Salaam to everyone,
And hopefully all of you are doing alright.
Kichwa cha habari kinajieleza.
Kwenye maisha kuna muda Hofu ni hisia zisizokwepeka. Hisia hizi ukishindwa kuzizuia na kuzitawala, zinaweza kupelekea usifanikiwe katika jambo lolote unalolipambania kwenye maisha yako, let it be...