunge

    Dkt. Eveline Wilbard Munisi, Katibu Mkuu wa NCCR MAGEUZI na Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya NCCR ameteuliwa na Rais kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  14. JamiiForums Tanzania Umeua ili kutamalaki, hongera sana. Baada ya kichambo sinagogini ndio unajidai unatenda matendo ya huruma?

    Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa. Hekima imefanana sana busara lakini ni vitu viwili tofauti. Hekima ni karma ya Roho Mtakatifu, inatoka kwa Mungu. Busara ni akili ya kibinadamu iliyojaa maneno matamu na ya kilaghai ili kuufarahisha umma, busara haina suluhisho la kudumu Bali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Prof. Makenya Abraham – Mwenyekiti Mpya wa TCU

    Hongera sana Prof. Makenya Abraham kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa TCU. Tunakupongeza kwa uteuzi huo na tunakuombea Mungu akupe hekima katika kuliongoza jukumu hili muhimu. Hata hivyo, kwa muda fulani kumekuwa na changamoto katika namna TCU inavyofanya maamuzi yanayogusa vyuo vikuu. Wakati...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
  17. JamiiForums Tanzania Hongera sana Heche umejua kumchezesha bolingo Chawa Mbowe na CCM

    Asee Heche ni mwamba . Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri - Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  19. JamiiForums Tanzania Hapa mashabiki wa kongo walimtendea haki patrice lumumba. HONGERA SANA BANA CONGOO!

  20. JamiiForums Tanzania Hongera Samatta kwa rekodi ya miaka minne bila kuifungia timu ya taifa

    Leo umetimiza miaka minne bila kufunga goli timu ya taifa hongera kwa rekod ya kipekee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…