historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

    Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
  2. JamiiForums Tanzania Historia na Asili ya Chimbuko la Sherehe za Halloween

    Halloween ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa Oktoba 31. Asili yake inarejea kwenye sherehe za zamani za Ki-Celtic, hasa sherehe zilizojulikana kama Samhain, ambapo Wacelt (ambao walikuwa ni watu wa zamani wa Ulaya Kaskazini, Uingereza, na Ireland) walikuwa wakisherehekea mwisho wa majira...
  3. JamiiForums Tanzania Hofu Inavyotawala Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Daily News 12 October 1988 Ilibakia kidogo Daily News wakatae kuchapa kumbukumbu hiyo hapo juu ya miaka 20 ya kifo cha Abdul Sykes. Reginald Mhango ambae sasa ni marehemu, aliyekuwa mhariri wa Daily News alisema hawezi kuchapa kumbukumbu ya Abdul Sykes mpaka apewe ruhusa kutoka Dodoma. Maneno...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Bilali Rehani Waikela na Mgogoro wa EAMWS 1968

    https://youtu.be/Po9jm6R1pTU?si=9ASSkOOiXUmLbSHe
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni katika kuweka historia...
  6. JamiiForums Tanzania Hii Hofu ya Historia ya TANU na Uhuru Inaletwa na Nini?

    https://youtu.be/Id8-WJc6ODY?si=9lzAbgoq1Vq3Fzcd
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Duniani Mawaziri wa Fedha hawana historia ya kuwa Marais?

    Mawaziri wa fedha katika nchi nyingi Duniani hawana historia yakuwa Marais wa Nchi. Lakini ni mawaziri wachache wa fedha ambao upendwa na wananchi baada ya kushika wadhifa huo. Ni zipi zinaweza kuwa sababu za viongozi hawa wa potifolio muhimu serikalini kutoaminika na kupewa nafasi ya juu? Ni...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025

    Msanii maarufu wa muziki wa hip-hop, Joseph Haule, anayejulikana kama Profesa Jay, ametangaza rasmi kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza kwenye kipindi cha The Throne kinachorushwa na redio Crown FM leo Ijumaa, Oktoba 11, 2024, Profesa Jay ameeleza kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya jamii za kale

    Wote tunajua kuwa binadamu aliumbwa na MUNGU na kutuma rangi, jamii na mataifa tofauti tofauti hii ni katika dini ya kiislamu, wakristo na wayahudi, wana sayansi wakaja na theory yao kwamba binadamu ametokana na nyani na akaanza ku develop kadri siku zinavyoenda ila kuna jamaa mmoja anaitwa...
  10. JamiiForums Tanzania Historia ya Hollywood

    Hollywood ni kitovu maarufu cha tasnia ya filamu nchini Marekani na duniani kote. Historia yake inaanza mwanzoni mwa karne ya 20. Hapa kuna muhtasari wa historia yake: 1. Mwanzo wa Karne ya 20 Katika miaka ya 1900, filamu zilianza kutengenezwa nchini Marekani, na Hollywood ilijitokeza kama eneo...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi wakubali yaishe, bangi kubaki historia Tarime

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya kihistoria kwa muda wa wiki tatu katika wilaya ya Tarime na Serengeti, mkoani Mara kwa lengo la...
  12. JamiiForums Tanzania Lebron James and Bronny James Wameweka Historia NBA; Baba na Mtoto Kucheza pamoja

    LeBron James and Bronny James made NBA history by becoming the first father-son duo to play together on the same team during the Los Angeles Lakers' pre-season game against the Phoenix Suns. Bronny, on his 20th birthday, entered the court during the second quarter in a 118-114 defeat to the...
  13. M

    JamiiForums Tanzania HISTORIA YA MZOZO WA WAKIRISTO VS MAYAHUDI

    Mateso ya Wayahudi huko Hispania na Inquisition (Karne ya 15) Mnamo karne ya 15, Wayahudi waliokuwa wakiishi katika Hispania ya Kikristo walikumbwa na mateso makali wakati wa Inquisition ya Kihispania. Wengi walilazimishwa kubadili dini kuwa Wakristo (anaitwa "Conversos"), na wale waliokataa...
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya Wanawake Wazalendo Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/wjvIkkbJBR8?si=EDswkPWPt8TR6S1P
  15. JamiiForums Tanzania Utangulizi: Historia ya Wanawake Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/J8X9FbMZMNI?si=4DR2OCqAO2aLQFAd
  16. JamiiForums Tanzania Historia ya Julius Nyerere (1922 - 1999)

    HISTORIA YA JULIUS NYERERE (1922 - 1999) Kuadhimisha Nyerere Day In Shaa Allah kuanzia tarehe 1 Oktoba nitakuwa naweka video ambazo nimemzungumza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama nilivyohifadhi historia yake Maktaba. https://youtu.be/bQlNnpWluCE
  17. JamiiForums Tanzania Nini kiliwapata Zimbabwe mwaka 2008?

    In 2008, mfumuko wa bei ulifikia viwango vya juu sana, na kusababisha dola ya Zimbabwe kupoteza thamani yake na serikali kuiacha mnamo 2009. Tangu wakati huo, dola ya Marekani na sarafu nyingine za kigeni zimekuwa zikitumika sana katika uchumi. Juhudi walizofanya wakiamini wataweza...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa historia na maana ya vituo vya magari, daladala, na baadhi ya majina ya watu kwanini yalitumika kama kielelezo cha sehemu husika.

    Salaam wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. 1. Majohe "KWA NGOZOMA" Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe wakati panaanzishwa miaka ya 2005 hivi. 2. Kwa Azizi Ali (Anayejua atuambie ) 3. Kwa mpalange...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Coolidge imemuheshimisha katika historia

    Kabla ya kauli ya Raisi coolidge,mtangulizi wake aliwahi kusema kwamba "binadamu wote ni sawa" lakini kauli hii ina mapungufu mengi sana na inaweza kupata ushindani mwingi. Lakini maneno ya Raisi Coolidge bado yanaishi mpaka leo,na ndio msingi wa mafanikio yoyote yale duniani,alisema hivi "kuwa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya binti wa Kigiriki "MEDUSA"

    Medusa ni mojawapo ya wahusika maarufu katika mitholojia ya Kigiriki, ambaye alikuwa mwanamke mwenye nyoka kwenye nywele badala ya nywele za kawaida. Kulingana na hadithi, yeyote aliyemtazama Medusa machoni alikuwa akigeuzwa kuwa jiwe. Medusa alikuwa mmoja wa dada watatu waliitwa Gorgons...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…