hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye picha hizi?

    Wale wataalamu wa lugha ya picha na photorealistic mtusaidie kidogo
  2. JamiiForums Tanzania NMB kama hamtambui hizi taasisi si muende Mahakamani?

    Mpendwa Mteja, Benki ya NMB inakutaarifu kuwa haihusiki na huduma yoyote ya kutoa huduma ya Mikopo mtandaoni kupitia UmojaLoan au Mshiko APP.
  3. JamiiForums Tanzania Hizi hapa sababu za Kitilya na wenzake kupinga makubaliano ya 'Plea Bargain' na DPP

    Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wamekimbilia Mahakama ya Rufani kuomba kuruhusiwa kupinga makubaliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), yaliyowatia hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikiwakabili. Kitilya, Shose...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi: Kwa takwimu hizi kwenye mechi kati ya Croatia na Brazil, Argentina aanze tu kutia maji wembe umpitie!

    Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)!! Kwa takwimu hizi, Argentina watie maji mapema vinginevyo watanyolewa kavu kavu!! Match stats...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa siku hizi hawavai hizi nguo?

    Zilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai. Shida nini wakuu?
  6. JamiiForums Tanzania Taifa lijulishwe bei na namna huu mtambo wa Tanesco ulivypatikana. Hizi ni harufu za ufisadi kupitia mgao wa umeme hapa nchini.

    Taratibu za manunuzi zimefuatwa? Je kama zimefuatwa mbona taifa halikuwekwa wazi? 👇
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

    Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii. Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu. Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
  8. JamiiForums Tanzania Mika Mwamba alitendea haki beat kwenye hizi nyimbo

    Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  10. JamiiForums Tanzania Tukumbushane kazi ambazo ukizifanya ni kumtegemea Mungu

    Mimi naanza na udereva wa magari masafa marefu, hasa nje ya nchi.
  11. JamiiForums Tanzania Zama hizi hutakiwi kuwa 'mshabiki' wa chama cha siasa kushabikia wanasiasa

    Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi. Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama chako wala mazuri ya chama kingine. Masuala ya siasa ni muhimu kuliko mpira, usiyaletee ushabiki...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

    Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ni miongoni mwa sasababu chache ambazo mume hubambikwa watoto na mke wake

    Hii tabia ya kubambikiana watoto haijaanza Leo! Tangu enzi za mabibi na mababu tabia hii ilikuwepo! Kipindi hiko wamama walitumia njia hiyo kama mbinu ya kubakiza mbegu duniani ili kukwepa magonjwa ya kurithi! Magonjwa kama ya siko cell, kifafa, LAANA ZA KURITHI n.k Viliwasumbua kizazi cha...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ni timu 5 duniani zilizowahi kucheza mechi nyingi zaidi za ligi bila kupoteza

    5. Al Ahly SC - Misri - 71 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya nchini Misri na mataji 10 ya ligi ya mabingwa Afrika. Ikiwa na makao yake katika jiji la Cairo klabu...
  15. JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi bidhaa hizi

    1. Lubricant and coolant 2. Mechanical spare parts 3. Laboratory chemicals and water treatment chemicals 4. Propane refrigerant 5. Valves spareparts 6. Gas engine turbocharger.
  16. JamiiForums Tanzania Mtu anayeelewa hizi takwimu anisaidie kufafanua.

    Matokeo ya darasa la saba yanaonyesha wanafunzi walioanza std 1 mwaka 2016 walikuwa 1,38692. Waliosajiliwa kufanya mtihani wa la saba mwaka 2022 ni 1,384,186. Ni kama watoto 2,406 ndiyo walikwama njiani. Lakini takwimu nyingine zinaonyesha mwaka 2016 Std 1 kulikuwa na watoto 2,120,667. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, hizi tronic motion sensors ni water proof au la?

    Peace be upon you all, Najua hapa kuna waliozitumia hizi motion sensors za tronic, nataka kujua kutokana na uzoefu wenu je ni water proof ? Maana nataka kuzifunga kuzunguka uzio ila nahofia zitaharibika kwa mvua, kwa mliozitumia uzoefu wenu unalipi la kuzichambua. (Wale wajuaji wa "nenda...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaomuelewa Young Killer anaimba nini siku hizi, mbona kama simuelewi? Ameshindwa kuisoma gemu na kunyumbulika nayo

    Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo. Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hizi dini zipo kujisafisha tu, watu wengi bado wanaendelea kwenda kwa waganga na kuendeleza matambiko ya mizimu

    Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi. Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi wanaume kwa wanawake wakiwa vifua wazi, ysani ni wengi tu wanazo chale za matambiko ama waganga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…