hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo. Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hizi dini zipo kujisafisha tu, watu wengi bado wanaendelea kwenda kwa waganga na kuendeleza matambiko ya mizimu

    Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi. Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi wanaume kwa wanawake wakiwa vifua wazi, ysani ni wengi tu wanazo chale za matambiko ama waganga...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa madada zetu siku hizi kama wanakwesa makambo, nampigania sana dada asiachwe kwenye ndoa yake

    Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani. Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane. Mimi namtizama sister kwa jicho fulani kuwa "sister usiseme hivyo tuangalie na sisi nduguzo" wala...
  4. JamiiForums Tanzania Jifungie zako ndani, tazama filamu hizi

    It's been a damn long time kiunga hiki, hope mko poa nyote, karibuni tena uwanjani hapa tupendekezeane filamu nzuri za kutazama katika kipindi hiki cha weekend, na hivi mvua inanyesha ukikaa zako ndani unafurahia muda wako to the maximum! Tazama hapa .... 1. THE 8th NIGHT Miaka alfu mbili...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

    Manipulators katika mahusiano; Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa. Wanapenda kutishia wenzao...
  6. JamiiForums Tanzania Mabinti wa siku hizi hamuwaheshimu wakwe zenu kabisa!

    Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana! Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅 nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa Kenya (elewa vizuri) baba mkwe anamzalisha mke wa mwanae ili ukoo usipotee😂😂
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo TV zilizopewa haki ya kuonyesha michuano ya Kombe la Dunia Qatar, 2022

    Afghanistan ATN Albania RTSH Angola TPA Argentina TVP, TyC Sports Armenia AMPTV Aruba Telearuba 13 Australia SBS Austria ORFServusTV Azerbaijan İTV Bangladesh BTVT Sports, GTVToffee Belarus Belteleradio...
  8. JamiiForums Tanzania Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

    Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy.... Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo fedha watakazolipwa Washindi wa Kombe la Dunia 2022

  10. JamiiForums Tanzania Tabia hizi za jamii kwa mtoto mdogo(mchanga) zinaleta sintofahamu

    Wasalaam...! Ni muda mwingine tena natoka kwenye majukumu yangu ya siku na kuingia nyumbani ila mwanamke ananipokea na kunitaarifu kuwa kuna mgeni, rafiki yangu wa zamani kapita kunijulia hali,basi napitia sebuleni... ile kufika sebuleni namuona rafiki yangu kambeba mtoto wangu na kaingiza...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo watu hulala asubuhi, kuamka na kufanya mambo binafsi mchana hadi jioni, na kurudi kazini usiku

    1. Dj - Hasa kuanzia alhamisi hadi jumapili 2. Nesi - wengi ni kila siku 3. Mlinzi - siku 6 usiku, siku 6 mchana, ndio utaratibu
  12. JamiiForums Tanzania Hizi pesa za chaguzi kwa matumizi haya huwa zinatoka wapi?

    Habari za muda huu watu Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu. Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
  13. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

    KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni halali na haki kwa baadhi ya Watumishi wa Mungu kujimilikisha kazi Mungu?

    Natumai wadau nyote mu wazima, tafadhalini naombeni mrejee kichwa cha habari hapo juu. Je ni halali na haki watumishi baadhi wa Mungu nyakati hizi kujimilikisha kazi ya Mungu ikiwa ni kweli wanaifanya hiyo kazi kwaajili ya Mungu na siyo kujinufaisha wao? Na kama ni halali je, huo uhalali...
  15. JamiiForums Tanzania Kama hizi ndio sababu za jina la Mpina kukatwa NEC

    SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo. 1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi siku hizi hujifanya ni usalama wa taifa, askari au wanajeshi?

    Habari za leo wanajamvi! Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu. Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi ndio timu kubwa Afrika kwa sasa

    Makolo hawapo povu ruksa
  18. JamiiForums Tanzania Ukijiona tu una hasira kali na yanayoendelea Tanzania ni kwako sikiliza nyimbo hizi za lucky dube ufarijike

    1. Children in the Street 2. Don't Cry 3. Feel Alright 4. House of Exile 5. Love Me the way I am 6. Mama Africa 7. Peace Perfect Peace 8. Prison 9. Puppet Master 10. Reap what you Sow 11. Reggae everywhere 12. Soul Taker 13. The way it is 14. I have got you Baby Ukizisikiliza hizi Nyimbo zangu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

    ✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…