hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umekuwa ukisumbuliwa sana na mahusiano basi fata sheria hizi sheria ya 5 itakushangaza

    DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa. DATING RULE NUMBER 02. Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
  2. JamiiForums Tanzania Nieleweshwe hizi zawadi za Jackpot zinavyotolewa

    Kuna jambo limekuwa linanitatiza muda mrefu. Embu wadau nielewesheni. Mfano jackpot ya Sportpesa inasema jackpot ni 1.2B, ila kuna zawadi kwa kupata mechi 16/17 hadi 12/17 na zawadi zinatajwa. Cha kushangaza, ukija kuangalia matokeo na zawadi zilizotolewa ni kiduchu sana kulinganisha na ile...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi taa za kumulika barabara za Morogoro nini shida?

    Moja kwa moja kwenye mada: Kuanzia Kimara Stop Over zimewekwa taa za sola za kumulika barabara kwenye vituo vya daladala hadi Kilvya Madukani na pale Kibamba Shule zimeenda hadi barabara ya Kibwegere kifikia Kona Bar, lakini mbona zinang'oka sana? Kama mfuatiliaji, angalia zile zaa za juu...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta wazalishaji wa chupa hizi za plastik,Anayejua naomba connection

    Habari wakuu. Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu. Piga 0713 039 875
  6. JamiiForums Tanzania Ipo Jamii ya rika fulani ambayo huwa ni kikwazo kweli kwa maendeleo ya generation ya nyakati hizi

    YANGA YAMUANGUKIA MZEE MAGOMA Kufuatia matokeo mabovu inayoyapata kwa siku za hivi karibuni Klabu ya Yanga kupitia kwa rais wake Eng:Hersi imeamua kumpigia goti mzee Magoma ili kumaliza tofauti zao Ikumbukwe mara kadhaa mzee Magoma amekuwa akiuita uongozi wa Yanga kukaa nae chini lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Tunaunda, kurekebisha au kuboresha mashine za kutotoresha vofaranga(incubator)

    Kwa mahitaji ya huduma ya utaalamu wa mashine za kutotoresha vifaranga za aina zote *Kuunda *Kuboresha *Kurekebisha *Ushauri Piga 0785165877
  9. JamiiForums Tanzania KERO Hivi shughuli za namna hii, Serikali imezibariki?

    Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana Naona haya mashuguli yanazidi kushamiri na kuwa fashion. Naona Serikali kama imezibariki au! kweli nchi inaenda...
  10. JamiiForums Tanzania Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  11. JamiiForums Tanzania Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi

    Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi
  12. JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    TBCtaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship. Hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hizi shower kits na bathtubs (picha) zinapatikana wapi?

    Swali kama lilivyo kwenye subject. Hizi zinatengenewza kwa acrylic au fiberglass. Zinakuja vipande vitatu vinaunganishwa kwenye site. Naweza kuzipata wapi Dar?
  14. JamiiForums Tanzania Hizi Harrier 3rd gen zilivyojazana hapa mjini utasema haziuzwi Mil 70+

    Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu. Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo. Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro. Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui...
  15. JamiiForums Tanzania Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

    Yani katika pita pita mitandaoni nikakutana na hizi sms za kijana akiutongoza mshangazi...😅😅😅 nimecheka sana
  16. JamiiForums Tanzania Hivi zama hizi mtoto wa kike anaanza kuingia hedhi (kuvunja ungo) kuanzia miaka mingapi?

    Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
  17. JamiiForums Tanzania Hizi ndio alama za mtu alieathirika na ukimwi kwa macho tu utamgundua

    Hii ni alama inayoonesha mtu huyo ameathirika na virus vya ukimw na hutokea kipind virus vina zaid ya miaka miwil kitaalamu tezi hiz huvimba kama ishara ya kukusanya virus na kuwarundika sehwm moja kutengeneza uvimbe yaan kama dead cell usaha uchafu virus na nk Hii hutokea kwa wanawake na...
  18. JamiiForums Tanzania Achana na hizi Tabia mara moja

    Tabia ya kuwa na hasira,hii ni tabia ambayo baadhi yetu tunayo,inaweza kukuondolea kujiamini wewe binafsi,na unaweza kuwafanya watu wawe mbali na wewe Tabia ya kuwafikiria wengine vibaya,yani huwezi kuwafikiria watu katika mlengo mzuri,wewe hufikiria mabaya tu binadamu wenzako,hayo sio maisha...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za vijana kufa haraka (pre mature death)

    Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya. Magonjwa ya ghafla Ajali Vifo vya usingizini n.k Sababu hasa ya vifo hivi ni nini? 1. Zinaa na ulevi. Mithali 6 : 32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. For read more download...
  20. JamiiForums Tanzania Nimekuta hizi dawa kwa mkoba wa Dadangu. Kuna anaejua ni aina gani ya Dawa

    Wakuu naandika hapa ila kichwani niko confused sana, Dadangu aliondoka hom zaidi ya miaka 20, akaenda huko Dar es salaam katika harakati zake na tulipoteana, Kwa baadae kabisa tukapata kuwasliana upya, kwa kipndi hiko na mim nilikuwa nishatoka mkoani nimejenga Jiji flan hapa Tanzania, ikabidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…