Hoja maalum ya kumwondoa ofisini Makamu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, imewasilishwa bungeni na Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mutuse Mwengi.
Kwa mujibu wa Spika wa Bunge Moses Wetangula, hoja hiyo imeafikia vigezo hitajika kulingana na kanuni za bunge la kitaifa nchini Kenya, ambapo ili...