historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo katika historia, alizaliwa mkongwe Bob Marley

    Bob Marley alizaliwa tarehe 6 Februari 1945 huko Nine Mile, Saint Ann Parish, Jamaika. Jina lake halisi lilikuwa Robert Nesta Marley. Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji gitaa maarufu wa muziki wa reggae. Katika miaka ya 1970, Bob Marley alikuza umaarufu wake kimataifa kwa nyimbo...
  2. JamiiForums Tanzania Ulinzi uwe kipaumbele historia ya Habyrimana na Ntaryamira isijirudie

    Marais wa EAC na SADC wasicheke na Rwanda, Uganda na waasi...... chochote kinawezekana....ni aheri kuogopa nyasi kuliko kun'gatwa na nyoka. Waasi wakitangaza kusitisha mapigano mara nyingi kuna jambo wanalipanga. DRC na Burundi kuweni makini....mnaweza kuwa mkutanoni na PK mkiwa mnarudi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia: Leo Wilbrod Slaa anataka atetewe, aonewe huruma? All in all, dhamana ni haki yake

    Anaandika Lieratus Mwangombe Yesterday, the High Court ordered the Kisutu Court to hear and process Amb. Dr. Slaa's bond today. Shockingly, President Samia's Govt has maliciously failed to bring Dr. Slaa to court, citing a vehicle breakdown as an excuse. Dr. Slaa has been detained for over 20...
  4. JamiiForums Tanzania Wajue M23, historia na uhusiano wao na Rwanda

    M23 ni kikundi cha waasi wa Kikongo kinachotegemezwa na Rwanda na kinachofanya kazi katika Mashariki mwa Kongo. M23 inasimama kwa "Movement of 23rd of March" (Harakati ya 23 Machi), jina lililotokana na makubaliano ya amani waliyofanya na serikali ya Kongo mwaka wa 2009. M23 ilitokana na CNDP...
  5. JamiiForums Tanzania Hima ni kabila kubwa ambalo historia yake inaweza kuwa kweli.

    Hima ni kundi la watu wa asili ya Kibantu na Nilo-Hamitic linalopatikana hasa katika maeneo ya Afrika Mashariki na Kati, hasa Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Historia yao ya kuingia katika nchi hizi inahusiana na harakati za uhamaji wa makabila...
  6. JamiiForums Tanzania Historia ya Mwinyi Baraka

    https://www.youtube.com/live/G7j0MNkgfqA?si=mXfp8uqabv-UgTUm
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kundi la watu wachache linapofanikiwa kupitiliza husababisha chuki na wivu, haya ni matukio yaliyopelekea kuuawa, kufukuzwa, kubaguliwa

    Katika historia ya dunia, kumekuwa na matukio ambapo makundi ya watu wachache yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kijamii, kisiasa, kielimu, kiuchumi, n.k. Hali hii mara nyingi imepelekea chuki kutoka kwenye kundi kubwa na hatimaye mauaji ya kimbari (genocide), kuwafukuza, n.k. Aidha, wachache hawa...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Kibaijuka akiri historia ya Bibi Titi na Kambona kufichwa

    Akihojiwa na kituo cha Wasafi Media Mkongwe Profesa Tibaijuka amekiri wazi kuwa historia ya Tanganyika ameficha mchango wa Bibi Titi na Oscar Kambona. Amesema kulikuwa na kutokuelewa na Mwalimu. Amesema kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida lakini sio sababu ya kuwaweka pembeni katika historia...
  9. JamiiForums Tanzania Tusahihishe Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/9u_ZRa69IGs?si=Ea99wpBTzkTEHVwt
  10. JamiiForums Tanzania Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

    Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman. Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao. Najua mtaanza na stori za kutengeneza...
  11. JamiiForums Tanzania Historia ya hifadhi ya taifa Ngorongoro Conservation area

    Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni moja ya maeneo ya kivutio zaidi nchini Tanzania na inajulikana kwa uzuri wake wa asili na wanyama wa ajabu. The Ngorongoro Conservation Area (NCA) ilianzishwa mwaka 1959 ili kulinda mazingira na wanyama wa porini katika eneo hili lenye historia ndefu. Hifadhi...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali ya kijiji yaweka historia, yawalipia bima wananchi wake wote

    Ni jambo lisilo la kawaida kutokea katika zama hizi, ambapo huko Mbeya Vijijini, Serikali ya kijiji cha Mashese kata ya Ilungu imegharamia bima za afya kwa zaidi ya wananchi 1,500 kwa shilingi milioni 10 ili kuhakikisha huduma za afya kwa jamii. Mwenyekiti wa kijiji, Osia Lazaro Mwakalila...
  13. JamiiForums Tanzania Ipi ni maana halisi ya jina "Tanganyika" na historia nyuma yake hadi nchi hii kuitwa "Tanganyika"?

    Karibuni wakuu.
  14. JamiiForums Tanzania Yanga nayo ina Historia yake Klabu Bingwa, msiidharau

    Katika Historia ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga Ina Historia yake mwanana ambayo Simba haijawahi kuifikia. Kwenye matokeo ya kufunga na kufungwa magoli mengi kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Yanga nayo imo. Kwa mujibu wa taarifa za CAF, mwaka 1998 Yanga ilifungwa magoli 6-0...
  15. JamiiForums Tanzania Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini aweka historia Mitaa ya Kata ya Miembeni

    MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI UTANGULIZI Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
  17. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi Inahitaji Kusomeshwa Kwa Tahadhari Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/ofL3xgsRPgs?si=tDcubA7tdH0hsdlY
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Inataka Tahadhari Kuisomesha - Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/bn9RRKMN9qA?si=u7CW5jq7ruUzOkH7
  19. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya Ngorongoro conservation area

    Ngorongoro Conservation Area ilianzishwa mwaka 1959 na kuchukua eneo lililokuwa limekuwa Hifadhi ya Wanyama ya Ngorongoro tangu mwaka 1928. Eneo hili ni moja ya maeneo ya kipekee sana duniani lenye bioanuai tajiri na mandhari ya kuvutia. Ngorongoro ni makazi ya Mlima wa Ngorongoro, volkano...
  20. JamiiForums Tanzania Chama cha Wananchi CUF chaweka Historia kwa Kumchagua Katibu Mkuu Bi Husna Mohamed Abdallah

    Chama Cha Wananchi CUF jana kupitia Baraza Kuu la Uongozi lilimchagua Bi. Husna Abdallah kuwa katibu mkuu wa chama hicho. Hivyo katika medani za siasa hapa Tanzania, Bibi Husna anakuwa ndio Mwanamama wa Kwanza kushika nafasi hiyo lakini pia hii inaonyesha jinsi Chama Cha Wananchi (CUF) kilivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…