historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini theory za uumbaji kwa mujibu wa dini zote mbili (ukristo na uislam), zipo tofauti saana na sayansi, historia?

    Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni?? Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  5. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAi: Nimeuliza hii Ai swali dogo tu na fupi kuhusu jamiiforums ni nini nimepewa majibu yote historia nzima

    Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu. Picha ni JamiiAi Screenshot Picha ya pili 2 1re Picha ya tatu 3 Picha ya nne 4 Picha ya tano 5 picha ya sita 6 Muhimu: Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
  6. JamiiForums Tanzania Swali: Ukweli ni Upi Kuhusu Ukumbi wa Arnautoglo na Soko la Kariakoo Katika Historia ya Baba wa Taifa?

    https://youtu.be/uQTPRpBzetA?si=cFpDdErw3IxPlVfG
  7. JamiiForums Tanzania Historia ya Mwalimu Nyerere na Soko la Kariakoo Lazima Ihifadhiwe

    Usiku ndiyo pana utulivu wa kufanya kazi.
  8. JamiiForums Tanzania Historia adhimu ya baba wa Taifa la Zanzibar, Mwanzilishi wa Taifa huru Field Marshall John Okello. Akumbukwe

    MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu wa somo la historia ya Tanzania na maadili chukua izo notis zitakusaidia

    Ukihutaji notsi zaidi kwa kidsto Cha pili historia ya Tz,English na kswa mtaala mpya tuwasiliane kwa 0623446608
  10. JamiiForums Tanzania Samia ndio Rais Pekee Aliyetoa Ajira Nyingi Zaidi katika Historia ya Tanzania

    Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania. Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La...
  11. JamiiForums Tanzania Waswahili wanaousifia uwanja wa Amani Zanzibar kwa jina la Guantanamo bay ni maamuma wa historia na haziwatoshi

    Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001. Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
  12. JamiiForums Tanzania Nani anahusika na kutunza kumbukumbu na Historia ya Baba wa Taifa?

    NANI ANAHUSIKA NA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA BABA WA TAIFA? JIWE LA KUMBUKUMBU YA NYUMBA YA MTUMWA SULEIMAN ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE 1954 Mmoja kati ya wafuatiliaji wa Maktaba kanitumia picha ya jiwe linalotumika kama kumbukumbu kueleza nyumba ambayo alifikia Mwalimu Nyerere, Mtaa wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Majini

    Watu hujiuliza wana uhusiano na Waisilamu,Waisilamu Wanafuga Majini? Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu wameumbwa miaka 2000 iliyopita kabla ya kuumbwa mwanadamu,wao wanatuona sisi hatuwaoni,Jini ameumbwa kutokana na moto binadamu ameumbwa kutokana na mchanga na maraika wameubwa kutokana na...
  14. JamiiForums Tanzania Channel Ten Maktaba: Historia ya African Association 1929, TANU 1954 hadi CCM 1977

    https://youtu.be/ewcNFGSVWAw?si=DKrusLtx0EUpYPa5
  15. JamiiForums Tanzania Leo ndio wabongo wanashtuka eti babu zetu waliopelekwa utumwani uarabun waliishia wapi. Historia ilifocus zaidi katika ku-vilify wazungu, inasikitisha

    Kipindi tunafundishwa kuwachukia wazungu, unyama wa uarabu ulikuwa unafukiwa, hadi hapo watu walipoanza kwenda outside of the box na kugundua zaidi y I abu shiri, kugundua kuwa babu zao walihanisiwa na kufanyika mashine za kazi hadi kufa kwao huko uarabuni, waliobakia nachoamini ni less than 1%...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

    Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya, Dar es salaam shule za day zina...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Chadema mna document historia mnayopitià katikà utawala wa CCM

    Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia. Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA? 2. Matendo ya ukatili mliopitia 3. Historia ya chaguzi mlizopitia 4. Kufungwa jela mlikopitia 5. Etc...
  18. JamiiForums Tanzania Kama unaujua mpira vizuri, historia na positioning, ebu chagua viungo watatu bora kutoka katika picha hii

    Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga Mimi: Mathaus Keane Makelele
  19. G

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Miaka 17 bila kiongozi mprotestanti kwenye position ya rais, makamu wa rais, na waziri mkuu

    Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu. Kuna baadhi ya agents wa illuminati wanataka akae hadi Oct 2030. Ni global na continental agents wa illuminati hao hao ambao hawakumpenda the late ceo aliemaliza muda wake in March...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…