hiv

The human immunodeficiency viruses (HIV) are two species of Lentivirus (a subgroup of retrovirus) that infect humans. Over time, they cause acquired immunodeficiency syndrome (AIDS), a condition in which progressive failure of the immune system allows life-threatening opportunistic infections and cancers to thrive. Without treatment, average survival time after infection with HIV is estimated to be 9 to 11 years, depending on the HIV subtype. In most cases, HIV is a sexually transmitted infection and occurs by contact with or transfer of blood, pre-ejaculate, semen, and vaginal fluids. Research has shown (for both same-sex and opposite-sex couples) that HIV is untransmittable through condomless sexual intercourse if the HIV-positive partner has a consistently undetectable viral load. Non-sexual transmission can occur from an infected mother to her infant during pregnancy, during childbirth by exposure to her blood or vaginal fluid, and through breast milk. Within these bodily fluids, HIV is present as both free virus particles and virus within infected immune cells.
HIV infects vital cells in the human immune system, such as helper T cells (specifically CD4+ T cells), macrophages, and dendritic cells. HIV infection leads to low levels of CD4+ T cells through a number of mechanisms, including pyroptosis of abortively infected T cells, apoptosis of uninfected bystander cells, direct viral killing of infected cells, and killing of infected CD4+ T cells by CD8+ cytotoxic lymphocytes that recognize infected cells. When CD4+ T cell numbers decline below a critical level, cell-mediated immunity is lost, and the body becomes progressively more susceptible to opportunistic infections, leading to the development of AIDS.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imechaguliwa kutengeneza kidonge kipya cha kuzuia HIV

    Kenya imechaguliwa kuwa miongoni mwa nchi tatu za Afrika zitakazohusika katika utengenezaji wa alimatravir, kidonge kipya kinacholenga kuzuia maambukizi ya HIV na kinachotarajiwa kutumiwa mara moja kwa mwezi. Kidonge hicho kitatengenezwa nchini na kampuni ya Universal Corporation, chini ya...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Soroti HIV Surge: City Pledges Intensified Response

    Soroti City authorities have pledged to intensify HIV testing and prevention after the city’s HIV prevalence rose from 11.6 percent to 12.4 percent, nearly three times Uganda’s reported national prevalence of 4.7 percent. The Uganda AIDS Commission (UAC) says the increase requires locally...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Habari hivi Yoga yupo wapi

    Naomba nijibiwe ,nakuelewa sana
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda HIV alarm: Lifeguard cuts condom price to Shs700

    Marie Stopes Uganda has reduced the price of a packet of Lifeguard condoms from Shs2,000 to Shs700 per packet as part of efforts to make HIV prevention more affordable and accessible. The price cut was announced during the launch of the “Guard Your Game” nationwide awareness campaign in...
  5. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala Records 211 New HIV Infections Every Week, KCCA Study Shows

    Health experts have raised concern over the continued spread of HIV in Kampala after a new study found that an average of 211 people contracted the virus every week over the past year. The figure translates to about 844 new infections every month, or 11,241 over the 12-month period between July...
  7. JamiiForums Tanzania Hiyo Ndiyo Siri Inayofichwa, UKWELI KUHUSU HIV kusababisha AIDS; Virusi wa UKIMWI kusababisha UKIMWI, Ilihali Virusi vya UKIMWI ni Nadharia tu

    Leo tuzungunzie Gonjwa la UKIMWI. Kuwa mvumilivu kusoma, pengine ukapata Dawa ya UKIMWI katika Makala yangu! Imenibidi nikimbie Hadi Google, nikafanye Utafiti wangu Juu ya Asili ya Ugonjwa Huu! Wanasema: Ugonjwa wa UKIMWI husababisha na VIRUSI Vya UKIMWI (VVU). Virusi Hawa walitoka wapi...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhisu shule ua HIV and AIDS

    Habari wakuu. Poleni kwa kuwashtua. Poleni kwa Kuwapa tension. Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita. UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA YA UGONJWA, KISAYANSI, KIRUSI CHAKE KILIVYO, NA MTAALAM AKAISHIA KUSEMA HIV SIO UGONJWA NI ...
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ya January 4,2010 wageni wote waliokuwa na HIV walikuwa hawaruhusiwi kuingia USA

    Kwa upande wangu ninaona ilikuwa sawa ili kuweza kulinda nguvu kazi ya taifa hasa vijana Baada ya Obama kuingia akatoa hilo zuio la watu wenye HIV kuingia marekani ambapo imesababisha wamarekani wengi kuupata ugonjwa huo kutoka kwa wageni japokuwa takwimu zinaonyesha wale watu wa uponde ndio...
  10. JamiiForums Tanzania Natamani kila raia angepata lenacapavir injection maana ni muhimu sana a weapon against HIV-1

  11. JamiiForums Tanzania Dunia ya Tiba Yapiga Hatua Kubwa: Lenacapavir na Mapinduzi katika Udhibiti wa HIV

    Ingawa hadi sasa hakuna dawa inayoweza kuondoa VVU kabisa mwilini, maendeleo ya sayansi na teknolojia ya tiba yamefanya maisha ya watu wanaoishi na HIV kuwa bora zaidi na kupunguza kwa kiasi kikubwa madhara ya ugonjwa huo. Moja ya maendeleo yanayovutia kwa sasa ni Lenacapavir, dawa mpya ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nini kilipelekea wewe kupima HIV?

    Uliumwa ugonjwa gani mpaka ukaamua kupima HIV. Je ulikutwa nao au.wasiwasi wako tu.
  13. JamiiForums Tanzania Juu ya wenye vidoti unyayoni na waviu-wenye HIV

    Kheri Haina uthibitisho kila mtu mwenye vidoti unyayoni kuwa ana HIV, sio kweli Bali ni ukiwa na HIV na ukaanza kutumia dawa za HIV inaweza ikakupelekea ukapata vidoti unyayoni na sio Kwa wote lazima wapate vidoti, au hata kabla ya kutumia dawa Kinga ya mwili inashuka baada ya kupata HIV na...
  14. JamiiForums Tanzania Nina idea ya HIV POSITIVE CARRIER MARATHON itafanyoka Dodoma siku na tarehe kama ya leo mwezi wa 11.

    Nipo siriaz na nitajaza Dodoma mara kumi zaidi ya leo. Wadau na ambao mpo siriaz mnifuate PM NB: Hii idea kama IP ipo copyrited. Nawasilisha nikiwa na moet 3 pembeni hapa ya mfanyakazi wa zamani wa zile ndege za Dar to mbeya kwa elfu 60,000/=.
  15. E

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MUME HIV POSITIVE

    Habar Mimi ni kijana wa miaka 28 Ni hiv positive, hivyo nahitaji meantime mwenye status ya afya kama yangu lengo kuanzisha familia pamoja
  16. JamiiForums Tanzania Hivi member wote humu tupime HIV nani atatoboa??

    Za jpili Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma Nawaza tu hivi aje dk kupima HIv humu Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 endelea kucheka kama. Mazuri Jpili njema kwa hisani ya mashabuki wa 🇪🇸 Lamal.... Nabii Msomi Pdidy2026
  17. JamiiForums Tanzania tanzania imeingia kwenye Nchi 5 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV duniani

    Kwa mujibu wa makadirio ya kimataifa ya hivi karibuni hizi ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV South Africa – Takribani milioni 8.3 India – Takribani milioni 2.5 Mozambique – Takribani milioni 2.4 Nigeria – Takribani milioni 2.0 Tanzania – Takribani...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kupima HIV, japo matokeo ni mazuri lakini siamini

    Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata homa za mara Kwa mara, tumbo kusumbua na uchovu? Wadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alipimwa HIV Positive, Akatibiwa… Sasa Ni Negative? Mwananchi Afungua Kesi Dhidi ya KEMRI

    Kuna story imeleta mjadala mkubwa sana kwa wananchi baada ya mwanamke mmoja kufungua kesi dhidi ya Kenya Medical Research Institute (KEMRI) kutokana na conflicting HIV results. According to taarifa, mwanamke huyo alipimwa HIV positive mwaka 2023 katika hospitali ya serikali na akaanza ART...
  20. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya mienendo ya kingono na kimapenzi kwa sasa yanahaririwa na pornograph

    NGONO NZEMBE NI HATARI KWA AFYA Sex imekuwa vita sasa hivi, watu wanarushana, kukunjana na kupeana vitu visivyoeleweka, yoote ni kutokana na influence ya porno
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…