hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kuoa napata hofu, wasiwasi,kutojiamini na uchoyo(Ego)pamoja na kukosa mwanamke bikra

    Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo nimeshindwa cha kufanya na ukiangalia umri unaenda na nakaribia third floor sasa napata wanawake na...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi na ututuki zaingiwa na hofu baada ya Israel kutawala anga la Iran na kuangamiza kila walichotaka

    Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno. Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Aina tatu za hofu; Ipi inayokutesa sana

    1: HOFU YA KIBINADAMU Hii ni hofu ya Asili ya mwanadamu. Historia ya kiroho inaonyesha hii hofu haikuwepo kabla ya Adam na Eva kula tunda. Iliibuka tu baada ya wao kuanza kumkimbia Mwenyezi Mungu. Hii Kila mtu anazaliwa nayo. Inajumuisha hofu ya kufa, kutumia, mambo mapya, Giza, mazingira n.k...
  5. JamiiForums Tanzania Utekaji, Mauaji na Hofu ya Kunyamaza: Taifa Linaangamia Kwa Saikolojia ya Uoga wa Kimfumo

    Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada, hofu imenitawala sana mpaka usingizi umekuwa wa tabu

    Habari zenu tafadhali husika na hiyo mada, hofu imenitawala sana kiasi ambacho hata usingizi wangu unakuwa wa tabu sana ikitokea nimeshtuka saa 7 usiku nahangaika sana kupata usingizi naomba kueleweshwa hili tatizo nafaa kwenda hospitali? NB: Nilimpoteza kaka yangu mwaka ulopita hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Hofu zinazowasumbua vijana wa sasa (Ke vs Me). Ni hofu inayokusumbua?

    Hofu ni hisia kutokana na akili kwa kitu au hali fulani inakuaje. Asilimia kubwa ya hofu ni mawazo hasi. Japo hofu huweza kukuepusha na hatari au kukupa mafanikio. Hofu inafaida wakati mwingine hasa ukiwa unafanya kitu chanya. Ukiwa na mawazo hasi kwenye hofu yako huweza kuharibu. Mfano kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

    Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo. Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao...
  9. S

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  10. JamiiForums Tanzania Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yalia na yanayoendelea Tanzania, walalamika kunyamazishwa, wadai hofu inaongezeka kila siku

    "Watu wasiojulikana, hapana asiye julikana, wanajulikana. Hawajulikani na sisi, inawezekana hawajulikani na watu wa usalama lakini wanajulikana na wazazi wao hata majina wanajua, wanajulikana na waliowatuma hata sababu wanajua" " Leo viongozi wa dini ni kama karibia mntuzima. Uso ukichafuka...
  13. JamiiForums Tanzania “Mauaji ya Kikatili Kabla ya Kuanguka kwa Utawala wa Iddi Amin: Hofu, Mashaka na Utawala wa Mkono wa Chuma”

    Kabla ya kuanguka kwa utawala wa Iddi Amin Dada nchini Uganda (aliyetawala kutoka 1971 hadi 1979), kulikuwepo na kipindi cha mauaji ya kikatili yaliyofanywa dhidi ya watu aliowahisi au kuwashuku kuwa ni wapinzani wake. Iddi Amin alitawala kwa mkono wa chuma na alihofia sana mapinduzi dhidi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

    Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu . Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe . Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri . Siku ya kwanza wakati nashiriki nae nimeshiriki nae kwa kupeana denda na kuchezeshea mzee sehemu yenyewe ,kuingia ikafanye kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Nina hofu ya kifo sana

    Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwamsingi wa madhabahu takatifu nipo hapa kusikia changamoto Yako ya kiafya au hali ya hofu na mashaka.

    Ushauli na tiba ya maradhi mbalimbali kesi ngumu,mazindiko ya majumba,mapenzi na kusoma elimu za tiba kama unajimu na meditation. Unakalibishwa sana ofsini kwangu chamazi dar es salaam. Mawasiliano kalibu pm.
  18. JamiiForums Tanzania Kifo cha Papa kinatukumbusha Mungu ndio mtawala. Hofu zote zipelekwe kwa Mungu sio mtu au kipngozi ambaye ni mavumbi

    Mungu anatwala. Haugui Hafi Hachoki Hazimii Hatishwi Matendo yote ya heshima na inada uyaelekezwe kwa Mungu asiyekufa. Viongozi wa kidini na kiserikali wapewe heshima za kibinadamu. Heshima kuu irudi kwa Mungu Muweza wa Yote. Kwa Mujibu wa Biblia. Baba mtakatifu (Yohana 17:11) sio mtu. Ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini viongozi wa CCM hawana hofu na Mungu ?

    Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote. Mimi nimeshiriki kusimamia uchaguzi toka 2010 lakini kila uchaguzi wao...
  20. JamiiForums Tanzania Hofu ya no reforms no election; Amos Makalla atangaza ziara ya kusini

    Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani. CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu. Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…